Tulio shuhudia watu waliozidiwa wakifanya yao mbele yetu tutoe shuhuda

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,032
Kuna vitu ambavyo mwanadamu hawezi kuviamrisha kama usimgizi, haja kubwa inapozidi, n.k ila kuna wengine nahisi hata tamaa zao za kimwili hawawezi kuziamrisha zitulie na watazipooza hata bila kujali usiri.

Binafsi nakumbuka chuoni kulikuwa na utamaduni wa kubanjuana kwa kiwango cha juu sana pale tunapomaliza mitihani ili kwenda likizo au kuhitimu masomo.

hicho kipindi kulikuwa hakuna stress za masomo hivyo kupelekea watu tuwe free basi ilikuwa ni mwendo wa kupeana moto kwa sana tu.

Nakumbuka nilikuwa naishi hostel, chumba kilikuwa na kitanda cha double deka, nlilala cha juu na cha chini alilala rafiki yangu, binafsi nlitumia cha chini mara chache tena kwa kumpa jamaa elf 5 na kuweka godoro na shuka langu pindi nlipopata ugeni wa mabinti huku jamaa akiwa anazurura kama ni mchana au kulala kwemgine endapo ni usiku.

Sasa jamaa kuna kipindi baada ya kumaliza pepa ya kuhitimu chuo (alinizidi mwaka moja chuoni) akapata pisi iliyomsumbua sana, Ilikuwa ni mida ya saa sita usiku mimi nishalala mara nikahisi kuna tetemeko, Ila tetemeko hili nilihisi la ajabu maana kitanda kilikuwa kinatikisika kwa haraka sana aisee, ila baada ya sekunde chache nikawa naskia miguno flani ivi basi sikutaka kuamini nachodhania, nilikuwa kitanda cha juu nikapiga chabo kitanda cha chini kuhakikisha, nikaona jamaa mgongo upo juu mithiri ya kiboko anaeogelea .

Nikawa namtania punguza spidi, ungeniambia mapema niwape uhuru, mnanipigia kelele, N.k ila kiukweli nilipata ugwadu balaa kwa kilochokuwa kinaendelea hapo chini.

Sikuwahi kufikiria hata siku moja kushiriki mtungo (mwanaume zaidi ya moja mwanamke moja) ila hio siku nlitamani niombe kutoa msaada kiukweli maana vile vilio bilipumbaza kabisa akili yangu
 
Ningekuwa mimi napiga punyeto afu nawadondoshea utelezi

Kwanini wasikupe taarifa ukae mbali na tukio?
 
Back
Top Bottom