Tuligomea kondomu tukafa. Sasa tulete ujeuri na Barakoa

Rufiji dam

JF-Expert Member
Feb 20, 2020
3,803
8,794
Tokea kuingia kwa janga la Ukimwi kulikuwepo na magari ya sinema yakionyesha madhara na athari za gonjwa hili ambalo lilikuwa na majina kedekede. Kama kawaida yetu wengi sana ndugu zetu wakadharau na kukebehi kuwa hauwezi kula pipi na ganda lake. Matokeo yake kila sehemu ni mwathirika wa janga hili.

Corona nalo janga tena ni janga hasa kushinda hata huo ukimwi japo vyote ni Kulwa na Doto. Tunaambiwa tusijazane lakini watu kama kawaida wanashupaza shingo. Suala la kuvaa Barakoa nalo lina ugumu gani yaani mpaka Makonda atamke tena kwa vitisho ndio tuamini. Hili gonjwa ni hatari sana kama hauna kazi ya kufanya sehemu za mkusanyiko wa watu sio lazima uonekane huko ikibidi vaa mask. Au nayo hauwezi kupumua huku unajiziba na ganda.

UKIFA NA CORONA UNATUPWA KAMA MZOGO WA MBWA ALIYEGONGWA NA GARI.
 
Na hata kama ni kweli Mimi sikuzaliwa GETO...

Nimekulia STREET na nimeshazoea msoto...

Nasizi zangu Machizi waliniita Msela ngoto...

Na kwa maDJ sitoi rushwa za kitoto...

Hata waendelee kubana hawatazuia ndoto...

Au niende PCB niwapelekee za moto...

Kama noma iwe noma, na ikibidi iwe kinoma...

Wanajiua kimuziki ni kwanini nione huruma...
 
Punguza speed utachoka mapema kisha utabadili ID. Kuitetea ccm haijawahi kuwa kazi rahisi. Una miezi michache utachoka, niliwaambia akina Kawe Alumni na mwenzie nimeshamsahau ID yake, walikuepo wengine kabla yako akina jingalao na Malaria Sugu na Ritz walikua wanapost kuliko wewe. Wamechoka wamekimbia. Utakimbia pia
Screenshot_20200419-075846.png
 
WaTz wengi tuna masikio ya kenge, hatusikii mpaka tutoke damu...

Wale wabishi wenzangu na msikie
😂😂
Mbishi niko hapa hilo neno barakoa badala niitafute ndo kwanza nimelitohoa kuwa jina kwa wengine.. hata wewe kwa kuwa ni mbishi nakuita barakoa😜😅
 
Moderators naomba mtuwekee kipengele cha dislike, kwa ajili ya comment ushubwada kama hizi
Mask anavaa mgonjwa wa corona na muhudumu pia na mtu anayepiga chafya Mara kwa Mara na kukohoa.

Bashite afahamu chochote kuhusu corona , kama serikali ya Daudi ingekuwa sereous wangefunga mipaka kwa kuzuia ndege mwanzoni kabisa.

Alafu hata nikifa kwa Corona hiyo sio swala lako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom