Tulifumua mtaala na kutengeneza upya mkatucheka, oneni sasa wenyewe mnajisema - Why Tanzania’s education is a joke

ukitaka kujua kuwa hizo data ni za kutengenezwa na mabepari kwa maslahi yao,ebu njoo kwenye reality Kongo ana jeshi la kumzidi Rwanda…? Naomba jijibu mwenyewe.
Nahisi hujui haya mambo ila ngoja nikuweke wazi leo kuwa ata M23 hao ni Rwandese wanaopewa support na kagame ili wakapate mali Congo

N

Na kama hufahamu ata Raila Odinga kuna wakati alikuja kuongea na Jakaya ampatie mafunzo vijana wake wa kijaluo kutoka pale Ramogi waje Rorya kama ngome yao ya kujificha lakini Jakaya akagoma akamwambia kwamba 'Kaka tumesaidia sana waafrika wenzetu lakini mwisho wa siku walikuja wakatupaka tu matope sasa kama unataka labda nikupe mgambo tu lakini sio nchi yangu itumike kama hifadhi yako ya magaidi' raila akakubali akapewa vjjana tena migambo tu wakaenda kupigana na mungiki enzi zile za Mwai kibaki kama sikosei ilikuwa 2007 nilikuwa nipo JKT najiandaa kuingia Chuo kikuu,mimi pia niliambiwa kama nakubali basi niende ila nilihofia sana maisha yangu japo kulikuwa kuna donge nono.

Kaka,sisi tukiamua kumpiga mtu yoyote hapa EA hatushindwi muulize kagame kuna muda alitaka ampandie hewani Jakaya,lakini alipgwa mkwara na jakaya akakaa kimya mpaka leo kwa sababu alikuwa anaitaka wilaya ya Ngara eti ni ya kwao,tulimwambia hio nchi yako tunaweza tukakuondoa siku mbili tu tukamuweka mtu mwingine akawa rais kwa maslahi yetu jamaa akafunga bakuli lake mpka leo.

Juzi tu hapa Rais wa Malawi Mama Joyce Banda alikuwa anataka ziwa Nyasa mpaka akaleta vikosi mpakani lakini alishangaa ndani ya saa moja kikosi chake chote kimerudi nyuma,mpaka yule mama anatoka madarakani hakuwahi kubinua mdomo wake eti nyasa ni yake.

Juzi tu hapa,tuliwaua vifaranga vyenu kwa kiburi kabsa tukawafukuza raia wenu wote waliokuwa wameajiriwa kwa magumashi hapa tz wakarudi makwao lakini hamkutufanya jambo lolote,na mipaka tukafunga ikabidi yule mtoto mvuta bangi wa mama ngina akamfata mzee magu Chato kumuomba msamaha mambo yakaisha

Kama hujui ni kuwa kwenye kila nchi hapa EA tuna ma-spy wetu tumewaweka ili rais ambae haendani na sisi tunamuangusha kama unabisha muulize raila anafahamu nguvu tuliyo nayo sema huwa hatujioneshi sana

Kama 2007 ulikua kijana wa JKT, kumbe uko bado kiumri na ndio maana unabwatuka tu, kwa heshima ya hao Watanzania waliokujibu kwenye huu uzi naona nikuache maana wamekupa points za maana sema bado una mihemko ya ujana hautaelewa kitu.
 
Kama 2007 ulikua kijana wa JKT, kumbe uko bado kiumri na ndio maana unabwatuka tu, kwa heshima ya hao Watanzania waliokujibu kwenye huu uzi naona nikuache maana wamekupa points za maana sema bado una mihemko ya ujana hautaelewa kitu.
😂😂😂naona umeamua kusalimu amri
Kama 2007 ulikua kijana wa JKT, kumbe uko bado kiumri na ndio maana unabwatuka tu, kwa heshima ya hao Watanzania waliokujibu kwenye huu uzi naona nikuache maana wamekupa points za maana sema bado una mihemko ya ujana hautaelewa kitu.
Inshort nyie kenya hamtuwezi kwa kila kitu kama al shabaab kikundi cha wahuni kinawateesa wanachukua mpaka county yenu ya mandera halafu ndio mnajipiga vifua eti mnatuweza…? Me nahisi mpunguze sifa fanyeni vitu kwa facts nyie ni failed state....over
 
Back
Top Bottom