Tuliambiwa kuwa kufikia wiki ya pili hali itakuwa hatari hii nayo wiki ya pili inaisha hali iko kawaida kweli media ni kansa ikitumika vibaya

Kuna wazungu Fulani na waimba mapambio walikuwa wanasema wiki mbili zijazo hali itatisha

Leo ni ijumaa lakini tunadunda tu kama kawaida wiki ya pili inaisha wagonjwa hata 1000 hawajafika
.
Kuna Mrs Billgate yeye aliongea kuwa tutakuwa tunaokota maiti mitaani lakini wiki ya pili inaisha hali iko kawaida

Kuna wakati ujuaji wa wanadamu hukwama kwa uwezo wa mwenyezi Mungu

Watu wajifunze kuwa kuna Mungu aliyewaumba na ndiye mtetezi wa wote kwenye shida na raha
Corona inapukutisha watu Dar. Kuna wanaolalamika ndugu zao kuzikwa kinguvu na Mamlaka Dar huko Bahari Beach, Buza na Mbweni - JamiiForums
 
Tumshukuru Mungu Afrika bado mbichi sana,kwa maana uchafuzi wa mazingira ni kiasi kidogo sana,
That's why maambukizi yamekuwa madogo sana kwa maana kwamba ugonjwa umeingia na kuanza kupambana na nature lkn kwa wenzetu wazungu nature ilishapotea kwao.
Kwaiyo kwa sisi nchi za Afrika bado tunaishi kiasilia mbali na mazingira yetu kuwa bado ni ya asili.
Corona itajikuta unadhibitiwa na uhasili wetu wa hali ya hewa mpaka utatoweka.
 
Hizi porojo zakijinga ndizo tunazoweza.Ukiwa na akili timamu lazima uchukue tahadhari sio mpaka mambo yaje yawe serious sana ndo tuanze kuhaha.Tupunguze mapuuza wakati tunajua kabisa hii kitu ikichachamaa tutakimbiana.Mambo yakienda vizuri ni sawa na ndicho tunachokiomba ila sio vyema kuanza kubeza mapema hivi.
 
Aise punguza ujinga.Sio lazima afe ndugu yako ndo ujue ugonjwa upo na unaua.Tuchukue tahadhari ndo jambo la msingi ila sio kuchukulia poa as if hakuna jambo lolote.
Mkuu kwanini utumie nguvu kubwa kiwatisha watu?Ktk familia yako au ukoo wako kuna mwenye CORONA au kafa corona na mwanzo alikua mzima?Elewa ni ugonjwa wa kawaida ila umekuja na propaganda za kutosha.

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Kuna wazungu Fulani na waimba mapambio walikuwa wanasema wiki mbili zijazo hali itatisha

Leo ni ijumaa lakini tunadunda tu kama kawaida wiki ya pili inaisha wagonjwa hata 1000 hawajafika
.
Kuna Mrs Billgate yeye aliongea kuwa tutakuwa tunaokota maiti mitaani lakini wiki ya pili inaisha hali iko kawaida

Kuna wakati ujuaji wa wanadamu hukwama kwa uwezo wa mwenyezi Mungu

Watu wajifunze kuwa kuna Mungu aliyewaumba na ndiye mtetezi wa wote kwenye shida na raha
BBC/Swahili Leo asubuhi wamesema Mwamerika amethibitisha kuwa Corona virus anakufa na mwanga wa jua. It is true sitanii
 
Mtanzania kujua hali mbaya mpaka yamkute yeye. Na nakuombia yakukute wewe au mtu wa familia yako ili ulete marejesho. Yakikukuta akili zitakaa sawa.

Wazungu sio watabiri, wao wanatoa taadhari ambazo zimesaidia labda hali haukufika hapo. Wangekaa kimya tungeendelea na maisha yetu ya kwaida na labda hali ingekuwa ivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wazungu Fulani na waimba mapambio walikuwa wanasema wiki mbili zijazo hali itatisha

Leo ni ijumaa lakini tunadunda tu kama kawaida wiki ya pili inaisha wagonjwa hata 1000 hawajafika
.
Kuna Mrs Billgate yeye aliongea kuwa tutakuwa tunaokota maiti mitaani lakini wiki ya pili inaisha hali iko kawaida

Kuna wakati ujuaji wa wanadamu hukwama kwa uwezo wa mwenyezi Mungu

Watu wajifunze kuwa kuna Mungu aliyewaumba na ndiye mtetezi wa wote kwenye shida na raha
Saguda47 amelike
 
Laanatullahi nyerere ndio fala kabisa hapo , yeye ndiye katufikisha hapa tulipo leo
Wacha MATUSI KIJANA ,,wakati NYERERE anaongoza PENGINE hata KAMASI HAZIJAKUTOKA PUANI...hebu nipe SABABU ulizohadithiwa na WAKUBWA ZAKO kile KIBAYA ALICHOKIFANYA NYERERE kikatufikisha hapa,,,,LEO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom