Tuliaswa tusitake kuwaelewa wanawake...Lakini hapa!!!!

Bigirita

Platinum Member
Feb 12, 2007
15,986
7,366
Heshima mbele bandugu,

Nilipewa assignment na my wife wangu ya kuongea/kumweleza msichana wetu wa kazi kuhusu seriousness ya kusoma huku anafanya kazi na what it take to be a good mwanafunzi and all that, you know kama baba anavyoongea na mwanae anaekwenda kuanza shule (by the way, tumemuanzisha sekondari - form one, so ameanza preform one. Ni msichana amabye kwa wakati tofauti tumekuwa nae kwa zaidi ya miaka 6 sasa.)

Sasa baada ya kumaliza lecture yangu ya kama dakika tano hivi. My laazizi wangu akaendelea kuongea nae mambo ambayo mm sikutaka kuyaingiza kwenye wosia wangu kwa sababu niliona yamekaa kimama zaidi, so nikawaacha wayaongee.

Sasa ghafla tukiwa shambani usiku wakati tunataka kutekeleza sera(!!?)/slogani ya Kilimo kwaza, akaanza kunipa mm lecture kwmba ooh! wewe kama unamuona kama mmoja wa familia basi mm namchukulia kama mfanyakazi tuu...na mambo mengine mengi.

Nikakumbuka kuwa tunashauriwa tusitake kuwaelewa sana hawa wenzetu.wewe unasemaje?
 
Hapo sasa wivu....anaona umembembeleza ili awe karibu na ww na anachotaka uongee nae kwa ukali kama mtu baki, na hiyo assignment amekutega tu aone unaguswa kiasi gani na maisha ya huyo msichana.......ni ngumu kutuelewa wanawake.
 
Wanawake ni wapuuzi sana, yaani hapo kafikiri siku utakamega. Mimi nakumbuka hata home mama alikua anapenda sana kuwafokea hawa watu na kututaka nasi tuwe wakali, sasa mimi sioni logic ya kumfokea mtu wakati sioni sababu yoyote, hivi hawa watu sijui wakoje. Anaweza akamaindi kitu kidogo sana kikawa kama amaeuza mali za familia, siipendi tabia ya kufoka foka ili mtu akuogope, kwani sio binadamu
 
Mhhh!...
Sina hamu na wanawake, yaani ghafla umeeleweka vibaya!
Au mzee mwenzangu na wewe ni kiwembe nini, ndo maana unampa presha maywife!
Atakuwa kakustukia konakona zako na hicho kibinti 'under-age'!
 
Sio siri wanawake ni wake zetu lakini anaweza akakudrive crazy hata kazi ukashindwa fanya, kabla hujaoa wanakuwa safi, akishaingia ndani babake utamkoma, halafu uharibifu wao ni maneno na chokochoko za kukuumiza tu, mi nshasema inabidi niwe nao wawili atleast waoneane wivu may be will help,wapo kama magaidi wanavyo-operate
 
'Enyi waume kaeni kwa akili na wake zenu' (biblical statement). Kama Adamu alitoswa sebuse sie.
 
Wanawake ni wapuuzi sana, yaani hapo kafikiri siku utakamega. Mimi nakumbuka hata home mama alikua anapenda sana kuwafokea hawa watu na kututaka nasi tuwe wakali, sasa mimi sioni logic ya kumfokea mtu wakati sioni sababu yoyote, hivi hawa watu sijui wakoje. Anaweza akamaindi kitu kidogo sana kikawa kama amaeuza mali za familia, siipendi tabia ya kufoka foka ili mtu akuogope, kwani sio binadamu
Jamani kuna ubaya mtu akichukua tahadhari kunusuru chake akipendacho? mbona mnatuhukumu vikali hivyi?
 
Sio siri wanawake ni wake zetu lakini anaweza akakudrive crazy hata kazi ukashindwa fanya, kabla hujaoa wanakuwa safi, akishaingia ndani babake utamkoma, halafu uharibifu wao ni maneno na chokochoko za kukuumiza tu, mi nshasema inabidi niwe nao wawili atleast waoneane wivu may be will help,wapo kama magaidi wanavyo-operate

kuna wanawake wenye bahati sansa yaani wanapata hata ule muda wa kuwadrive waume zao crazy? wengine ni sisi tulokuwa tunadriviwa ati!
 
Sio siri wanawake ni wake zetu lakini anaweza akakudrive crazy hata kazi ukashindwa fanya, kabla hujaoa wanakuwa safi, akishaingia ndani babake utamkoma, halafu uharibifu wao ni maneno na chokochoko za kukuumiza tu, mi nshasema inabidi niwe nao wawili atleast waoneane wivu may be will help,wapo kama magaidi wanavyo-operate
Unajihadhari na ukimwi kweki wewe na maneno yako hayo na hiyo ribon, nina wasi wasi na uwakilishi wako
 
Wanawake ni wapuuzi sana, yaani hapo kafikiri siku utakamega. Mimi nakumbuka hata home mama alikua anapenda sana kuwafokea hawa watu na kututaka nasi tuwe wakali, sasa mimi sioni logic ya kumfokea mtu wakati sioni sababu yoyote, hivi hawa watu sijui wakoje. Anaweza akamaindi kitu kidogo sana kikawa kama amaeuza mali za familia, siipendi tabia ya kufoka foka ili mtu akuogope, kwani sio binadamu

ma bro punguza ukali kdgo, na sio wanawake wote wapuuzi kama unavyodhani na sio wote wanafanya kama alivyofanya mamako na mke wa mleta mada.
 
Wanawake ni wapuuzi sana, yaani hapo kafikiri siku utakamega. Mimi nakumbuka hata home mama alikua anapenda sana kuwafokea hawa watu na kututaka nasi tuwe wakali, sasa mimi sioni logic ya kumfokea mtu wakati sioni sababu yoyote, hivi hawa watu sijui wakoje. Anaweza akamaindi kitu kidogo sana kikawa kama amaeuza mali za familia, siipendi tabia ya kufoka foka ili mtu akuogope, kwani sio binadamu
watch your statement boy! they are your mothers and wives, sisters and moms to your kids.we will appreciate some respect!
 
mke wako kakasirishwa na kitendo cha wewe kuondoka/ kunyamaza/ kutoyapa uzito maneno aliyokuwa yeye anamwambia huyo msichana.

wewe umesema umemaliza yeye kakupa respect kakusikiliza, yeye anasema wewe hujampa uzito.

ndio akatafsiri kuwa labda maneno alokuwa akisema yeye wewe umechukua kuwa anamwambia kwa kuwa ni msichana wa kazi na si mwanafamilia
 
Wanawake ni wapuuzi sana, yaani hapo kafikiri siku utakamega. Mimi nakumbuka hata home mama alikua anapenda sana kuwafokea hawa watu na kututaka nasi tuwe wakali, sasa mimi sioni logic ya kumfokea mtu wakati sioni sababu yoyote, hivi hawa watu sijui wakoje. Anaweza akamaindi kitu kidogo sana kikawa kama amaeuza mali za familia, siipendi tabia ya kufoka foka ili mtu akuogope, kwani sio binadamu
Samahani tutake radhi kijana.Usi-generalize mambo,sio wanawake wote wapuuzi ila kuna watu wapuuzi-wanaume na wanawake pia.Kama huwezi hata kumheshimu mama yako unamwita mpuuzi ,basi nakusikitikia mtoto.
 
Mumsamehe tu huyu si ndo yuleyeule mtoto anaetuchanganyia habari kwenye thread nyingine! Kids are always kids!
 
U got it right Kimey, this kid has a problem, sijui hata maendeleo yake shuleni yakoje huyu.
 
Wanawake ni wapuuzi sana, yaani hapo kafikiri siku utakamega. Mimi nakumbuka hata home mama alikua anapenda sana kuwafokea hawa watu na kututaka nasi tuwe wakali, sasa mimi sioni logic ya kumfokea mtu wakati sioni sababu yoyote, hivi hawa watu sijui wakoje. Anaweza akamaindi kitu kidogo sana kikawa kama amaeuza mali za familia, siipendi tabia ya kufoka foka ili mtu akuogope, kwani sio binadamu

Yaani Gudboy mbona umewasha maneno haya leo? What is happening mazee?
 
Mumsamehe tu huyu si ndo yuleyeule mtoto anaetuchanganyia habari kwenye thread nyingine! Kids are always kids!

Pengine huyu tutakuwa tunamuonea bure,anaweza kuwa na tatizo la kisaikolojia.Ndio ubaya wa kuficha ID zetu,ungeweza kusaidiwa kimawazo tungekuwa tunakufahamu!Dah pole sana Gudboy!
 
Back
Top Bottom