Tulilalamika ununuzi wa ndege nje ya bajeti, Soko la Kariakoo litajengwa kwa bajeti iliyopitishwa Bungeni?

Kwanini unasema feki, unataka mambo ya kutandikana bakora yarudi
Kama ndio njia pekee ya kuiendeleza hii nchi, basi jibu langu ni NDIO. China waliokuwa sawa na sisi miaka kadhaa nyuma walipigaje hatua? Thailand, Malaysia, Singapore? Hawa wote si wenzetu kabisa kiuchumi mwaka 1960? Nasikia China walipiga kazi kwa filimbi chini ya MAO.
 
Sawa..hela za covid kiasi gani? Maana zenji imeenda bill 250, soko la kkoo billioni 300, wamachinga wametengewa billioni 500, huko elimu na afya imeenda ngapi sijui..

Hizi hela naona mama anazimwaga tu akiamini atasifiwa kumbe anajitengenezea anguko la kisiasa. Asije tu akaifinya ripoti ijayo ya CAG.
Sukuma gang hawaamini kilichotokea....
 
Kama ndio njia pekee ya kuiendeleza hii nchi, basi jibu langu ni NDIO. China waliokuwa sawa na sisi miaka kadhaa nyuma walipigaje hatua? Thailand, Malaysia, Singapore? Hawa wote si wenzetu kabisa kiuchumi mwaka 1960? Nasikia China walipiga kazi kwa filimbi chini ya MAO.

Tuanzie katika family level, wewe umeisaidiaje familia yako, baada ya hapo umelisaidiaje Taifa?

Hizi semina zinasaidia kuwapa A,B,C,D za uongozi watu, unajua ni aibu kukuta RC anamvimbia Waziri au PM...sasa ni msasa wa kupeana miiko ya kiuongozi, ni mambo ya kawaida tuu haya Mkuu.
 
Soko la Kariakoo linajengwa upya kwa fedha za mfuko wa dharura na maafa.
Nini kilitokea hadi Soko ijengwe Kwa dhaturua? Iliungua? Mafuriko? Tetemeko la ardhi? Au? Kama inajengwa kwa mtindo huo basi justification inatakiwa.
 
Tuanzie katika family level, wewe umeisaidiaje familia yako, baada ya hapo umelisaidiaje Taifa?

Hizi semina zinasaidia kuwapa A,B,C,D za uongozi watu, unajua ni aibu kukuta RC anamvimbia Waziri au PM...sasa ni msasa wa kupeana miiko ya kiuongozi, ni mambo ya kawaida tuu haya Mkuu.
Kuisaidiaje familia yangu hakukusaidii chochote na hasa kama sielewi nini unamaanisha kwa kuulizia nilichoisaidia familia yangu! Unaniuliza kama mtoto wa kwenye familia au baba wa familia?

Hazisaidii, thibitisha msaada huo na endapo kama wanaoenda semina hizo ni wale wasio na JOB DESCRIPTION tu? Kisha uniambie FRESH from school wangapi wanaajiriwa serikalini na wanaingia moja kwa moja kwenye utendaji bila semina elekezi na MAMBO yanakwenda?
 
Sawa..hela za covid kiasi gani? Maana zenji imeenda bill 250, soko la kkoo billioni 300, wamachinga wametengewa billioni 500, huko elimu na afya imeenda ngapi sijui..

Hizi hela naona mama anazimwaga tu akiamini atasifiwa kumbe anajitengenezea anguko la kisiasa. Asije tu akaifinya ripoti ijayo ya CAG.
Nyie siniwaimba pambio? kwani jiwe alifanyaje na kuna wajinga mpaka leo wanauona mungu wao

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
Kuisaidiaje familia yangu hakukusaidii chochote na hasa kama sielewi nini unamaanisha kwa kuulizia nilichoisaidia familia yangu! Unaniuliza kama mtoto wa kwenye familia au baba wa familia?

Hazisaidii, thibitisha msaada huo na endapo kama wanaoenda semina hizo ni wale wasio na JOB DESCRIPTION tu? Kisha uniambie FRESH from school wangapi wanaajiriwa serikalini na wanaingia moja kwa moja kwenye utendaji bila semina elekezi na MAMBO yanakwenda?
Katika familia na Taifa, dhamira yangu sio unipatie jibu la majukumu ya ubaba, ni kukuambia kwamba kila mtu anawajibu kwa nchi yake na sio kubaki kuilaumu serikali.

Semina elekezi ni muhimu na zina tija, ila kwababu umedhamiria kuziponda hautaelewa maana yake ila zile ni muhimu kwaajili ya Coordination.
 
Mkuu kwani huna habari kuwa soko la Kariakoo DSM liliungua??
Mm nimeuliza tu ......unapoanzisha ujenzi Wa Soko kama kariakoo ambayo ilikuwepo miaka Na miaka jwa Hati ya dharura lazima kuna calamities ilitokea. Kuna tatizo ilitokea?
 
Ndiyo. Kilitokea janga la moto lililoteketeza soko la Kariakoo
 
Sawa..hela za covid kiasi gani? Maana zenji imeenda bill 250, soko la kkoo billioni 300, wamachinga wametengewa billioni 500, huko elimu na afya imeenda ngapi sijui..

Hizi hela naona mama anazimwaga tu akiamini atasifiwa kumbe anajitengenezea anguko la kisiasa. Asije tu akaifinya ripoti ijayo ya CAG.
Picha za litakavyokua Soko jipya la Kariakoo baada ya ujenzi wake kukamilika zimeachiwa ikiwa gharama ya ujenzi wote itakua TZS bilioni 32.2

Katika gharama hizo ukarabati wa soko la zamani ni TZS bilioni 6 na ujenzi wa soko jipya ni TZS bilioni 26.2.

acha ujinga soma hyo
 
Ndiyo. Kilitokea janga la moto lililoteketeza soko la Kariakoo
Kama ni hivyo sawa, mfuko wa maafa utaaply...lkn damage ilikuwa kiasi gani hadi kuidhinisha ujenzi kupitia mfuko wa maafa? Mbona watanzania hatujawahi ku-note serious damage ya kariakoo kupitia moto? Tusaidieni nyie watanzania wa Kariakoo.
 
Katika familia na Taifa, dhamira yangu sio unipatie jibu la majukumu ya ubaba, ni kukuambia kwamba kila mtu anawajibu kwa nchi yake na sio kubaki kuilaumu serikali.

Semina elekezi ni muhimu na zina tija, ila kwababu umedhamiria kuziponda hautaelewa maana yake ila zile ni muhimu kwaajili ya Coordination.
Poa
 
Naomba wanaojua Kama fedha za kujenga soko jipya Kariakoo zipo kwenye bajeti au zimetoka kwa Mhe Rais. Kama zinatoka kwa Rais je yeye anazitoa wapi?

Au tunaendelea kuwa taasisi inayopanga namna kinyume na Bunge Kama ilivyokuwa awamu ya Tano? Auditing yake itakuwaje? Value for money itapimwaje?
Ulizia na za machinga
 
Sawa..hela za covid kiasi gani? Maana zenji imeenda bill 250, soko la kkoo billioni 300, wamachinga wametengewa billioni 500, huko elimu na afya imeenda ngapi sijui..

Hizi hela naona mama anazimwaga tu akiamini atasifiwa kumbe anajitengenezea anguko la kisiasa. Asije tu akaifinya ripoti ijayo ya CAG.
Acha upoteshaji wewe soko la kariakoo ni 32 billion na machinga ni 5billion
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom