Wazo la kabwela
JF-Expert Member
- Feb 13, 2013
- 1,810
- 1,373
Mimi sio nampinga rais tu Bali pia namlaumu kwa kuchezea nafasi mungu aliyotupa watanzania.
Kuwa na nia ya kukata msitu ni kitu kimoja na kuwa na nyenzo za kukata msitu ni kitu kingine.
Tena bora kuwa na nyenzo bila nia kama ni lazima kuwa na kimoja. Rais aliomba tumwamini tukamwamini nia anayo tunajua lakini kwa kufurahia madaraka ya kiuungu hataki kuunda taasisi imara, hataki kupunguza madaraka yake ili watumishi wapatikane kwa mchujo mkali. Hataki majipu yazuiwe yasiwepo anataka yawepo ili apate coverage ya kuyatumbua.
Kwa sheria hizi tumempata mramba na yona kwa gharama ya zaidi ya bilioni kumi kufagia hospital ya sinza kwa miezi 6.
Kwa sheria hizi William Mhando na mkewe wameshatushinda na sijui watatudai ngapi pamoja na kutuibia mchana kweupe.
Harry kitilya ameshapangua kosa moja kwa sheria hizi.
Mimi najua kuku tu anayeweza kuogea vumbi na akawa msafi.