Tulimkosoa Hayati Magufuli na sasa tutamkosoa Rais Samia. Kama mtaumia poleni sana Tanzania Kwanza

Kuna watu wanataka kuuaminisha Umma kuwa Rais Samia Suluhu hakosei.

Hawa watu kwa kuendelea na upuuzi ule ule kwa waliokuwa wanazi na mashabiki wa Magufuli ambao nao walikuwa wanataka kuuaminisha Umma kuwa hakuwa akikosea.

Watanzania wengi wanajikita katika Ushabiki, Mahaba, Jazba, Mihemko na Ashki hata katika mambo ya msingi ya Kitaifa.

Kwa sasa limeibuka kundi la watu ambalo ukimkosoa tu Rais Samia unaonekana ulifaidika na utawala wa Magufuli. To hell.

NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO
Ni muendelezo wa kutumia matumbo kufikiri toka miaka na miaka tunaposhindwa kukemea ubovu kwa kuamua ku side na waovu kwa kuangalia kabila,dini,chama,jinsia,dhehebu n.k

Mimi nitasimama kama Mtanzania hawa wote watapita Tanzania itabaki. Tutamkosoa Samia na akija Mwingine akakosea tutamkosoa kama ambavyo tulimkosoa Kikwete na Magufuli pia.

Na atakayefanya vizuri tutampongeza kwa mazuri yake.
Pole kwa Ban takatifu
 
Yaa
Well said Mkuu....
Yaan yapo majitu yanakera sanaa,ukimwambia atuoneshe hata clp moja tu mwendazake akikosolewa kwa aliyokuwa anayafanya jibu n hakuna hata moja,sasa kwa nin huo umuhim wa kukosoa uwe kwa Mama Samia ili c kwa Magu?mlikwa
Wakachunge ng'ombe Mpanda bado kuna mapori mengi tu huko...
Kwa hyo mkuu kwa umoja wetu tuwapuuze sio?
 
Kuna watu wanataka kuuaminisha Umma kuwa Rais Samia Suluhu hakosei.

Hawa watu kwa kuendelea na upuuzi ule ule kwa waliokuwa wanazi na mashabiki wa Magufuli ambao nao walikuwa wanataka kuuaminisha Umma kuwa hakuwa akikosea.

Watanzania wengi wanajikita katika Ushabiki, Mahaba, Jazba, Mihemko na Ashki hata katika mambo ya msingi ya Kitaifa.

Kwa sasa limeibuka kundi la watu ambalo ukimkosoa tu Rais Samia unaonekana ulifaidika na utawala wa Magufuli. To hell.

NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO
Ni muendelezo wa kutumia matumbo kufikiri toka miaka na miaka tunaposhindwa kukemea ubovu kwa kuamua ku side na waovu kwa kuangalia kabila,dini,chama,jinsia,dhehebu n.k

Mimi nitasimama kama Mtanzania hawa wote watapita Tanzania itabaki. Tutamkosoa Samia na akija Mwingine akakosea tutamkosoa kama ambavyo tulimkosoa Kikwete na Magufuli pia.

Na atakayefanya vizuri tutampongeza kwa mazuri yake.

Kwasasa SSH anaenda vizuri sana ,tunampongeza..Kazi iendelee , Mikumi Tena.
 
Katika dhana ya kukosoa, kuna mawili! mosi, unaweza ukamkosoa mtu kwa kutumia mtu mwingine kama reference yako. Mfano yawezekana wewe ulikowa ni mfuasi wa Raisi aliyepita. Ukaona Raisi SSH anaenda kinyume na sera za aliye pita apo utakosoa. Hakuna tatizo ila lazima ujiandae kupingwa na kundi kubwa ambalo litatumia bad reference za huyo kipenzi chako kumtetea aliyepo madarakani. Mfano, sera kama za haki, biashara, uchumi, umeme, uhuru, usawa, nk, utakosoa kipi kwa SSH amabacho unaona hatatendea haki? Ni lazima upingwe tu!. Dhana ya pili ni kukosoa bila ya kuwa na reference kichwani mwako. Ukosoaji wa namna hii mara nyingi unakuwa wa haki, humjudge mtu kulingana na performance za mtu fulani aliyepita, hivyo ukikosoa apo unaweza kuachwa ukakosoa na pendine ukapata few followers. Kumalizia ni hivi, Mh Raisi SSH, haja fanya lolote la kuwafanya critical thinkers, wanaharakati, wapenda haki, au watetezi wa haki za binadamu kumpinga nk. Nimuonavyo mm, ni mcha mungu , Mama mzazi mwenye roho nzuri, mpenda haki, usawa, uhuru na amani kwa watu wote. mtenda haki kwa wote na hatafanya mambo yatakayo wakera wengi except wale wanazi wasiopenda uhuru wa watu, haki na amani.
Mwana siasa yeyote ana sides, na kila atakaye wakilisha hoja lazima atawakilisha kwa muono wa side aitakayo yeye.
 
Kukosoana kunaleta tija hasa ikiwa kukosoa kunapokuwa sahihi, kutoka kwa mtu sahihi, kuhusu jambo sahihi kwa mtu sahihi. Tatizo linakuja sio kila kitu kinakosolewa.

Ndio maana Hayati hakupenda kukosolewa kwa sababu waliokosoa hawakukosoa kwa murua na heshima bali vilikosolewa hata visivyohitaji kukosolewa.

Mama kama kiongozi wa serikali anaweza akakosoa hivyo kukosolewa kunatarajiwa, lakini tukosoe kwa adabu, heshima na kuzingatia hadhi ya cheo chake. Na pia tukosoe vyenye tija..
Sio kweli kwamba "Hayati hakupenda kukosolewa kwa sababu waliokosoa hawakukosowa kwa murua na heshima..." Magufuli hakupenda kukosolewa kwa namna yoyote ile.
Alipenda kusifiwa, basi.
 
FB_IMG_1623271000343.jpg

Magu anashinda vipi nyomi Kama Hilo😁😁😁
 
Kuna watu wanataka kuuaminisha Umma kuwa Rais Samia Suluhu hakosei.

Hawa watu kwa kuendelea na upuuzi ule ule kwa waliokuwa wanazi na mashabiki wa Magufuli ambao nao walikuwa wanataka kuuaminisha Umma kuwa hakuwa akikosea.

Watanzania wengi wanajikita katika Ushabiki, Mahaba, Jazba, Mihemko na Ashki hata katika mambo ya msingi ya Kitaifa.

Kwa sasa limeibuka kundi la watu ambalo ukimkosoa tu Rais Samia unaonekana ulifaidika na utawala wa Magufuli. To hell.

NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO

Ni muendelezo wa kutumia matumbo kufikiri toka miaka na miaka tunaposhindwa kukemea ubovu kwa kuamua ku side na waovu kwa kuangalia kabila,dini,chama,jinsia,dhehebu n.k

Mimi nitasimama kama Mtanzania hawa wote watapita Tanzania itabaki. Tutamkosoa Samia na akija Mwingine akakosea tutamkosoa kama ambavyo tulimkosoa Kikwete na Magufuli pia.

Na atakayefanya vizuri tutampongeza kwa mazuri yake.
Upo sahihi Mkuu.Nami nianze kwanza kukukosoa wewe Kwanini umejiita Mtu asiyejulikana??.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu wanataka kuuaminisha Umma kuwa Rais Samia Suluhu hakosei.

Hawa watu kwa kuendelea na upuuzi ule ule kwa waliokuwa wanazi na mashabiki wa Magufuli ambao nao walikuwa wanataka kuuaminisha Umma kuwa hakuwa akikosea.

Watanzania wengi wanajikita katika Ushabiki, Mahaba, Jazba, Mihemko na Ashki hata katika mambo ya msingi ya Kitaifa.

Kwa sasa limeibuka kundi la watu ambalo ukimkosoa tu Rais Samia unaonekana ulifaidika na utawala wa Magufuli. To hell.

NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO

Ni muendelezo wa kutumia matumbo kufikiri toka miaka na miaka tunaposhindwa kukemea ubovu kwa kuamua ku side na waovu kwa kuangalia kabila,dini,chama,jinsia,dhehebu n.k

Mimi nitasimama kama Mtanzania hawa wote watapita Tanzania itabaki. Tutamkosoa Samia na akija Mwingine akakosea tutamkosoa kama ambavyo tulimkosoa Kikwete na Magufuli pia.

Na atakayefanya vizuri tutampongeza kwa mazuri yake.
Kumkosoa rais,au kiongozi yoyote kwa nia ya kujenga haikatazwi
 
tatizo humu ndani wengi hukosoa kwa milengo yao, watu wakiacha ushabiki na mahaba watakosoa kwa tija bila kujali milengo yao.
Watu humu hawakosoi bali wanamchafua mtu aonekane hafai kwa kutumia makosa ya huyo mtu na kadri muda unavyozidi kwenda hujenga chuki kwa huyo mtu. Kukosoa ni kuonesha mapungufu au makosa na lengo pasahishwe na wote tunajua hakuna asiyekosea, sasa leo ukikosoa jambo kwa Mama Samia unakuta mtu anakwambia bora tu hivyo ilimradi Mama samia sio Dikteta kama Magufuli hivyo muhimu watu tuna amani katika mioyo yetu, lakini kipindi cha Magufuli mbali na kueleza huo udikteta wa Magufuli ila bado alikuwa anakosoa na makosa mengine ya Magufuli ambayo hata sasa yanaweza kufanyika ila hakosoi et kwa sababu Mama samia sio Dikteta. Hapo ndio utagundua kuwa kukosoa kwao kuna maana ya kumchafua na kumchukia huyo mtu na ndio maana sasa hivi huwaoni kukosoa bali kutetea.

Sasa hivi wamechagua kuangalia yaliyo sahihi tu ya Mama Samia na yale mapungufu hawayamuliki ila hali ikijakubadilika(na lazima iwe hivyo) na wakianza kumchafua Mama(kumkosoa) hapo hata hayo mazuri hawatoyatizama tena itakuwa wanamulika yale mapungufu tu na hata ikitokea kujirekebisha katika hayo makosa hawatopengeza kwa hilo bali watabeza maana hapo lengo ni kumchafua aonekane hafai na si kukosoa ili ajirekebishe.

Ndio maana watu wa humu wengi siwachukulii serious wengi wana matatizo ya kisaikolojia.
 
Back
Top Bottom