Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,894
Nimeshangaa sana maneno haya yanamtoka mkubwa mmoja wa Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kwamba kama wakati wa janga la Meli ingalikuwa CUF hawako na CCM basi ingakukuwa balaa zaidi maana walio kufa wengi ni wapemba.Anasema muda wote walikuwa wanataka namna ya kuithibiti KAFU.Tuna bahati sana sana kwamba Seif alisha ingia mtego wetu kusingalika Pemba .Maana akisema yeye Seif hakuna wa zaidi yake .
Anasema kwamba kuikamata Chadema ni ngumu sana maana Mbowe ana pesa na kijana na Chadema ni moto hawajui CCM bara itafanyaje lakini wanaumia mno kichwa kumnsa Mbowe ili Chadema iwe kama KAFU .Waliijua bei ya Seif ila hawajui ni nini gharama ya kuinunua Chadema au Mbowe au Slaa.Wamejaribu njia nyingi lakini bado wanagonga ukuta na bado wanaona Chedema ina paa mno .
Haya wana JF nilitaka mjue nini kimeikumbuka KAFU sasa wanataka kuinunua Chadema pia .