Tulimwambia achana na mambo ya kuoa, hakusikia cheki yaliyomkuta

Liverpool VPN

JF-Expert Member
Aug 29, 2020
5,797
13,039
Cheki WhatsApp Status yake. Iliniuma sanaa mimi kama kijana wa Klop.

Screenshot_20201109-043251_2.jpg
Huyu ni mwana tena mwana hasa.

Mwaka 2018 alikuja na taarifa kuwa anataka kuoa.

Nilimkataza kabisaa na kumwambia umri wako (30 Yrs) sio umri wa kuoa. Tuendelee kula maisha ki single boy "Tutaoa mbelee sanaa huko" ila pia kuoa sio lazima kwahiyo "ikiwezekana HAKUNA KUOA".

Mwana akani crush sanaa na kuanza kunihubiria, mara ana "quote" vifungu vya biblia, Nikamwambia "Paulo pia alitoa muongozo, kama hutaki kuoa basi Kausha tu".

Baada ya wiki nikaletewa kadi ya mchango. Nikajiseemea nisiwe snitch "nikatoa mchango".

Tukaenda kupiga bia harusini.

Baada ya harusi mwamba akatutenga kabisa "Sijui alipigwa biti na mkewe" Ikawa bar hatokei, kwenye kitimoto hatimbi. Kifupi alitutenga wana ikawa yeye yupo na mkewe tu.

Sasa yamemkuta na ndoa imevunjika. Kwasasa walewale masela aliotutenga ndio tumekua kimbilio lake.

FB na Whatsapp anachafua sanaaa zile "wall za Mark, Z".

Kila siku wana tukawa tunasoma status na post zake huko social media akilalamika.

Baada ya kuona anaweza kujiua wana tuliamua kum "reseque". Kwasasa karudi kwenye chama la masela tunaendelea kunywa bia nae kwa furaha kabisa.

Sisi hatuna hiyana "tunampa kampani maana hatujui nini kimetokea na Wala HATUJAWAHI KUULIZA" (hatupendi single side judgement, na isitoshe sisi furaha yetu ni kumuona mwamba yupo vizuri basi).

Kwenye chama chetu cha kupiga bia huyu ni wa pili.
--------------------------------------------------------
Wa Kwanza alioa May/2019 na aliachana na ndoa July/2020 baada ya kutoka safari na kurudi home ghafla (by surprise) akakutana na aliyekua X wa mkewe ambae kila siku alikua akimkanya juu ya mawasiliano nae wapo juu ya kitanda chake alichonunua TShs. 700,000/= wanagegedana.

"Yaani mwana JF ununue kitanda laki 7 + gharama za usafirishaji halafu kwenye ile laki 7 yako unamkuta boya tuuu yaani boyaa kambinjua mkeo dog style..!!!""

Hii ilikua jumapili, juma3 mwana akashindwa kwenda kazini.

Aliko akawa hajulikani.

Ikabidi wana tumtafute sanaa baada ya kupewa taarifa kazini kwake na familia yake ""We Mr. Liverpool mbona **** kazini haonekani, kwake hakuna mtu na simu hazipatikani line zote?""

Kumbe yupo..!! alikimbilia gheto la mwana wake wa chuo ambae inaonekana alirudisha urafiki baada ya kuoa na kututenga sisi wanywa bia.

Tulimrudisha home, tukakuta mke hayupo na nguo zake hazipo (inaonyesha alikimbia kimya kimya).

Huyu mwana ilibidi auze kila kitu mpaka baadhi ya nguo zake.

Akaenda kupanga na kuanza kununua vitu upya (alisema vile alivyouza vina laana) na vina element za yule aliyekua mke wake..!!!

Kwasasa karudi chamani.

Chama chetu, tukisikia tu "mwamba fulani aliyekua chamani akakimbia chama, ana matatizo hua tunamtafuta wenyewe tumuokoe"
----------------------------------------------------------
Kuna scenario nyingi sanaa huku mtaani, hizi ni general rules tu kadhaa.
Ukitaka nilete exceptions hapa Dah nitajaza saver ya JF.


Tuendelee kunywa bia
Tuendelee kutafuta hela
Tuendelee kula nyama.

KUOA UKIWA BELOW 37 NI UOGA WA MAISHA.

UKIANZA TU KUMUELEWA MWANAMKE UJUE UNAKARIBIA KUFA.

Na kuna kuumizwa hukoo...

Halafu Arnesal Taarifa zenu kutoka kwa AstonVilla TUNAZO.

Take care

#YNWA
 
Back
Top Bottom