Tulikemee pepo la roho mbaya na visasi kwa nguvu zote

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,107
18,323
Kumbuka haya mambo

1. Pesa za rambirambi zimeliwa huku watu wanalala nje na wengine kufa wakati walio kula rambirambi wanafurahia maisha na kushangilia.

2. Wanafunzi wasio na hatia wakaitwa vilazoo na kufukuzwa chuoni kama wezi .

3. Maalim seif anaambiwa asipewe fedha za matibabu eti kwa sababu hakutoa mkono.

4. Chama cha wana nch CUF toka augost 2016 kinanyimwa ruzuku na msajiri wa vyama kwa sababu halitaki kumkubali lipumba ambaye alijiuzuru kwa kupewa fedha na ccm ili ajitoe ukawa.

5. Sumaye ananyang'anywa shamba lake kwa sababu eti alihamia upinzania.

6.Lema ananyimwa dhamana na serikali japo hakimu kampa dhamana ili kumkomoa .

7. Wananchi wanafurahia viongozi kutumbuliwa au matajiri kufilisiwa na serikali utadhani wao ndio watakua matajiri ..

Binafsi naona hii roho ya visasi na visa inatupeleka pabaya sana. Viongozi wanawahadaa wananchi kuwafurahisha kwa mabaya na mateso wanayo fanyiwa wengine.

Watanzania hatujajengwa katika misingi hiyo, tumejengwa katika misingi ya upendo na umoja, ya kutu kubaguana wala kutakia mabaya.

baada ya hawa kuisha wananchi ndio tutakua katika zamu ta kufanyiwa mabaya na huo ndio utakua mshahara wetu was kushabikia watu wenye roho mbaya.

.......
 
WaTz haya yanatupata ili tuwe na akili, na Mungu mwema akiwajaalia afya na nafasi msifanye tena uchaguzi wa kishabiki kama wa football/ngoma bali haya maisha watu watumie brain to the maximum
 
Kumbuka haya mambo

1. Pesa za rambirambi zimeliwa huku watu wanalala nje na wengine kufa wakati walio kula rambirambi wanafurahia maisha na kushangilia.

2. Wanafunzi wasio na hatia wakaitwa vilazoo na kufukuzwa chuoni kama wezi .

3. Maalim seif anaambiwa asipewe fedha za matibabu eti kwa sababu hakutoa mkono.

4. Chama cha wana nch CUF toka augost 2016 kinanyimwa ruzuku na msajiri wa vyama kwa sababu halitaki kumkubali lipumba ambaye alijiuzuru kwa kupewa fedha na ccm ili ajitoe ukawa.

5. Sumaye ananyang'anywa shamba lake kwa sababu eti alihamia upinzania.

6.Lema ananyimwa dhamana na serikali japo hakimu kampa dhamana ili kumkomoa .

7. Wananchi wanafurahia viongozi kutumbuliwa au matajiri kufilisiwa na serikali utadhani wao ndio watakua matajiri ..

Binafsi naona hii roho ya visasi na visa inatupeleka pabaya sana. Viongozi wanawahadaa wananchi kuwafurahisha kwa mabaya na mateso wanayo fanyiwa wengine.

Watanzania hatujajengwa katika misingi hiyo, tumejengwa katika misingi ya upendo na umoja, ya kutu kubaguana wala kutakia mabaya.

baada ya hawa kuisha wananchi ndio tutakua katika zamu ta kufanyiwa mabaya na huo ndio utakua mshahara wetu was kushabikia watu wenye roho mbaya.

.......
Umesahau kusema pia, Mbowe kudaiwa madeni yake na kuwa na tuhuma za kufilisi TWIGA NA NSSF NA MDEE
 
Attachments

  • DENIMBOWE.jpg
    DENIMBOWE.jpg
    7.6 KB · Views: 31
  • DENIMBOWE2.jpg
    DENIMBOWE2.jpg
    33 KB · Views: 33
Yaani kwa Tanzania siasa za kistaarabu bado sana!! Inasikitisha sana
 
This is the right president kwa mazingira ya sasa ili tuweze kusonga mbele angalia asian tigers walikopitia kufikia hapo hawakuwa na simile.
 
Wapinzani wasipobadilika hakika watapelekeshwa mpera mpera. Lazima wajifunze ustaarabu kwanza ndipo waombe kupewa ustaarabu. Huwezi kusimama jukwaani na kusema Rais atakufa kabla ya 2020 ilhali wewe si Mungu then ukataraji kufanyiwa ustaarabu
 
Nakubaliana na wewe Mkuu. Tanzania tulidekezana sana. Ndo maana nchi ikajaa wapuuzi na wajinga
 
This is the right president kwa mazingira ya sasa ili tuweze kusonga mbele angalia asian tigers walikopitia kufikia hapo hawakuwa na simile.
acha roho mbaya , nyie ndio mnafurahia kula rambirambi za maafa, hamuoni aibu, siku mtakunywa damu za watu na bado mkajitokeza kufurahia.
 
Wapinzani wasipobadilika hakika watapelekeshwa mpera mpera. Lazima wajifunze ustaarabu kwanza ndipo waombe kupewa ustaarabu. Huwezi kusimama jukwaani na kusema Rais atakufa kabla ya 2020 ilhali wewe si Mungu then ukataraji kufanyiwa ustaarabu
ustaraabu gani wa kunywa uji wa mgonjwa, hivi nyie mpooje, siku mtakula nyama za watz kama yule Bwana wa Zaire aliye kufa kifo cha mbwa.
 
Back
Top Bottom