Tulienzi jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) kwa kila hali

gkutta

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
273
168
MIMI NAULIZA TU??....TUMEKOSA KUJIWEKEA UTARATIBU KWELI HADI TUUONEE KIJICHO UMEME UNAOINGIA JESHINI KKWELI??......HATUNA TARATIBU SAHIHI ZA KUJUA MOJA YA GHARAMA ZETU TUSIZOEPUKIKA NAZO NI KULIENZI JESHI LETU LA JWTZ???....POTELEA MBALI HAYO MAJESHI MENGINE HATA WAKIKOSA UMEME!!
 
Unaweza kuta kwenye bajeti yao gharama za kulipa umeme zipo, lakini wachache wanazitafuna kwa mwamvuli kwamba mambo ya majeshi hayapaswi kujadiliwa.
 
Ukipata bili ya umeme unatakiwa kuilipa, na wao wamekubali kulipa deni bila matatizo wakianza leo kwa kupeleka cheki ya 1b Tanesco.

Hapa kazi tu

Magufuli oyeeeee

Uliona wapi kuna Check ya Bilioni moja??Unajua Sheria za fedha lakini??Ndipo ujue hakuna cha kulipa ilikuwa GIA maana Front page tumekosa
 
MIMI NAULIZA TU??....TUMEKOSA KUJIWEKEA UTARATIBU KWELI HADI TUUONEE KIJICHO UMEME UNAOINGIA JESHINI KKWELI??......HATUNA TARATIBU SAHIHI ZA KUJUA MOJA YA GHARAMA ZETU TUSIZOEPUKIKA NAZO NI KULIENZI JESHI LETU LA JWTZ???....POTELEA MBALI HAYO MAJESHI MENGINE HATA WAKIKOSA UMEME!!
Sasa tatizo lipo wapi wasilipe au...!
Kama wanadaiwa waanze kulipa kidogo kidogo.
Hakuna mtu aliejitolea kufanya kazi pale JW bila malipo
Wote wanalipwa kwa kodi zetu.
 
MIMI NAULIZA TU??....TUMEKOSA KUJIWEKEA UTARATIBU KWELI HADI TUUONEE KIJICHO UMEME UNAOINGIA JESHINI KKWELI??......HATUNA TARATIBU SAHIHI ZA KUJUA MOJA YA GHARAMA ZETU TUSIZOEPUKIKA NAZO NI KULIENZI JESHI LETU LA JWTZ???....POTELEA MBALI HAYO MAJESHI MENGINE HATA WAKIKOSA UMEME!!
Kulienzi jeshi si kulipa umeme bure tutawaumiza TANESCO. Kulienzi jeshi tiwape hela bure walipe TANESCO, tunaumia walipa kodi wote si TANESCO peke yake.
 
MIMI NAULIZA TU??....TUMEKOSA KUJIWEKEA UTARATIBU KWELI HADI TUUONEE KIJICHO UMEME UNAOINGIA JESHINI KKWELI??......HATUNA TARATIBU SAHIHI ZA KUJUA MOJA YA GHARAMA ZETU TUSIZOEPUKIKA NAZO NI KULIENZI JESHI LETU LA JWTZ???....POTELEA MBALI HAYO MAJESHI MENGINE HATA WAKIKOSA UMEME!!
Unatakaje wewe bogus mboana mnalilia sana lkn? unafiki huu ndio umetufikisha hapa kaama Taifa
 
Uliona wapi kuna Check ya Bilioni moja??Unajua Sheria za fedha lakini??Ndipo ujue hakuna cha kulipa ilikuwa GIA maana Front page tumekosa

Kamuulize Mkuu wa majeshi kwasababu ndio yeye aliyaongea jana.
 
Ameonge upupu mtupu wa kumfanya JPM apewe Kiki,huwezi kudai Wizara au Taasisi ambayo hata pesa yake ya Bajeti ya mwaka haujapeleka,ni mpumbavu peke yake ataamini huo ujinga
 
Agizo la JPM limewavuruga hata JWTZ, tangu nipate akili ya kutambua baya na zuri sijawahi kusikia JWTZ iki negotiate kulipa deni au kuhurumiwa ili wajipange. Hii yote ni sababu ya agizo la JPM; Agizo hilo lime expose one of the weakness of JWTZ, aibu sana hii!!!
Wakati mwingine JPM awe na limitation ya kauli zake anazozitoa publically

Mwafaa!!!

Jojipoji Koromije
 
Ameonge upupu mtupu wa kumfanya JPM apewe Kiki,huwezi kudai Wizara au Taasisi ambayo hata pesa yake ya Bajeti ya mwaka haujapeleka,ni mpumbavu peke yake ataamini huo ujinga

Sasa si kayaongea hayo jana, nenda Tanesco ukaulizie kama wameipokea leo kama alivyosema itapelekwa au la.

Povu la nini!? Wanadaiwa na wamesema watalipa deni hilo.

Yap wameongea pumba tu,
Na hili ndio tatizo akili ndogo kuongea maneno mbele ya akili kubwa aibu yao wanapenda wakae front page.
 
Sasa si kayaongea hayo jana, nenda Tanesco ukaulizie kama wameipokea leo kama alivyosema itapelekwa au la.

Povu la nini!? Wanadaiwa na wamesema watalipa deni hilo.

Hapa kazi tu
Na wewe jifunze kuchunguza jambo kabla ya kushabikia tu.
Ndio maana huyu jamaa yenu alivyosema million 50 kila kijiji mlishangilia bila kujiuliza atawezaje..!?
Sasa sa hizi mmekodoa macho tu.
 
Ki ukweli niliye mdharau mkuu wa majeshi mwenyewe, mbona mwamunyange hawakumkatia umeme?
Ki ujumla nimeushangaa uongozi wa jeshi zaid naona kama wamekuwa wadhaifu flan hivi
 
Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na Usalama nchini Jenerali Venance S.Mabeyo ameonya kuhusu taarifa kwamba wenye madeni Tanesco wakatiwe umeme, Jenerali Mabeyo amesema kitendo cha kujaribu kulikatia umeme jeshi kutahatarisha usalama wa nchi kwa kuwa jeshi linahitaji umeme katika kutekeleza majukumu yake ikiwemo malindo katika kambi zake mbalimbali za jeshi hivyo
kitendo cha kukosa umeme kinaweza kuahatarisha usalama wa nchi, Jenerali Mabeyo alikiri kwamba jeshi linadaiwa na shirika la umeme Tanzania yaani Tanesco na lipo katika utaratibu wa kulipa madeni hayo mpaka deni liishe.

Jambo leo.
 
Back
Top Bottom