Alianza kuahidi kwamza maisha bora kwa kila mtanzania, kama kumbukumbu zangu zipo sawa. Naomba nisichangie kitu hapa maana naambiwa ninamuandama kwasababu ya dini yake.Kama ni usanii wa hii nchi basi huu umekubuhu, mkulu aliahidi huu mradi utakuwa live 10.10.2011 ila nashangaa hadi njia hazijajulikana!akya mungu, dallili ya enzi hizi zimeanza kujitokeza!!!!
Magari ya serikali si yalishakuwepo (UDA) yakaishia kuchakachuliwa? "Hii nchi ina wenyewe, na wenyewe ni magamba" - Napebarabara ipo mbona kutoka kimara hadi posta yatatumia upande wa kushoto kwenda na kurudi
kama wafanyavo nchi za wenzetu,inatengwa tu hivo na ni marufuku magari mengine kupita
huo upande mda wote.its possible yawepo tu magari makubwa ya abiria kama 60 serikali inatakiwa
iagize magari hayo na usafiri wa mabasi hayo umilikiwe na serikali,waanzishe pia treni kutoka tegeta
mwenge hadi posta na ingine kibaha hadi posta its possible ni uzembe tu wa hi serikali ya kimagamba
tena waagize tren za umeme na iwepo line yake kutoka ubungo ambayo haikatwi umeme inawezekana sana
,nchi zote za ulimwengu wa kwanza usafiri wa ndani nanje ya miji inamilikiwa na serikali ajira watapata watu wengi
Alianza kuahidi kwamza maisha bora kwa kila mtanzania, kama kumbukumbu zangu zipo sawa. Naomba nisichangie kitu hapa maana naambiwa ninamuandama kwasababu ya dini yake.
Nimepishana nalo moja maeneo ya Magomeni, linaenda Ubungo!
Magari ya serikali si yalishakuwepo (UDA) yakaishia kuchakachuliwa? "Hii nchi ina wenyewe, na wenyewe ni magamba" - Nape
Umeeeonaeeeh!!! mkuu....sijui nape anilua ana maana gani??????yaani najiuliza aliteleza kuongea yaleee???alikua ana mzuka sana ?????au alikusudia kutueleza ukweli,,,,,kama nchi inawenyewe na wenyewe ndio wao basi walipe deni la DOWANS
hivi bado tunayasubiri kumbe? yale labda mwakani ndo yatakuwa yameanza rasmi. Tena mwakani mwishoni mwishoni!