Tulimuhitaji zaidi Makamba ili kukuza Upinzani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tulimuhitaji zaidi Makamba ili kukuza Upinzani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kombo, Apr 10, 2011.

 1. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Wakubwa,
  Hatimaye Makamba ndo hivyo tena kapitiwa na mkumbo wa mageuzi ndani ya CCM, Ninawasikitikia wale wote ambao maisha yao ndani ya Chama hicho yalitegemea kuwapo kwake. Tufikirie hatima ya upinzani hawa jamaa wakijipanga vizuri, na yale mafyongo ya enzi za Makamba yakakosekana, tutawawezaa???? Tuache unazi hapa!
   
 2. Makenya

  Makenya Member

  #2
  Apr 10, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kweli bro sikubaliki..kuropoka kwa makamba,ilikuwa advantage kwa upinzani
   
 3. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kaka ni kweli kabisa uyasemayo uropokaji wa makamba bila kufikiri ulikuwa mtaji mkubwa sana kwa wapinzani sasa makamba ndo huyo tena ametemwa. Ila tuwe na matumaini na kauli ya mbowe kwamba ccm ina kansa na tayari kansa imefika kwenye damu. Lakini zaidi ya hayo CCM bado ina madudu mengi sana ambayo wapinzani bado wanaweza kuyazungumzia. Kujihudhuru kwa secretaria na cc sio suluhisho la matatizo ya watanzania.
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  Apr 10, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  sasa kwani nnape ana tofauti gani na makamba mi naona sawa tu
   
 5. only83

  only83 JF-Expert Member

  #5
  Apr 10, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Mimi sioni jipya hapo....ni kweli najua huyu katibu wa sasa hatakuwa makini asiaribu kama Makamba....but naona bado Gamba alijatoka vyema....tatizo la CCM si CC wala NEC but ufisadi na mafisadi amabao sidhani kama wamewatoa.....
   
 6. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #6
  Apr 10, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  ni heri makamba mara 100 kuliko huyu......yaani hapa wapinzani wamepata mteremko sana.....mark this post meeeeen
   
Loading...