Tulifurahi pamoja, tukadhalilishwa, tukaonewa pamoja, sasa… | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tulifurahi pamoja, tukadhalilishwa, tukaonewa pamoja, sasa…

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Msharika, Oct 3, 2010.

 1. M

  Msharika JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Uyo ndo JK bwana
   
 3. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Lowasa yule waziri mkuu fisadi aliyejiuzulu .
   
 4. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  [FONT=&quot]Tulifisidi pamoja, tulifurahi pamoja, tukadhalilishwa, tukaonewa pamoja, sasa tuokoane...
  [/FONT]
   
 5. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280

  TBC wanamuita "Waziri Mkuu Mstaafu"
   
 6. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Naam
  hii ndo tanzania yenye viongozi wanao TANZA (zuia/ kinga) NIA (malengo) ZUIAMALENGO kama ukitafsiri TANZANIA kwa kiswahili fasaha.
   
 7. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Kama tuko klas vile
   
 8. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Ukiona hivyo ujue huyo jamaa ni kilaza full na anawafuasi mbaya huko Arusha nasikia anamsaidia batilada kumwaga pesa tuuu huko yaani ni maaajabu chadema hawatumiii nguvu kuita watu ila CCM inawaita watu kwa pesa hii twawajengea watanzania tabia mbaya sana.

  kama viongozi wanawahonga watu kuja kwa mikutano yao watakurudishia vipi iyo pesaaa???

   
 9. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #9
  Oct 3, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Duuuuh hiii kubwa wacha bwana kha bhabhehi ghiiiii mwana wane[/FONT]
   
Loading...