Tuliambiwa magari yamwendo kasi yataanza tar 10.10.2011, je mmeyaona huko

luckman

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,211
371
Kama ni usanii wa hii nchi basi huu umekubuhu, mkulu aliahidi huu mradi utakuwa live 10.10.2011 ila nashangaa hadi njia hazijajulikana!akya mungu, dallili ZAWISHO ZA HII enzi zimeanza kujitokeza!!!!
 
Kama ni usanii wa hii nchi basi huu umekubuhu, mkulu aliahidi huu mradi utakuwa live 10.10.2011 ila nashangaa hadi njia hazijajulikana!akya mungu, dallili ya enzi hizi zimeanza kujitokeza!!!!
Alianza kuahidi kwamza maisha bora kwa kila mtanzania, kama kumbukumbu zangu zipo sawa. Naomba nisichangie kitu hapa maana naambiwa ninamuandama kwasababu ya dini yake.
 
Sijui mwisho wke ni nini!jamani ahadi hizi hazitekelezeki!!!!!!!!!!!!!!!!
 
We unachoshangaa ni nini sasa?
Mbona unakua kama mgeni?
Ushaskia ahadi ngapi kutoka kwa hawa watawala na hazijatekelezeka mpaka leo ndo uje ushangae leo??!
Chukua list ya ahadi za Jamaa za mwaka 2005,
Jumlisha na ahadi zake za mwaka 2010 halafu u-conclude ni ngapi zishatekelezwa.
Hapo ndipo utaweza kujua kama huo mpango wao feki wa magari ya kasi kwenye barabara hizihizi zenye foleni masaa 24 utafanikiwa ama lah!!!
 
Kama ni usanii wa hii nchi basi huu umekubuhu, mkulu aliahidi huu mradi utakuwa live 10.10.2011 ila nashangaa hadi njia hazijajulikana!akya mungu, dallili ZAWISHO ZA HII enzi zimeanza kujitokeza!!!!
Yale yalikua ni mawazo mfalme Juha na nchi ya kusadikika,: mtoto wa mfalme.jpg
 
hv hawa jamaa nafsi zao huwa haziwasuti!!??.....kamwe ctakuja kuipenda siasa.
 
barabara ipo mbona kutoka kimara hadi posta yatatumia upande wa kushoto kwenda na kurudi
kama wafanyavo nchi za wenzetu,inatengwa tu hivo na ni marufuku magari mengine kupita
huo upande mda wote.its possible yawepo tu magari makubwa ya abiria kama 60 serikali inatakiwa
iagize magari hayo na usafiri wa mabasi hayo umilikiwe na serikali,waanzishe pia treni kutoka tegeta
mwenge hadi posta na ingine kibaha hadi posta its possible ni uzembe tu wa hi serikali ya kimagamba
tena waagize tren za umeme na iwepo line yake kutoka ubungo ambayo haikatwi umeme inawezekana sana
,nchi zote za ulimwengu wa kwanza usafiri wa ndani nanje ya miji inamilikiwa na serikali ajira watapata watu wengi
 
hivi bado tunayasubiri kumbe? yale labda mwakani ndo yatakuwa yameanza rasmi. Tena mwakani mwishoni mwishoni!
 
Magari ya serikali si yalishakuwepo (UDA) yakaishia kuchakachuliwa? "Hii nchi ina wenyewe, na wenyewe ni magamba" - Nape
 
Alianza kuahidi kwamza maisha bora kwa kila mtanzania, kama kumbukumbu zangu zipo sawa. Naomba nisichangie kitu hapa maana naambiwa ninamuandama kwasababu ya dini yake.

ushachangia mdau,,,,,,hata mimi ni dini moja na yeye lakin namkubali kwa ahad fake
 
Magari ya serikali si yalishakuwepo (UDA) yakaishia kuchakachuliwa? "Hii nchi ina wenyewe, na wenyewe ni magamba" - Nape

sijui nape anilua ana maana gani??????yaani najiuliza aliteleza kuongea yaleee???alikua ana mzuka sana ?????au alikusudia kutueleza ukweli,,,,,kama nchi inawenyewe na wenyewe ndio wao basi walipe deni la DOWANS
 
Umeeeonaeeeh!!! mkuu....
 
Kwa wale wanaofuatilia ahadi za serikali ya awamu hii ya nne watajua kuwa serikali haina uwezo wala ubunifu wa kutekeleza miradi mikubwa. Tuliambiwa watamaliza kero ya mgao wa maji Dar kwa kuvuta maji kutoka mto Rufiji; daraja la kigamboni; zahanati za kata; kumaliza mgao wa umeme; kushusha bei ya mafuta ili kuleta unafuu wa maisha; kushusha bei ya sukari; kumaliza tatizo la foleni barabarani; n.k, tukaahidiwa tatizo la umeme mwisho Agosti 31. Na sasa tunaambiwa Desemba. Ndiyo maana mimi huwa siamini neno lo lote linalosemwa na serikali ya awamu hii.
Yafuatayo ni miradi mikubwa ambayo hayawezi fanywa na serikali ya awamu hii: 1.Daraja la kigamboni, 2.Mji mpya wa Kigamboni, 3.Maji toka mto Rufiji, 4.Gas toka Mtwara hadi Tanga, 5.Reli ya Mtwara-Ruvuma, 6.Umeme wa Stiegler's Gorge, 7.Barabara za juu kama zile zinazojengwa Kenya.
Serikali hii inachokiweza ni bomoa bomoa na si kujenga. Hivyo mradi wa mabasi yaendayo kasi ni porojo tu na blaa blaa..
 
magari yaendayo kasi+barabara za juu kwa juu+daraja la kigamboni feri=2050
bada sana hata msishangae na kujiuliza
 
hivi bado tunayasubiri kumbe? yale labda mwakani ndo yatakuwa yameanza rasmi. Tena mwakani mwishoni mwishoni!

Ni zaidi ya mwakani..........nilisikiliza kupitia taarifa ya habari ITV kama wiki moja hivi au mbili zilizopita kama sikosei alikuwa ni Mhandisi wa mradi huo aliesema mradi bado unaendelea na kama ni kukamilika itachukua MIEZI 36.......Alitumia neno MIEZI ili kupunguza neno kusema MIAKA MI-3

Lets wait and see after 36 months
 
Back
Top Bottom