Tulifumua mtaala na kutengeneza upya mkatucheka, oneni sasa wenyewe mnajisema - Why Tanzania’s education is a joke

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,733
48,293
Sisi Wakenya tuna uthubutu, tulikusanya wazawa wazalendo wa nchi hii kutokea kwa washika dau wote wanaohusiana na elimu, wakafumua mtaala uliokuwepo na kuunda upya herufi kwa herufi kwa kuzingatia mifumo ya kisasa, mahitaji ya soko la ajira, uzalishaji kwenye uchumi na suala lote la kijamii. Kama kawaida MATAGA mlikesha humu mkichekelea...haya ona sasa wenyewe mnavyojichekea na kujihurumia kwa wakati mmoja....

=================

When results of national Form Four exams are scrutinised, one of the things that becomes quite clear is that a big joke is being perpetrated in our education system. The problem is that this joke is not very funny.

Just consider the evidence.

In the past three years, 872,000 candidates, that is 65 percent of all Form Four candidates, got divisions four and zero. That is the number of youngsters who wasted four years in school while they could be doing something useful elsewhere. Millions have been left behind in the past.

In 2021, 335,386 candidates attempted 11 papers, that is, all examinations with the exception of subjects such as Additional Mathematics. The results show that when Tanzanians sit for secondary school exams, two percent will get A grade, six percent B’s, 27 percent C’s, 29 percent D’s, and 36 percent F’s. That is, only eight percent of candidates get a B average or above, while a whopping 65 percent of candidates get D’s and F’s.

If results such as these don’t make Tanzanians flinch in horror, don’t get the relevant minister and team fired, or they don’t make the so-called development partners reconsider their education support unless they see serious intent on transforming the situation, it is difficult to know what would achieve that.

Unfortunately, the nation suffers from a double burden – on one side people have been so desensitised to failure that it doesn’t bother them anymore, and on the other side development partners have a very low opinion of us that they would continue to perpetuate the system while knowing that there is hardly anything to show for it. As a result, those who are responsible for this situation are completely off the hook.

Probably a further review of the situation will help to highlight the need for swift change.

In 2021, out of 12,054 candidates that sat for Bookkeeping paper, only 89 got an A grade. Similarly, out of 12,672 who sat for the Commerce exam, only 23 got an A grade. Just imagine a nation of 60 million people producing 89 A’s in Bookkeeping and 23 A’s in Commerce after four years of study! Twenty-three A’s for 12,672 students? Remarkably, in Additional Mathematics, the subject that requires far superior levels of proficiency, there are 72 A’s out of 319. Kudos to the teachers that made that happen!

While we are at it, why so few candidates sit for business exams? Lately, so much noise is being made about STEM subjects as if this is some holy grail for national development. I did STEM and I don’t see what the hullaballoo is all about. Yes, when you meet a person that is brilliant in math you just feel like taking your hat off. However, in almost all fields of science, technology, or engineering today, there are more graduates in the streets than Tanzania can absorb. Many are underemployed, doing technician jobs. But it feels good to keep talking about STEM, right?

However, given our shockingly poor performance even in subjects such as Bookkeeping and Commerce, the subjects which lay the foundation for those who will be managing businesses, financial institutions and the economy in the future, who will step into those crucial roles if we produce 23 A’s a year? We may as well announce to the world that all future C-level positions will be for foreigners only.

Education programmes in the world are designed in such a way that even people of average intelligence in the population can succeed. So, students don’t need to be geniuses to get A’s and B’s. Anyone who applies himself or herself, when the conditions are right, will get A’s and B’s. However, while there are studies that suggest that certain populations are relatively less endowed mentally than others, where factors such as childhood nutrition and genetics apply, our exam results suggest something is seriously wrong with Tanzanians. But that is not it – Tanzanian students, in a different environment, would have performed just as well as others.

The problem is that the system is broken. But was it designed to work at all? With these results, the evidence suggests that it was created to generate mediocrity. In that regard, we have been astonishingly successful. I mean, you can see mediocrity all around.

A few years ago, I was speaking in front of two dozen or so doctors. After about half an hour, I received a note, quite discreetly, asking me to repeat what I had just said in Swahili! You cannot make these things up.

In 2018, in global sales of tanzanite, the stones found in Tanzania only, Tanzania came a distant third, making less than 10 percent of what India and Kenya make annually. You have to aim for that degree of failure to achieve it.

Again, a big joke is being perpetrated here, and it is not very funny. It is time Tanzania got serious with education. All other developments are a mirage if the population is largely uneducated. It is only a matter of time before smarter individuals and take control of both the economy and the politics.

Fifty years ago, Ugandans of Asian decent controlled 98 percent of retail trade in Kampala and 92 percent of total trade. They also contributed 90 percent of tax revenues, despite being less than one percent of the population. Idi Amin expelled them, but did Ugandans get any better in business? No. Today, people of Asian decent are back, currently contribute 60 percent of tax revenues.

There are no shortcuts.

Hivi kumbe source ya hiyo habari ni citizen ke? Ungesema mapema ata nisingehangaika kuisoma hii thread yako ila kama hufahamu siku hizi mambo yamebadilika sana kuna wakenya wengi sana wanasoma tz kama huamini nenda tarime,rorya,mwanga au moshi utawakuta wakenya wanaovuka boarder kuijia huduma muhimu kama elimu tz
 
Ukiweka mihemko pembeni, jiulize kama facts zote zilizotajwa humo ni kweli, na kama ni kweli basi mpo hovyo sana, mnatia aibu na mnaendelea kuzorota kielimu.
 
Jamaa kaandika kwa hasira sana daah,ila bado elimu ya Tz ni bora japo inahitaji marekebisho kidogo

Wanapofaulu wachache na kufeli wengi,basi ni sahihi kusema mtihani ulikua mgumu.na km kuna A chache basi ni sahihi kusema mtihani ulikua mgumu.

Na mtihani mgumu ndiyo unampima mwanafunzi kwa angle zote.so still mitaala yetu ni mizuri japo inahitaji marekebisho kidogo.
 
Ukiweka mihemko pembeni, jiulize kama facts zote zilizotajwa humo ni kweli, na kama ni kweli basi mpo hovyo sana, mnatia aibu na mnaendelea kuzorota kielimu.
Hivi zaidi ya kiingereza mnatuzidi nini tena cha ziada kwenye elimu
Nahisi huelewi nini kuhusu elimu,jiulize wagiriki,walatin pamoja wayunani ndio watu waliosoma zaidi duniani na wana aminika kuwa ndio wana IQ kubwa kuliko race yoyote hapa duniani,lakini ukitazama nchi zao kwa sasa hali zao ni mbaya sana.
Chukulia mfano kwa wachina au waarab,wao masuala ya elimu ata burundi anawapiga chini lakini njoo kwenye kila nyanja ya kímaisha burundi haingizi ata kivuli chake kwa hao jamaa

Note:Africa haihitaji kuwa na elimu kubwa ya nadharia bali inahitaji kupata elimu itakayo msaidia kutoka kwenye hali ufukara aliyo nayo
 
Hehehe!! Kwa sisi kuwazidi kielimu ndio kumetuwezesha tuwazidi kwenye kila kitu, kiuchumi, kiteknolojia, kimtazamo, kijeshi n.k.
Tatizo lenu kubwa mpo wazembe wazembe na waoga msio na uthubutu wowote, yaani mpo mpo tu siku ziende. Sisi tulithubutu kufumua mtaala wote tukaandika upya, tukafumua katiba tukatengeneza ya kwetu.......

Kainchi ketu kadogo, zaidi ya nusu yake ni kame tupu, hatuna madini lakini uchumi wetu unaelekea kuwa mara mbili yenu licha ya liinchi lote hilo kubwa lenye rotuba nzuri kote na madini ya kumwaga...
Mchawi wenu yuko kwenye huu uzi hapa kausome Hatuwezi kuendelea kuilaumu Kenya na Mabeberu kwa matatizo binafsi ya Tanzania: 'We are paying the price of our own Wrongdoings!'

2795325_gdp.jpg
 
Bro acha kutumia maoni ya watu kama ndio maoni ya watz wote hata hapo kenya kuna watu wanaiponda sana Kenya na wanatamani kuishi Tanzania na wanaichukulia Tanzania kama ndio peponi yao......Be open minded.
Nchi yenu haijawahi kuishinda Tanzania kijeshi ata siku moja hilo ukae ukifahamu na kama unabisha muulize mganda na libya tulivyo wafanya lakini nyie mkapigwa mkwara mdogo tu na mganda mkamuachia Migingo island mbali na hapo alshabaab anawatesa kila kukicha

JamiiForums2046794135.png

JamiiForums1937269549.png
 
Bro acha kutumia maoni ya watu kama ndio maoni ya watz wote hata hapo kenya kuna watu wanaiponda sana Kenya na wanatamani kuishi Tanzania na wanaichukulia Tanzania kama ndio peponi yao......Be open minded.
Nchi yenu haijawahi kuishinda Tanzania kijeshi ata siku moja hilo ukae ukifahamu na kama unabisha muulize mganda na libya tulivyo wafanya lakini nyie mkapigwa mkwara mdogo tu na mganda mkamuachia Migingo island mbali na hapo alshabaab anawatesa kila kukicha

View attachment 2118252

View attachment 2118253

Siongei kuhusu maoni yake, ila facts zilizopo humo alizowasilisha....
Haya mambo hudadavuliwa kisayansi sio hizo ngonjera za Uswazi African Military Strength (2022)

2795325_gdp.jpg
 
Sisi Wakenya tuna uthubutu, tulikusanya wazawa wazalendo wa nchi hii kutokea kwa washika dau wote wanaohusiana na elimu, wakafumua mtaala uliokuwepo na kuunda upya herufi kwa herufi kwa kuzingatia mifumo ya kisasa, mahitaji ya soko la ajira, uzalishaji kwenye uchumi na suala lote la kijamii. Kama kawaida MATAGA mlikesha humu mkichekelea...haya ona sasa wenyewe mnavyojichekea na kujihurumia kwa wakati mmoja....

=================

When results of national Form Four exams are scrutinised, one of the things that becomes quite clear is that a big joke is being perpetrated in our education system. The problem is that this joke is not very funny.

Just consider the evidence.

In the past three years, 872,000 candidates, that is 65 percent of all Form Four candidates, got divisions four and zero. That is the number of youngsters who wasted four years in school while they could be doing something useful elsewhere. Millions have been left behind in the past.

In 2021, 335,386 candidates attempted 11 papers, that is, all examinations with the exception of subjects such as Additional Mathematics. The results show that when Tanzanians sit for secondary school exams, two percent will get A grade, six percent B’s, 27 percent C’s, 29 percent D’s, and 36 percent F’s. That is, only eight percent of candidates get a B average or above, while a whopping 65 percent of candidates get D’s and F’s.

If results such as these don’t make Tanzanians flinch in horror, don’t get the relevant minister and team fired, or they don’t make the so-called development partners reconsider their education support unless they see serious intent on transforming the situation, it is difficult to know what would achieve that.

Unfortunately, the nation suffers from a double burden – on one side people have been so desensitised to failure that it doesn’t bother them anymore, and on the other side development partners have a very low opinion of us that they would continue to perpetuate the system while knowing that there is hardly anything to show for it. As a result, those who are responsible for this situation are completely off the hook.

Probably a further review of the situation will help to highlight the need for swift change.

In 2021, out of 12,054 candidates that sat for Bookkeeping paper, only 89 got an A grade. Similarly, out of 12,672 who sat for the Commerce exam, only 23 got an A grade. Just imagine a nation of 60 million people producing 89 A’s in Bookkeeping and 23 A’s in Commerce after four years of study! Twenty-three A’s for 12,672 students? Remarkably, in Additional Mathematics, the subject that requires far superior levels of proficiency, there are 72 A’s out of 319. Kudos to the teachers that made that happen!

While we are at it, why so few candidates sit for business exams? Lately, so much noise is being made about STEM subjects as if this is some holy grail for national development. I did STEM and I don’t see what the hullaballoo is all about. Yes, when you meet a person that is brilliant in math you just feel like taking your hat off. However, in almost all fields of science, technology, or engineering today, there are more graduates in the streets than Tanzania can absorb. Many are underemployed, doing technician jobs. But it feels good to keep talking about STEM, right?

However, given our shockingly poor performance even in subjects such as Bookkeeping and Commerce, the subjects which lay the foundation for those who will be managing businesses, financial institutions and the economy in the future, who will step into those crucial roles if we produce 23 A’s a year? We may as well announce to the world that all future C-level positions will be for foreigners only.

Education programmes in the world are designed in such a way that even people of average intelligence in the population can succeed. So, students don’t need to be geniuses to get A’s and B’s. Anyone who applies himself or herself, when the conditions are right, will get A’s and B’s. However, while there are studies that suggest that certain populations are relatively less endowed mentally than others, where factors such as childhood nutrition and genetics apply, our exam results suggest something is seriously wrong with Tanzanians. But that is not it – Tanzanian students, in a different environment, would have performed just as well as others.

The problem is that the system is broken. But was it designed to work at all? With these results, the evidence suggests that it was created to generate mediocrity. In that regard, we have been astonishingly successful. I mean, you can see mediocrity all around.

A few years ago, I was speaking in front of two dozen or so doctors. After about half an hour, I received a note, quite discreetly, asking me to repeat what I had just said in Swahili! You cannot make these things up.

In 2018, in global sales of tanzanite, the stones found in Tanzania only, Tanzania came a distant third, making less than 10 percent of what India and Kenya make annually. You have to aim for that degree of failure to achieve it.

Again, a big joke is being perpetrated here, and it is not very funny. It is time Tanzania got serious with education. All other developments are a mirage if the population is largely uneducated. It is only a matter of time before smarter individuals and take control of both the economy and the politics.

Fifty years ago, Ugandans of Asian decent controlled 98 percent of retail trade in Kampala and 92 percent of total trade. They also contributed 90 percent of tax revenues, despite being less than one percent of the population. Idi Amin expelled them, but did Ugandans get any better in business? No. Today, people of Asian decent are back, currently contribute 60 percent of tax revenues.

There are no shortcuts.

Hamna nchi nyingine ya kujifananisha nayo isipokuwa Tanzania 🇹🇿 tu?
 
Siongei kuhusu maoni yake, ila facts zilizopo humo alizowasilisha....
Haya mambo hudadavuliwa kisayansi sio hizo ngonjera za Uswazi African Military Strength (2022)

2795325_gdp.jpg
Kuwa open minded bro,usiishi kwa kufuata data za Google au Wikipedia kwa kiasi kikubwa uwa zinadanganya,na ukweli ambao huujui ni huu;

Tanzania ananunua silaha kwa warusi na wachina toka zamani hilo unapaswa ufahamu na ukizingatia hizo nchi na mabdpari wa America na ulaya ni paka na panya yaani uwa haziivi kabsa na.ata hizo data kwa kiasi kikubwa uwa zinaandaliwa na hao mabepari ndio maana unaweza ukashangaa ukamkuta mtanzani anashika nafasi ya mwisho ata hapa Africa mashariki lakini sasa njoo kwenye reality Tanzania ana jeshi pamoja na intelligency system ya maana kuliko ata nchi yoyote hapa Africa kama unabisha mtafute Msauzi akuambie,hapa bongo ndio watu wa ukanda wa kusini mwa Africa huja kupata mafunzo ya kijeshi pamoja na intelijensia.

Kama ulikuwa hufahamu basi elewa hivi;
Paul kagame ni kijana wetu tumemfundisha sisi jeshi na ata uongozi,mji wa kigali aliomba maafsa mipango miji kutoka Tanzania waende wakamsaidie kutengeneza kigali baada ya vita,nafikiri unaifahamu Rwanda ya sasa hiyo ni kazi yetu.

Laurent kabila pamoja na mwanae Joseph wamepata mafunzo ya kijeshi hapa na ata huyo Joseph kasoma morogoro kaenda kongo.akiwa mtu mzima kabisa.

Yoweri mu7 kapitia JWTZ then akaenda uganda akawa rais

Pierre Nkrunzinza kaishi,kasoma Tz na kapitia JWTZ

Yaani list ni ndefu sana nahisi utakuwa umenielewa acha kutumia Google na Wikipedia kama chanzo chako cha taarifa una haribu sana kichwa chako nahisi elimu yako haijafika chuo kikuu na kama umefika basi kenya mna Safari ndefu sana kufika kielimu mbali na kuwa mnaringia kiingereza
 
ukitaka kujua kuwa hizo data ni za kutengenezwa na mabepari kwa maslahi yao,ebu njoo kwenye reality Kongo ana jeshi la kumzidi Rwanda…? Naomba jijibu mwenyewe.
Nahisi hujui haya mambo ila ngoja nikuweke wazi leo kuwa ata M23 hao ni Rwandese wanaopewa support na kagame ili wakapate mali Congo
 
Kuwa open minded bro,usiishi kwa kufuata data za Google au Wikipedia kwa kiasi kikubwa uwa zinadanganya,na ukweli ambao huujui ni huu;

Tanzania ananunua silaha kwa warusi na wachina toka zamani hilo unapaswa ufahamu na ukizingatia hizo nchi na mabdpari wa America na ulaya ni paka na panya yaani uwa haziivi kabsa na.ata hizo data kwa kiasi kikubwa uwa zinaandaliwa na hao mabepari ndio maana unaweza ukashangaa ukamkuta mtanzani anashika nafasi ya mwisho ata hapa Africa mashariki lakini sasa njoo kwenye reality Tanzania ana jeshi pamoja na intelligency system ya maana kuliko ata nchi yoyote hapa Africa kama unabisha mtafute Msauzi akuambie,hapa bongo ndio watu wa ukanda wa kusini mwa Africa huja kupata mafunzo ya kijeshi pamoja na intelijensia.

Kama ulikuwa hufahamu basi elewa hivi;
Paul kagame ni kijana wetu tumemfundisha sisi jeshi na ata uongozi,mji wa kigali aliomba maafsa mipango miji kutoka Tanzania waende wakamsaidie kutengeneza kigali baada ya vita,nafikiri unaifahamu Rwanda ya sasa hiyo ni kazi yetu.

Laurent kabila pamoja na mwanae Joseph wamepata mafunzo ya kijeshi hapa na ata huyo Joseph kasoma morogoro kaenda kongo.akiwa mtu mzima kabisa.

Yoweri mu7 kapitia JWTZ then akaenda uganda akawa rais

Pierre Nkrunzinza kaishi,kasoma Tz na kapitia JWTZ

Yaani list ni ndefu sana nahisi utakuwa umenielewa acha kutumia Google na Wikipedia kama chanzo chako cha taarifa una haribu sana kichwa chako nahisi elimu yako haijafika chuo kikuu na kama umefika basi kenya mna Safari ndefu sana kufika kielimu mbali na kuwa mnaringia kiingereza

GFP index sio Google, huwa wanazingatia vigezo vingi sana kwenye military science, halafu hizo hadithi zenu za vita vya kale dhidi ya Id Amin kuna mengi huwa hamuyasemi maana mara nyingi huwa tunasema history is written by the victors, kwanza raia wote wa Uganda walkua hawamtaki dikteta Amin, hivyo walikubali nchi yao kukojolewa, lakini mkithubutu kuvamia nchi yenye watu wake wazalendo ndio mtakoma.
Pili, wanajeshi wa Amin walikua wezi ambao hawakua na utashi wowote, walizoea kuiba na kunyanyasa na waoga kishenzi.
Tatu, mlisaidiwa na maelfu ya waasi wa Uganda wakwemo wapiganaji wa Museveni, Tito Okello na hata wengine walitokea Msumbiji.
Nne, licha ya advantages zote hizo, hiyo vita iliwarudisha nyuma back to stone age, mkawa maskini mpaka leo hamjapona kabisa.

Nyerere alikosea sana kuingilia maugomvi kote akijifanya kuikomboa Afrika na kuishia kutesa nchi yake, huyo Id Amin mlimchokoza nyie kwa kulea maelfu ya waasi dhidi yake, historia yenu huwa mnaanza kuandika pale baada ya uvamizi wa Kagera, lakini huwa hamtaji chanzo chake huko nyuma. Hebu wewe waza leo msikie Kenya inawapa mafunzo maelfu ya waasi wa Tanzana na kuwapa hifadhi na matunzo, mlikua na kiherehere cha uchokozi sana.
 
Hivi zaidi ya kiingereza mnatuzidi nini tena cha ziada kwenye elimu
Nahisi huelewi nini kuhusu elimu,jiulize wagiriki,walatin pamoja wayunani ndio watu waliosoma zaidi duniani na wana aminika kuwa ndio wana IQ kubwa kuliko race yoyote hapa duniani,lakini ukitazama nchi zao kwa sasa hali zao ni mbaya sana.
Chukulia mfano kwa wachina au waarab,wao masuala ya elimu ata burundi anawapiga chini lakini njoo kwenye kila nyanja ya kímaisha burundi haingizi ata kivuli chake kwa hao jamaa

Note:Africa haihitaji kuwa na elimu kubwa ya nadharia bali inahitaji kupata elimu itakayo msaidia kutoka kwenye hali ufukara aliyo nayo
Hivi Elimu ya Tanzania Ina hizo sifa ulizosema au ndiyo hiyo ya kukariri ili pawe na mashindano ya kupata A na shule kuongoza.

Watanzania wanapata maksi za juu kabisa kwenye Masomo Mengi lakini njoo kwenye mfumo wa maisha uanosimamiwa na hao wasomi . Kilimo Kiko hoi,biashara Bado sana hatuwezi kushindana zaidi ya wizi na ushirikina , wataalamu wengi ni Wababaishaji wanaotafuta madili TU. Miaka 60 ya uhuru hatuwezi kujenga Daraja bila Mchina.
Madini yamejaa huko ardhini lakini hatuna wataalamu wa kutosha.

Huo mfumo Bora ni upi kama hauendani na rasilimali zetu zilizopo?

Kenya hata bidhaa wanazozalisha ni Bora ukilinganisha na za kwetu.
Blue band
Maziwa
Mikate,
Chumvi.
Sabuni
Madawa
Biscuit.
N.k
Huwezi Kulinganisha na kushindanisha kwenye soko.
Tanzania bidhaa dhaifu bei kubwa.
Tuliua viwanda vilivyokuwa vinazalisha bidhaa Bora na kuwauzia wahindi ambao walivipelekwa kwao na kutuachia makapi. Wasomi wetu wakishaoata PhD wanakimbilia kwenye siasa ili wasipoteze muda wa kufikiri. Wale Bata na kugonga meza bungeni.
 
GFP index sio Google, huwa wanazingatia vigezo vingi sana kwenye military science, halafu hizo hadithi zenu za vita vya kale dhidi ya Id Amin kuna mengi huwa hamuyasemi maana mara nyingi huwa tunasema history is written by the victors, kwanza raia wote wa Uganda walkua hawamtaki dikteta Amin, hivyo walikubali nchi yao kukojolewa, lakini mkithubutu kuvamia nchi yenye watu wake wazalendo ndio mtakoma.
Pili, wanajeshi wa Amin walikua wezi ambao hawakua na utashi wowote, walizoea kuiba na kunyanyasa na waoga kishenzi.
Tatu, mlisaidiwa na maelfu ya waasi wa Uganda wakwemo wapiganaji wa Museveni, Tito Okello na hata wengine walitokea Msumbiji.
Nne, licha ya advantages zote hizo, hiyo vita iliwarudisha nyuma back to stone age, mkawa maskini mpaka leo hamjapona kabisa.

Nyerere alikosea sana kuingilia maugomvi kote akijifanya kuikomboa Afrika na kuishia kutesa nchi yake, huyo Id Amin mlimchokoza nyie kwa kulea maelfu ya waasi dhidi yake, historia yenu huwa mnaanza kuandika pale baada ya uvamizi wa Kagera, lakini huwa hamtaji chanzo chake huko nyuma. Hebu wewe waza leo msike Kenya nawapa mafunzo maelfu ya waasi wa Tanzana na kuwapa hifadhi na matunzo, mlikua na kiherehere cha uchokozi sana.
Pia Mzee Kenyatta alisaidia sana alipowahadaa Walibya walipotaka kutua kwakwe Kwa dharura.
Wakajikuta wanatua Kilimanjaro Airport.

Walibya wangeigaeuza tz kuwa jangwa.
Mak
Enzi hizo Jeshi la Tanzania halikua na hata magari ya kubeba abiria mpaka wakawa wanachukua mabasi ya Wananchi .
Ule umoja wa watanzania wakati ule ulisadia sana.
Kwa Sasa hali ni Tofauti.
Huwezi ukaigusa Uganda yenye umoja au Rwanda, au Kenya. Vita ya nchi isiyogawanyika ni ngumu sana
 
Hivi kumbe source ya hiyo habari ni citizen ke? Ungesema mapema ata nisingehangaika kuisoma hii thread yako ila kama hufahamu siku hizi mambo yamebadilika sana kuna wakenya wengi sana wanasoma tz kama huamini nenda tarime,rorya,mwanga au moshi utawakuta wakenya wanaovuka boarder kuijia huduma muhimu kama elimu tz
Acha ujinga ndugu yangu. Wakenya wasomao Tanzania hawafuati ubora wa elimu ya Tanzania, la hasha. Wanafuata unafuu wa gharama za elimu.

Ni wajanja, wanajua wakisoma Tanzania, kwa ubovu wa mitaala yetu ni rahisi kufaulu.

Kubwa zaidi ya yote, wanaandaa mazingira ya kuajiriwa Tanzania ambako hakuna mchujo katika ajira. Mtu akisoma shule ya msingi ndani ya Tanzania, tayari ni mtanzania na hana kizuizi kuajiriwa ndani ya nchi.

Kwa mtindo huu imekuwa ni rahisi sana majirani zetu kupandikiza mashushushu wao Tanzania. Wanawaleta na kuwaingiza katika mifumo yetu ya elimu kisha wanakula ajira kiurahisi na kutimiza azma zao.

Nchi yangu Tanzania, unachekwa hata na waafrika wenzako!! Tena majirani anbao hakuna mwaka wamemudu kujitegemea kwa sembe. Unawalisha, wanakucheka.
 
Sisi Wakenya tuna uthubutu, tulikusanya wazawa wazalendo wa nchi hii kutokea kwa washika dau wote wanaohusiana na elimu, wakafumua mtaala uliokuwepo na kuunda upya herufi kwa herufi kwa kuzingatia mifumo ya kisasa, mahitaji ya soko la ajira, uzalishaji kwenye uchumi na suala lote la kijamii. Kama kawaida MATAGA mlikesha humu mkichekelea...haya ona sasa wenyewe mnavyojichekea na kujihurumia kwa wakati mmoja....

=================

When results of national Form Four exams are scrutinised, one of the things that becomes quite clear is that a big joke is being perpetrated in our education system. The problem is that this joke is not very funny.

Just consider the evidence.

In the past three years, 872,000 candidates, that is 65 percent of all Form Four candidates, got divisions four and zero. That is the number of youngsters who wasted four years in school while they could be doing something useful elsewhere. Millions have been left behind in the past.

In 2021, 335,386 candidates attempted 11 papers, that is, all examinations with the exception of subjects such as Additional Mathematics. The results show that when Tanzanians sit for secondary school exams, two percent will get A grade, six percent B’s, 27 percent C’s, 29 percent D’s, and 36 percent F’s. That is, only eight percent of candidates get a B average or above, while a whopping 65 percent of candidates get D’s and F’s.

If results such as these don’t make Tanzanians flinch in horror, don’t get the relevant minister and team fired, or they don’t make the so-called development partners reconsider their education support unless they see serious intent on transforming the situation, it is difficult to know what would achieve that.

Unfortunately, the nation suffers from a double burden – on one side people have been so desensitised to failure that it doesn’t bother them anymore, and on the other side development partners have a very low opinion of us that they would continue to perpetuate the system while knowing that there is hardly anything to show for it. As a result, those who are responsible for this situation are completely off the hook.

Probably a further review of the situation will help to highlight the need for swift change.

In 2021, out of 12,054 candidates that sat for Bookkeeping paper, only 89 got an A grade. Similarly, out of 12,672 who sat for the Commerce exam, only 23 got an A grade. Just imagine a nation of 60 million people producing 89 A’s in Bookkeeping and 23 A’s in Commerce after four years of study! Twenty-three A’s for 12,672 students? Remarkably, in Additional Mathematics, the subject that requires far superior levels of proficiency, there are 72 A’s out of 319. Kudos to the teachers that made that happen!

While we are at it, why so few candidates sit for business exams? Lately, so much noise is being made about STEM subjects as if this is some holy grail for national development. I did STEM and I don’t see what the hullaballoo is all about. Yes, when you meet a person that is brilliant in math you just feel like taking your hat off. However, in almost all fields of science, technology, or engineering today, there are more graduates in the streets than Tanzania can absorb. Many are underemployed, doing technician jobs. But it feels good to keep talking about STEM, right?

However, given our shockingly poor performance even in subjects such as Bookkeeping and Commerce, the subjects which lay the foundation for those who will be managing businesses, financial institutions and the economy in the future, who will step into those crucial roles if we produce 23 A’s a year? We may as well announce to the world that all future C-level positions will be for foreigners only.

Education programmes in the world are designed in such a way that even people of average intelligence in the population can succeed. So, students don’t need to be geniuses to get A’s and B’s. Anyone who applies himself or herself, when the conditions are right, will get A’s and B’s. However, while there are studies that suggest that certain populations are relatively less endowed mentally than others, where factors such as childhood nutrition and genetics apply, our exam results suggest something is seriously wrong with Tanzanians. But that is not it – Tanzanian students, in a different environment, would have performed just as well as others.

The problem is that the system is broken. But was it designed to work at all? With these results, the evidence suggests that it was created to generate mediocrity. In that regard, we have been astonishingly successful. I mean, you can see mediocrity all around.

A few years ago, I was speaking in front of two dozen or so doctors. After about half an hour, I received a note, quite discreetly, asking me to repeat what I had just said in Swahili! You cannot make these things up.

In 2018, in global sales of tanzanite, the stones found in Tanzania only, Tanzania came a distant third, making less than 10 percent of what India and Kenya make annually. You have to aim for that degree of failure to achieve it.

Again, a big joke is being perpetrated here, and it is not very funny. It is time Tanzania got serious with education. All other developments are a mirage if the population is largely uneducated. It is only a matter of time before smarter individuals and take control of both the economy and the politics.

Fifty years ago, Ugandans of Asian decent controlled 98 percent of retail trade in Kampala and 92 percent of total trade. They also contributed 90 percent of tax revenues, despite being less than one percent of the population. Idi Amin expelled them, but did Ugandans get any better in business? No. Today, people of Asian decent are back, currently contribute 60 percent of tax revenues.

There are no shortcuts.

when you get rid of your tribalism you will be much better off than you are to date. The tribalism is a time bomb waiting to explode sooner or later, the social drawback of yours is Tribalism. Whenever you think of Tz you have to firstly think of your tribalism- Cancer.
 
Acha ujinga ndugu yangu. Wakenya wasomao Tanzania hawafuati ubora wa elimu ya Tanzania, la hasha. Wanafuata unafuu wa gharama za elimu.

Ni wajanja, wanajua wakisoma Tanzania, kwa ubovu wa mitaala yetu ni rahisi kufaulu.

Kubwa zaidi ya yote, wanaandaa mazingira ya kuajiriwa Tanzania ambako hakuna mchujo katika ajira. Mtu akisoma shule ya msingi ndani ya Tanzania, tayari ni mtanzania na hana kizuizi kuajiriwa ndani ya nchi.

Kwa mtindo huu imekuwa ni rahisi sana majirani zetu kupandikiza mashushushu wao Tanzania. Wanawaleta na kuwaingiza katika mifumo yetu ya elimu kisha wanakula ajira kiurahisi na kutimiza azma zao.

Nchi yangu Tanzania, unachekwa hata na waafrika wenzako!! Tena majirani anbao hakuna mwaka wamemudu kujitegemea kwa sembe. Unawalisha, wanakucheka.
N
GFP index sio Google, huwa wanazingatia vigezo vingi sana kwenye military science, halafu hizo hadithi zenu za vita vya kale dhidi ya Id Amin kuna mengi huwa hamuyasemi maana mara nyingi huwa tunasema history is written by the victors, kwanza raia wote wa Uganda walkua hawamtaki dikteta Amin, hivyo walikubali nchi yao kukojolewa, lakini mkithubutu kuvamia nchi yenye watu wake wazalendo ndio mtakoma.
Pili, wanajeshi wa Amin walikua wezi ambao hawakua na utashi wowote, walizoea kuiba na kunyanyasa na waoga kishenzi.
Tatu, mlisaidiwa na maelfu ya waasi wa Uganda wakwemo wapiganaji wa Museveni, Tito Okello na hata wengine walitokea Msumbiji.
Nne, licha ya advantages zote hizo, hiyo vita iliwarudisha nyuma back to stone age, mkawa maskini mpaka leo hamjapona kabisa.

Nyerere alikosea sana kuingilia maugomvi kote akijifanya kuikomboa Afrika na kuishia kutesa nchi yake, huyo Id Amin mlimchokoza nyie kwa kulea maelfu ya waasi dhidi yake, historia yenu huwa mnaanza kuandika pale baada ya uvamizi wa Kagera, lakini huwa hamtaji chanzo chake huko nyuma. Hebu wewe waza leo msikie Kenya inawapa mafunzo maelfu ya waasi wa Tanzana na kuwapa hifadhi na matunzo, mlikua na kiherehere cha uchokozi san
Na kama hufahamu ata Raila Odinga kuna wakati alikuja kuongea na Jakaya ampatie mafunzo vijana wake wa kijaluo kutoka pale Ramogi waje Rorya kama ngome yao ya kujificha lakini Jakaya akagoma akamwambia kwamba 'Kaka tumesaidia sana waafrika wenzetu lakini mwisho wa siku walikuja wakatupaka tu matope sasa kama unataka labda nikupe mgambo tu lakini sio nchi yangu itumike kama hifadhi yako ya magaidi' raila akakubali akapewa vjjana tena migambo tu wakaenda kupigana na mungiki enzi zile za Mwai kibaki kama sikosei ilikuwa 2007 nilikuwa nipo JKT najiandaa kuingia Chuo kikuu,mimi pia niliambiwa kama nakubali basi niende ila nilihofia sana maisha yangu japo kulikuwa kuna donge nono.

Kaka,sisi tukiamua kumpiga mtu yoyote hapa EA hatushindwi muulize kagame kuna muda alitaka ampandie hewani Jakaya,lakini alipgwa mkwara na jakaya akakaa kimya mpaka leo kwa sababu alikuwa anaitaka wilaya ya Ngara eti ni ya kwao,tulimwambia hio nchi yako tunaweza tukakuondoa siku mbili tu tukamuweka mtu mwingine akawa rais kwa maslahi yetu jamaa akafunga bakuli lake mpka leo.

Juzi tu hapa Rais wa Malawi Mama Joyce Banda alikuwa anataka ziwa Nyasa mpaka akaleta vikosi mpakani lakini alishangaa ndani ya saa moja kikosi chake chote kimerudi nyuma,mpaka yule mama anatoka madarakani hakuwahi kubinua mdomo wake eti nyasa ni yake.

Juzi tu hapa,tuliwaua vifaranga vyenu kwa kiburi kabsa tukawafukuza raia wenu wote waliokuwa wameajiriwa kwa magumashi hapa tz wakarudi makwao lakini hamkutufanya jambo lolote,na mipaka tukafunga ikabidi yule mtoto mvuta bangi wa mama ngina akamfata mzee magu Chato kumuomba msamaha mambo yakaisha

Kama hujui ni kuwa kwenye kila nchi hapa EA tuna ma-spy wetu tumewaweka ili rais ambae haendani na sisi tunamuangusha kama unabisha muulize raila anafahamu nguvu tuliyo nayo sema huwa hatujioneshi sana
 
Et
Pia Mzee Kenyatta alisaidia sana alipowahadaa Walibya walipotaka kutua kwakwe Kwa dharura.
Wakajikuta wanatua Kilimanjaro Airport.

Walibya wangeigaeuza tz kuwa jangwa.
Mak
Enzi hizo Jeshi la Tanzania halikua na hata magari ya kubeba abiria mpaka wakawa wanachukua mabasi ya Wananchi .
Ule umoja wa watanzania wakati ule ulisadia sana.
Kwa Sasa hali ni Tofauti.
Huwezi ukaigusa Uganda yenye umoja au Rwanda, au Kenya. Vita ya nchi isiyogawanyika ni ngumu sana
Eti walitaka kutua Kenya halafu wakatua Kilimanjaro …? Nahisi huifahamu historia ya vita vya kagera naomba ukae kimya maana wakenya uwa hamna mnachofahamu zaidi ya GDP yenu ya kutengenezwa.
 
Back
Top Bottom