Tulioajiriwa tukawa hatulipwi mishahara badala yake tunajilipa tukutane hapa

Sasa ww siunalipwa sindio kunatatizo gn na mm endekua nalipwa yann kudokoa
Point nzuri lakini ni point nzuri inayotimilisha uhalifu au kosa liwe limeshiba vizuri ili ukidakwa hukumu iwe ya chap chap kulingana na ushahidi uliokamilika. Nakushauri kadai haki yako kwa lugha ya kiuungwana tu atajisikia aibu na atakulipa, ila kabla ya kudai hiyo haki yako achana na udokozi kwanza,na ujipange kwa lolote atakalo kuja nalo kuhusu utendaji kazi wako usikute na yeye anakulia tu timing akushughulikie kwa udokozi wako, ujiulize why yuko kimya kuhusu kukulipa hiyo mishahara! be smart
 
mzee wangu alikuwa mtendaji wa kijiji, lakini hakiwa na mshahara na kila mwaka aliweza kununua ng'ombe na kutulipia ada. alicha bila pensheni na
 
Point nzuri lakini ni point nzuri inayotimilisha uhalifu au kosa liwe limeshiba vizuri ili ukidakwa hukumu iwe ya chap chap kulingana na ushahidi uliokamilika. Nakushauri kadai haki yako kwa lugha ya kiuungwana tu atajisikia aibu na atakulipa, ila kabla ya kudai hiyo haki yako achana na udokozi kwanza,na ujipange kwa lolote atakalo kuja nalo kuhusu utendaji kazi wako usikute na yeye anakulia tu timing akushughulikie kwa udokozi wako, ujiulize why yuko kimya kuhusu kukulipa hiyo mishahara! be smart
Tushadai sana wimbo wake nitakupeni tunafanyaje
 
Vipi bongo muvi iliendeleaje aliyeigiza kama bossi hajagundua udokozi unaosababishwa na ubahili?
Huwezi jua labda alitaka mwisho Wa siku akukabidhi mshahara Wa duka liwe lako.
 
Niliajiriwa na boss moja hivi, dukani. Sasa alinambia atanilipa kwa mwezi taslimu. Mwisho wasiku silipwi mwezi 1 hadi 3 nikasema usintanie nikawa najilipa mwenyewe.

Nashukuru sasa hivi nimehifadhi pesa ya kutosha mimi najilipa kwa siku sitaki mwezi kwani utakua uzembe mwisho wasiku unafukuzwa huna 1000 mfukoni ndio utajua akili itakuingia vizuri
Hahahahahaha,ni mwendo wa kujilipa tu
 
Boss sio mstaarabu na mfanyakazi kavuka stage ya wizi kawa mjanja. Hivi mfamyakazi humlipi na husikii akilalamika wala kuacha kazi unajua anaishi vipi na anafanya kazi kwako tu ?
Hahahaha,apo lzm boss ajiongeze, lzm ajue yupo na jambaz dukan
 
Unajiona mjanja? basi jua kuwa bosi wako alipokwambia kuwa atakuwa anakupa mshahara alikuwa anamaanisha ujilipe ndo maana mwezi ulipoisha hajakupa kitu akijua kuwa ushajilipa, eti unadhani kuwa hajui kuwa unajilipa? pole

nawambiaga kila siku huko kwenye vijiwe vyangu

waibe kadri wawezavyo ila wasiguse mtaji wangu

na faida yangu per day nipate ile ile niliyoweka..

ukiajiri lazima Uibiwe ila tu wafanyakazi unawambia ukweli

ibeni hapa mwisho pale ila sio eti wasiibe kabisa Haipo hiyo
 
Back
Top Bottom