Tulichoambiwa Kuhusu Michango ya Shule ni Changa la Macho

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,898
Katika mwendelezo wa kuambiwa hakuna michango kwa watoto wetu kwanzia darasa la kwanza mpaka form four haviendani na uwalisia jione mwenyewe barua hii ya michango mbaya zaidi usishangae siku ya mitiani wanafunzi kuandikiwa ubaoni pia
 
Attachments

  • IMG-20160715-WA0007.jpg
    IMG-20160715-WA0007.jpg
    72.7 KB · Views: 187
Ndio kusoma namba hiyo kimya kimya. Naona kila mahali ambapo kuna kiplonga kuna vikao vya kijiji kuhusu kuchangia madawati. Haina tofauti na hadithi ya vat, kuwa anaeilipa sio mteja ni mtoa huduma.
 
Jamani embu tubadilikieni watanzania wenzangu. Kuchangia tu gharama ndogo kwa ajili ya elimu ya watoto wetu nayo ni shida. Hii ndio moja ya misingi ya elimu ya kujitegemea. Tusikae na kungoja kila kitu kifanywe na Serikali yetu. Nafikiri tungekaa na kujiuliza gharama ambazo huwa mara nyingi tunazipoteza katika mambo ambayo hayana msingi na si kwenye suala la elimu.
Wazee wa busara waliwahi sema: Kama unafikiria elimu ni ghali sana basi jaribu ujinga.

Nawatakia siku njema ndugu zangu.
 
Tatizo sio kuchangia tatizo ni kutofanana kwa maagizo ya viongozi yaan instruction of X in one hand and implementatio of Y basis in other hand. Tunashauri wawe wazi kuwa elimu ni ya kuchangia!!
 
Tuweke wazi basi kwamba ni lazima kuchangia siyo majukwaani tunahubiri elimu bure wakati uhalisia hauko hivyo! Mitihani ya watoto Msingi inaandikwa ubaoni siku hizi
 
Jamani embu tubadilikieni watanzania wenzangu. Kuchangia tu gharama ndogo kwa ajili ya elimu ya watoto wetu nayo ni shida. Hii ndio moja ya misingi ya elimu ya kujitegemea. Tusikae na kungoja kila kitu kifanywe na Serikali yetu. Nafikiri tungekaa na kujiuliza gharama ambazo huwa mara nyingi tunazipoteza katika mambo ambayo hayana msingi na si kwenye suala la elimu.
Wazee wa busara waliwahi sema: Kama unafikiria elimu ni ghali sana basi jaribu ujinga.

Nawatakia siku njema ndugu zangu.
Tatizo si kuchangia, tatizo ni kuaminushwa kuwa serikali itafanya kila kitu, ilipo ingia awamu ya 5 tulitangaziwa kuwa serikali itabeba gharama zote, hivyo itangaze kuwa imeshindwa kubeba gharama hizo na wananchi tuanze kuchangia.
 
OMG!!!!!!

So watu wasitoe hata senti tano wakati na school fees hawalipi, be serious kwa kweli.
 
Ndio kusoma namba hiyo kimya kimya. Naona kila mahali ambapo kuna kiplonga kuna vikao vya kijiji kuhusu kuchangia madawati. Haina tofauti na hadithi ya vat, kuwa anaeilipa sio mteja ni mtoa huduma.
Hizo fedha hazitoki kwa mzazi. Hizo ni fedha zinatoka kwenye ruzuku ya uendeshaji (capitation grand) kifungu cha mitihani. We kwa akili zako unadhani anachangishwa mzazi? Pole sana, acha makelele kila kitu mtaisoma namba. Mnawaza uchochezi tu.
 
Jamani embu tubadilikieni watanzania wenzangu. Kuchangia tu gharama ndogo kwa ajili ya elimu ya watoto wetu nayo ni shida. Hii ndio moja ya misingi ya elimu ya kujitegemea. Tusikae na kungoja kila kitu kifanywe na Serikali yetu. Nafikiri tungekaa na kujiuliza gharama ambazo huwa mara nyingi tunazipoteza katika mambo ambayo hayana msingi na si kwenye suala la elimu.
Wazee wa busara waliwahi sema: Kama unafikiria elimu ni ghali sana basi jaribu ujinga.

Nawatakia siku njema ndugu zangu.

Tatizo sio kuchangia ila maagizo na taarifa zinazotolewa na Serikali yenyewe zinakinzana na kuwachanganya wananchi. Serikali inasema kila mwezi inatenga shilingi bilioni 18.77 kwa ajili ya kugharamia elimu. Hizo fedha zinakwenda wapi na zinatumika kugharamia nini. Ni lazima wananchi wahoji mambo kama hayo vinginevyo kila jambo litakuwa linafanywa ndivyo sivyo.
 
Government policy is clear; no michango ya elimu, period. If there is any violation it should be treated as isolated case unlike what the thread is trying to imply.
 
Jamani embu tubadilikieni watanzania wenzangu. Kuchangia tu gharama ndogo kwa ajili ya elimu ya watoto wetu nayo ni shida. Hii ndio moja ya misingi ya elimu ya kujitegemea. Tusikae na kungoja kila kitu kifanywe na Serikali yetu. Nafikiri tungekaa na kujiuliza gharama ambazo huwa mara nyingi tunazipoteza katika mambo ambayo hayana msingi na si kwenye suala la elimu.
Wazee wa busara waliwahi sema: Kama unafikiria elimu ni ghali sana basi jaribu ujinga.

Nawatakia siku njema ndugu zangu.
Sio shida kabisa, cha msingi tusitangaziwa kuwa elimu ni bure.
 
Jamani embu tubadilikieni watanzania wenzangu. Kuchangia tu gharama ndogo kwa ajili ya elimu ya watoto wetu nayo ni shida. Hii ndio moja ya misingi ya elimu ya kujitegemea. Tusikae na kungoja kila kitu kifanywe na Serikali yetu. Nafikiri tungekaa na kujiuliza gharama ambazo huwa mara nyingi tunazipoteza katika mambo ambayo hayana msingi na si kwenye suala la elimu.
Wazee wa busara waliwahi sema: Kama unafikiria elimu ni ghali sana basi jaribu ujinga.

Nawatakia siku njema ndugu zangu.
kwan hujaelewa hoja yake au? yeye anajarbu kulinganisha wanacho kisema watalawa na uhalisia wa mambo
 
Jamani embu tubadilikieni watanzania wenzangu. Kuchangia tu gharama ndogo kwa ajili ya elimu ya watoto wetu nayo ni shida. Hii ndio moja ya misingi ya elimu ya kujitegemea. Tusikae na kungoja kila kitu kifanywe na Serikali yetu. Nafikiri tungekaa na kujiuliza gharama ambazo huwa mara nyingi tunazipoteza katika mambo ambayo hayana msingi na si kwenye suala la elimu.
Wazee wa busara waliwahi sema: Kama unafikiria elimu ni ghali sana basi jaribu ujinga.

Nawatakia siku njema ndugu zangu.
 
Jamani embu tubadilikieni watanzania wenzangu. Kuchangia tu gharama ndogo kwa ajili ya elimu ya watoto wetu nayo ni shida. Hii ndio moja ya misingi ya elimu ya kujitegemea. Tusikae na kungoja kila kitu kifanywe na Serikali yetu. Nafikiri tungekaa na kujiuliza gharama ambazo huwa mara nyingi tunazipoteza katika mambo ambayo hayana msingi na si kwenye suala la elimu.
Wazee wa busara waliwahi sema: Kama unafikiria elimu ni ghali sana basi jaribu ujinga.

Nawatakia siku njema ndugu zangu.
Wewe unapinga agizo oa rais sasa
 
Sio napinga agizo la Rais bali naliunga mkono. Na linapokuja suala la jamii kushirikishwa katika kuchangia kwa hiari gharama ndogo katika kuboresha huduma za msingi za kijamii ikiwa pamoja na elimu basi hatuna budi kufanya hivyo. Ndio maana kuna michango ya hiari kwa ajili ya ununuzi wa madawati kwa ajili ya shule zetu. Nalo utasema ni jukumu la serikali peke yake? Ebu tubadilikieni tuache lawama na tujenge nchi yetu kwa pamoja.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom