FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,059
- 40,723
Mimi nina degree na hakuna failure anaye niaibisha
Labda degree, we usomee PhD. hicho kiwanda utaanzisha saa ngapikuna ukweli asilimia kubwa. Bahresa ana degree? manji ana degree gani? etc, labda wahindi wanaweza kuwa nazo lakini sio waarabu. wamiliki wa mabasi kama msukuma wote hawana degree hata mmoja, wamiliki wa viwanda wanaweza kuwa na wenye degree lakini ni za biashara tu na hazijavuka kwenye masters au phd....
Boss fanya tathmini japo sitabase zaid kwenye viwanda na biashara kwa ujumla deepkuna ukweli asilimia kubwa. Bahresa ana degree? manji ana degree gani? etc, labda wahindi wanaweza kuwa nazo lakini sio waarabu. wamiliki wa mabasi kama msukuma wote hawana degree hata mmoja, wamiliki wa viwanda wanaweza kuwa na wenye degree lakini ni za biashara tu na hazijavuka kwenye masters au phd....
Swali ni je katika watu ambao hawajaenda shule kuna kina bakhresa wangapikuna ukweli asilimia kubwa. Bahresa ana degree? manji ana degree gani? etc, labda wahindi wanaweza kuwa nazo lakini sio waarabu. wamiliki wa mabasi kama msukuma wote hawana degree hata mmoja, wamiliki wa viwanda wanaweza kuwa na wenye degree lakini ni za biashara tu na hazijavuka kwenye masters au phd....
Mzee acha kunichekesha kabisa
Yeye ana maisha gani ya ajabu?Kumiliki mabasi ya usafiri?Au boti za uvuvi au migodi ya kuchimba kwa baruti na vijembe huko kwao?
Hebu nipe turnover yake hapa in real terms!
Sio mtu anapita madomo marefu huko bungeni ndio mnaona kama anamiliki uchumi wa hii nchi!
Msomi kwenda shule tu amedhubutu,yeye kwanini aliogopa kwenda shule?
Udhubutu wa nini hasa unaosemea?Kufanya biashara?Hivi unadhani kila mwananchi anaweza kua daktari?Na pia sio kila mtu anaweza kua mfanyabiashara!
Sasa udhubutu wa mtoto alieweza kufatilia masomo mpaka akawa daktari bingwa wa upasuaji unakuja leo unasema hana ujasiri ila mpumbavu anaefanya biashara ya basi mbili tatu za abiria eti ndio ana udhubutu.Nigga gimme a break!
Elewa jambo moja,huyu bwana ana inferiority complex,na yupo kwenye denial ...Haiwezekana kila akisimama bungeni anataja darasa la saba speech zake zote katika hali ya bitterness namna hii...Anatafuta validity katika moyo wake walao kujifanya yupo level moja na wasomi..Akubali tu hana elimu na hawezi ipata tena,akubali la saba lake,apanguse matako aendelee na maisha,thats reality!
Anajua wazi hawezi kua waziri au rais maana hana degree.Level ya ubunge ndio the highest he can go..We are sorry for him!
Atakufa bila kupata ridhiko la moyo wake.Aache kua kwenye denial!
Mwalimu aliyechoka anapojisifia amefundisha maprofesa. Sifa za kijinga.Hoja ya huyu Mbunge na wa tz tulio wengi ni nyepesi mno. Yeye alipomaliza Std 7, moja kwa moja alianza kutafuta pesa. Huyo Graduate alienda sekondari (6yrs) na chuo (3+yrs). Kwa hiyo ni suala la muda tu, wangepimwa mafanikio yao pamoja kama walianzia harakati pamoja.
Lakini kitu kingine ni kuwa, yeye anajisifia kumiliki kiwanda, mabasi,.....! Anasahau kuwa hizo machineries na formulas anazotumia zimebuniwa na Graduates. Hajui kuwa hiyo fuel na oil anayonunua ikiwa ready-made kwa ajili ya gari lake, kuna watafiti ambao wali spend a number of sleepless nights kutengeneza. Kwa hiyo tunategemeana asijitie kiburi. Yeye anadhani huo uganga wake wa kienyeji anaweza kuutumia kufanyia kila kitu. Kama anajigamba kuajiri graduates kwenye viwanda, kwa nini asiajiri misukule?
Naomba nisiseme mengi.
sawa..!!Mgunduzi gani aliye na masters? Kusoma Sana ni kujiongezea umaskini tu
Mawazo haya ndio yanafanya wasomi kama wewe kufeli kwenye biashara. We unasema hawezi mwenzio anakusanya.
jaribu kufanya utafiti si kila kitu utafuniwe tuu sawa mkuu...jr fu
hiyo ni kweli
wataje
tatizo lenu mnazungumzia vitu jumlajumla,kwani we unawajua maprofesa wote wa Tanzania na ishu zao??au unadhani kila mtu anapenda kujionesha vitu au miradi anayomiliki??haya nitajie program ya kompyuta iliyogunduliwa na mtu ambaye hakuenda shule??Si elimu ya Tanzania mkuu.Ungekuwa unazungumzia elimu ya nje ningekuelewa.
Unauliza machine wangezipata wapi?Hivi hujui mtambo wa kutengeneza alcohol umetengenezwa na drs la saba?Hujui hata machine za kusaga unga wametengeneza watu wasio na digrii?Je hujui kuwa program nyingi za computer zimetengenezwa na watu wasio na degree?
Je hujui hata bunduki wametengeneza watu wasio na degree?
Kwa mujibu wa tafsiri yenu ya wasomi eti mtu akiwa na degree,masters, PhD ndio wasomi,inakuwaje prof.wa uchumi hana hata biashara ya karanga kama diamond drs la saba?
kwa kukusaidia..jaribu kutembelea udsm,iyunga tech,sido,veta...ni vile wanasiasa wanawapuuzia...Hatupingi kuwa wasomi ndio wagunduzi za hizo machine,swali...Hebu tuambie wasomi wa tz wamegundua machine gani labda...
hata yule ford zile injini zake hakuzigundua yeye alikuwa na wazo tu..akatafuta mainjinia akawalipa wakamdizainia wakamtengenezea...watu waliokuwa na akili???Kuna vitu unachanganya mkuu.Wavumbuzi wengi wa vitu au mambo hawakuwa wasomi ila walikuwa na akili.Ameongea kuhusu "umiliki"!
Yeye anamiliki hizo boti na mabasi je ww unamiliki nin labda,ukweli mchungu huna budi kuukubali japo mchungu
Hao baada ya kurudi mtaani wamefanya nin labdakwa kukusaidia..jaribu kutembelea udsm,iyunga tech,sido,veta...ni vile wanasiasa wanawapuuzia...
Mhhh. Hatari. Dawa ni kuhamia upande wa pili. Pia elewa maisha mazuri siyo kuwa na magorofa na magari mengi.Mimi ni msomi wa Chuo Kikuu lakini nimeshindwa kuupinga ukweli anaosema hata kama utaniumiza.