Tulio na ratiba ya kurudi makwetu xmas 2018 tukutane hapa

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Wiki ijayo tarehe 17 disemba 2018 ninatarajia kuibeba familia yangu na kwenda Dodoma kula xmas na mwaka mpya.

Kurudi lazima. Hata vyuma visagike.

Wewe je?
 
Hivi mbona sikukuu za eid watu huwa hawarudi makwao,sitaki majibu ya kuwa eid huwa haziwi mwishoni mwa mwaka,maana nitawauliza kwanini hamkuziweka na nyie ziwe mwishoni mwa mwaka?
Maana kiuhalisia hizi dini majitu tu majanja ndio yalizi`establish tangu enzi and hadi leo tumeishia kuwa watumwa nazo,nimeangalia kuna video ina`trend ya nyumba mpya ya TB JOSHUA,mh silipi tena sadaka aisee!
 
Tukutane mnadani...hapa hatuwezi kukutana angalau umesema destination yako Dodoma huko ndipo utakapokuwa na muda wa kukutana na wadau.
 
Raha ya idd el fitr ubwabwa. Nani apande gari kwenda kula ubwabwa Mbeya? Halafu siku haijulikani mpaka mwezi uonekane Pemba
 
Anaewaza ada na hakopesheki tena kama mimi alike hapa....

😂😂
 
Back
Top Bottom