Tulianzia ofisini, tunamalizana kanisani kweli?

justine lowasa

JF-Expert Member
Aug 30, 2016
727
794
Wanajamvi kiufupi mimi binafsi kama mtanzania na mkristo niliuzunishwa sana na kile kilichotokea kule Bukoba katika ibada ya mwaka mpya, nimekaa chini nikajiuliza hivi taifa letu ni secular or non secular state? Maana naona kanisa limekuwa involved kwenye politics affairs moja kwa moja.
Au mimi ndo niko wrong UTUMBUZI ni popote??
 
Kwani imekuaje mkuu ebu fafanua maana waingereza wa Ireland walisema watu ni walewale kuwatifautisha ni shida kweli
 
Pole piga kazi uijenge nchi yako maana ukihoji kila kitu unaweza usipate majibu
 
Wanajamvi kiufupi mimi binafsi kama mtanzania na mkristo niliuzunishwa sana na kile kilichotokea kule Bukoba katika ibada ya mwaka mpya, nimekaa chini nikajiuliza hivi taifa letu ni secular or non secular state? Maana naona kanisa limekuwa involved kwenye politics affairs moja kwa moja.
Au mimi ndo niko wrong UTUMBUZI ni popote??
Vipi zile rambirambi na harambee Mzee wako alizokuwa akitoa kwenye nyumba za Ibada zitaendelea tena? Mbona kasi imepungua siku hizi?
 
Wanajamvi kiufupi mimi binafsi kama mtanzania na mkristo niliuzunishwa sana na kile kilichotokea kule Bukoba katika ibada ya mwaka mpya, nimekaa chini nikajiuliza hivi taifa letu ni secular or non secular state? Maana naona kanisa limekuwa involved kwenye politics affairs moja kwa moja.
Au mimi ndo niko wrong UTUMBUZI ni popote??
Sasa mbona husemi kilitokea nini na kilisemwa nini??!!!
 
Haikuwa sahihi kutangaza kumtumbua mtu ukiwa Kanisani. Si mahali pake. Huenda Mungu hangetumia utaratibu huo wa kumtumbua mtu bila kumpa nafasi ya kujieleza! Viongozi wetu wa dini tafadhali msidhalilishe nyumba zenu za ibada!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom