The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,003
- 3,269
Ruksa kuota mchana.mmmh.. lazima usome picha usione tu JPM anakuchekea itakula kwako... hoja muona Rostam anaimba mwenyewe "kidumu chama cha mapinduzi"... yuko kwenye hali mbaya sana jamaa.. na siku akitiwa pingu msije kushangaa "mbona alikunywa naye chai"...
Ufisadi upo tena sana tu. Rushwa ipo tena sana tu.
Kwanza inaonekana wewe huna uhusiano na hali halisi kwenye uwanja wa mapambano. Unaandika kutoka hewani.
Kwa walioajiriwa sekta ya umma, morali ya kazi imeshuka sana.
Rushwa ndani ya jeshi la polisi ipo pale pale au imeongezeka. (nimeshuhudia jamaa akitoa rushwa kituoni mbele ya maofisa zaidi ya wanne)
Jambo lingine la kukupa hint kwamba kuna ufisadi unaendelea nchi hii ni kupungua kwa demokrasi na transparency. Shetani hufurahia giza ili uovu wake usionekana kirahisi.