Tuliambiwa hizi ndege za Airbus zilizokuja Tanzania ndio za kisasa kabisa kumbe si kweli!

Airbuss zilizokuja Tanzania ni Airbus 200-220 na Ndege za Airbus za kisasa kabisa ni Airbus A350 xwb

View attachment 983610
Aisee ww ndio umekosea sana mkuu. Ulichoelezea ni ukubwa wa ndege.. na si kivingine.
Ieleweke project haikuwa ya airbus hapo mwanzo ilikuwa ya bomberdier.
Airbus waliponunua hisa za bomberdier wakabadilisha jina kutoka Cs300 to A220-300.

Technical means zote ni za bomberdier.

Hizi ndege zimetofautia madaraja.
A350 Xwb ni iko katika daraja la wide body long range airplanes. hii daraja ni akina 787 , 777x, 768 , A330-300neo.
A220- 300 Iko katika Narrow body regional jet.. inaishindana direct na 737 Max.

Kitechnologia yes ni mpya. Fly by wire , geared turbofan engine, ina zile standard advanced devices mbali mbali.








Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni za kisasa hapa kwetu sio kuingine....wewe ukuelewa vzr hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa amekosea kwenye maelezo yake. Kwanza hakuna ndege inaitwa A220- 200 haipo.
Ziko class mbili tu. A220- 300 na A220-100 fomerly known as CS300 , CS100.

Pili project haikuwa ya airbus ilikuwa ya bemberdier.
Airbus walinunua tu hisa za bomberdier wakabadilisha jina tu, lakin uundaj wote wa ndege ni kitoka bomberdier.
so walifanya kuiongeza tu kwenye list ya umiliki wa ndege zake.
ndio maana wakaita airbus A220- 300/ a220-100.

A350 ni daraja la wide body long range.
A220-300 Ni daraja la narrow body regional aircraft. Kwenye soko inashindana na boeing 737 max.
Ki technologia iko vizuri ndio maana Ikapewa jina na 737 killer

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Airbuss zilizokuja Tanzania ni Airbus 200-220 na Ndege za Airbus za kisasa kabisa ni Airbus A350 xwb

View attachment 983610
Mnajiahidi kupotosha lkn ndio hivyo mmechelewa

Tatizo sio la aliye kutuma bali n lako unayekubali kutumiwa na ukweli kuwa uongo

Unakula unavaa unafanya kazi zako kwa amani kwa kuwa serikali imehakikisha kila Mtanzania anakaa kwa amani

Kama unataka kukosoa serikali kosoa katika lile lililo LA kweli.Propaganda kama hiii unayofanya ni usaliti kwa nchi yako

Muda n mwalimu mzuri
 
mtoa UZI nakushauri uketi chini ujipe muda wa ku research zaidi maana hapa naona unapigiwa miluzi mingi alafu huelewi sasa bora ujiokoe mwenyewe ktk kujipa ufahamu wa haya mambo ya vyombo vya angani bac ukishindwa kabisa nakushauri ufuatilie vyombo vingine vya usafiri haya mambo ya anga yana hitaji akili kubwa kidogo
 
Back
Top Bottom