Tulio soma miaka ya nyuma: Masimulizi ya Wakakakuna na kichawi Gagula

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Sep 11, 2013
8,577
11,204
Wakuu heshima kwenu,
Ni zamani mno! wengi hatupo nao lakini tulicheka nao. wengine tuko nao lakini hatuwezi kukutana nao..... umri nao unaenda.
Kuna kitabu hiki enzi hizo hatujui face book, hatujui twitter
enzi hizo tulisoma Kisiwa chenye hazina, Alfu Lela ulela, Jamaa hodari kisiwani na Hekaya za Abunuwasi!
Leo ninawaletea kitabu ambacho natamani niambiwe kiliishia wapi kwani sikujua mwanzo wala mwisho wake. kilikuwa kimetoka baadhi ya kurasa za mwanzo na mwishoni.
Kwakuwakumbusha tuu kitabu kinawahusu akina mfalme katiri Twala wa nchi ya wakakakuna. Yupo Ignosi yule alikuja kuwa mfalme. Yupo yule FOULANA Sijui waliishiana vipi na Bwana Good
Yupo bwana Henry na huyu ndovu anayesimulia hiki kitabu wawindaji hatari mno!
Wakuu karibuni tusimuliane hadithi hii ya machimbo ya Almasi
 
Back
Top Bottom