Tulioajiriwa tukawa hatulipwi mishahara badala yake tunajilipa tukutane hapa

samir nassir

JF-Expert Member
Feb 5, 2017
396
500
Niliajiriwa na boss moja hivi, dukani. Sasa alinambia atanilipa kwa mwezi taslimu. Mwisho wasiku silipwi mwezi 1 hadi 3 nikasema usintanie nikawa najilipa mwenyewe.

Nashukuru sasa hivi nimehifadhi pesa ya kutosha mimi najilipa kwa siku sitaki mwezi kwani utakua uzembe mwisho wasiku unafukuzwa huna 1000 mfukoni ndio utajua akili itakuingia vizuri
 
GIUSEPPE

JF-Expert Member
Dec 31, 2011
5,266
2,000
Niliajiriwa na boss moja hivi duka la...... Sasa alinambia atanilipa kwa mwezi taslimu.... Mwisho wasiku silipwi mwezi 1 hadi 3 nikasema usintanie nikawa najilipa mwenyewe nashkru saivi nimehifadhi pesa ya kutosha mm najilipa kwa siku stk mwezi kwn utakua uzembe mwisho wasiku unafukuzwa huna 1000 mfukoni ndoutajua nakili itakuingia vizuri
Unajiona mjanja? basi jua kuwa bosi wako alipokwambia kuwa atakuwa anakupa mshahara alikuwa anamaanisha ujilipe ndo maana mwezi ulipoisha hajakupa kitu akijua kuwa ushajilipa, eti unadhani kuwa hajui kuwa unajilipa? pole
 
samir nassir

JF-Expert Member
Feb 5, 2017
396
500
Unajiona mjanja? basi jua kuwa bosi wako alipokwambia kuwa atakuwa anakupa mshahara alikuwa anamaanisha ujilipe ndo maana mwezi ulipoisha hajakupa kitu akijua kuwa ushajilipa, eti unadhani kuwa hajui kuwa unajilipa? pole
Lazma ujiongezee
 
Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,346
2,000
Niliajiriwa na boss moja hivi duka la...... Sasa alinambia atanilipa kwa mwezi taslimu.... Mwisho wasiku silipwi mwezi 1 hadi 3 nikasema usintanie nikawa najilipa mwenyewe nashkru saivi nimehifadhi pesa ya kutosha mm najilipa kwa siku stk mwezi kwn utakua uzembe mwisho wasiku unafukuzwa huna 1000 mfukoni ndoutajua nakili itakuingia vizuri
yaani hili swala limenilemaza akilisaaaana kwa kupiga magumashi mi ndo mtaalam halafu nikawa nawnda kwenye starehe nikijua na kesho napata zingine khaa
 
Mushi92

JF-Expert Member
Oct 5, 2013
3,909
2,000
Niliajiriwa na boss moja hivi duka la...... Sasa alinambia atanilipa kwa mwezi taslimu.... Mwisho wasiku silipwi mwezi 1 hadi 3 nikasema usintanie nikawa najilipa mwenyewe nashkru saivi nimehifadhi pesa ya kutosha mm najilipa kwa siku stk mwezi kwn utakua uzembe mwisho wasiku unafukuzwa huna 1000 mfukoni ndoutajua nakili itakuingia vizuri
1 mlipatana sh ngap?
2 unajilipa sh ngap kwa mwz?
3 una family?
4 ..
 
covid 19

JF-Expert Member
May 9, 2014
1,501
2,000
Niliajiriwa na boss moja hivi duka la...... Sasa alinambia atanilipa kwa mwezi taslimu.... Mwisho wasiku silipwi mwezi 1 hadi 3 nikasema usintanie nikawa najilipa mwenyewe nashkru saivi nimehifadhi pesa ya kutosha mm najilipa kwa siku stk mwezi kwn utakua uzembe mwisho wasiku unafukuzwa huna 1000 mfukoni ndoutajua nakili itakuingia vizuri
unajisifu humu kwa kunipiga dukani kwangu ngoja leo utanitambua..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions
Top Bottom