samir nassir
JF-Expert Member
- Feb 5, 2017
- 1,119
- 1,464
Niliajiriwa na boss moja hivi, dukani. Sasa alinambia atanilipa kwa mwezi taslimu. Mwisho wasiku silipwi mwezi 1 hadi 3 nikasema usintanie nikawa najilipa mwenyewe.
Nashukuru sasa hivi nimehifadhi pesa ya kutosha mimi najilipa kwa siku sitaki mwezi kwani utakua uzembe mwisho wasiku unafukuzwa huna 1000 mfukoni ndio utajua akili itakuingia vizuri