Tulidanganywa kutakuwa na mabasi yanayoenda Kasi

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,523
24,010
Hili limeniuma sana. Serikal ilisema kutakuwa na mabasi yanayoenda kasi. Nmepanda haya mabasi zaidi ya mara 10 wala hayaendi kasi. Hayo ya kasi watatuletea lini?
Haya si haba hayasimami vituo ving sana kama daladala na hayana traffic jam but hayana kasi ambayo nlidhania yangekuwa nayo kama yanavyoitwa.
Kwa wale tulioenda nje ya nchi nadhan tunafaham train za kasi... Nlidhan at least hata kwa asilimia 40 tungekuwa na basi za namna hiyo. Kwa nini mlitudanganya?
 
hivi wewe mzima kweli
 
Nafikiri wazo hili limefika mahali sahihi.
Ni wazi kwamba magari yaendayo kasi ni yale yabayo weza hata kuunganisha mkoa mmoja hadi mwingine kwa muda mfupi,kwa mfano naweza ishi mbeya na nikafanya shughuri zangu za mkate wa kila siku Dar,au Arusha au kwingineko Tanzania.

Ila lengo la magari ya kasi kwa Dar yalilenga kupunguza muda unaotumika na watu waliopo Dar es Salaam na wameanza hasa na mbezi kimara-posta,kinondoni-posta hope wataendelea.

Kifupi sio vile kama nchi za wenzetu wanefikia ila tumetohoa matumizi ya waliotutangulia nchi za nje kutatua kero zetu.

Miundombinu tuliyonayo kwasasa haituwezeshi kufikia magari ya kasi.tunahitaji kubadiri miundombinu yetu ili kufikia kasi ya ukuwaji wa kiuchumi na kiidadi ha watu Tanzania.

Nawasilisha.
 
Kwakuwa aliyewapa ahadi hii ni mwanasiasa subiri atakuja kui edit isound tofauti! Endelea kusubiri tu...agiza ba kinywaji unachotumia kabisa!
 
Hili limeniuma sana. Serikal ilisema kutakuwa na mabasi yanayoenda kasi. Nmepanda haya mabasi zaidi ya mara 10 wala hayaendi kasi. Hayo ya kasi watatuletea lini?
Haya si haba hayasimami vituo ving sana kama daladala na hayana traffic jam but hayana kasi ambayo nlidhania yangekuwa nayo kama yanavyoitwa.
Kwa wale tulioenda nje ya nchi nadhan tunafaham train za kasi... Nlidhan at least hata kwa asilimia 40 tungekuwa na basi za namna hiyo. Kwa nini mlitudanganya?

Nenda shule mkuu.
 
Nafikiri wazo hili limefika mahali sahihi.
Ni wazi kwamba magari yaendayo kasi ni yale yabayo weza hata kuunganisha mkoa mmoja hadi mwingine kwa muda mfupi,kwa mfano naweza ishi mbeya na nikafanya shughuri zangu za mkate wa kila siku Dar,au Arusha au kwingineko Tanzania.

Ila lengo la magari ya kasi kwa Dar yalilenga kupunguza muda unaotumika na watu waliopo Dar es Salaam na wameanza hasa na mbezi kimara-posta,kinondoni-posta hope wataendelea.

Kifupi sio vile kama nchi za wenzetu wanefikia ila tumetohoa matumizi ya waliotutangulia nchi za nje kutatua kero zetu.

Miundombinu tuliyonayo kwasasa haituwezeshi kufikia magari ya kasi.tunahitaji kubadiri miundombinu yetu ili kufikia kasi ya ukuwaji wa kiuchumi na kiidadi ha watu Tanzania.

Nawasilisha.

Tukitaka kumaliza tatizo la foleni Dar ni lazima kuitangaza Dar kama mji wa kijamaa, na mfumo wa usafiri umilikiwe na uma kwa maana ya kutoruhusu watubinafsi kutumia miundombinu ya bara bara, magari binafsi mwisho iwe maili moja!
 
Ujamaa ndio mfumo pekee wa kumaliza foleni?
 
Kweli lugha iliyotumika inakanganya ukizingatia barabara hizi zinaingiliana na miundo mbinu mibovu ya zamani ilitakiwa ili kuifanya iwe ya pekee hasa kwenye makutano ya Barbara hizi mpya na zile za zamani wangetenganisha hizi barabara zisingeingiliana ili kuepuka kero ya foleni kwa watumiaji wengine
 
Tatizo ni kutokana na mpangilio wa mji barabara za mwendo kasi tungezuweka wapi?
 
Back
Top Bottom