OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,184
- 103,682
Sote tunakumbuka rais aliwahi kutoa tamko hawezi kuwa anadhurura ughaibuni na kuacha fedha za wanyonge zinaibwa.
Sasa najiuliza kama watu wanajichotea wanavyotaka maana yake nini? Kama wale wazee wa bodi wanakula chapati na kuburudisha matumbo kwa bilioni 1,rais amebaki nchini kulinda nini?
Ripoti ya CAG imeonyesha dhahiri walinzi wa fedha za umma wamelala,hata wanapoamshwa na CAG bado wanalaumu kwa nini wanaamshwa.
Nimeshtuka pia kusikia trillion 4.8 hazijulikani zilipo. Inakuwaje zisijulikane wakati tunaye mlinzi JPM Hapa kazi tu yupo macho 24/7?
Tunakwama wapi kama nchi?