Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Airbuss zilizokuja Tanzania ni Airbus 200-220 na Ndege za Airbus za kisasa kabisa ni Airbus A350 xwb
Aisee ww ndio umekosea sana mkuu. Ulichoelezea ni ukubwa wa ndege.. na si kivingine.
Ieleweke project haikuwa ya airbus hapo mwanzo ilikuwa ya bomberdier.
Airbus waliponunua hisa za bomberdier wakabadilisha jina kutoka Cs300 to A220-300.
Technical means zote ni za bomberdier.
Hizi ndege zimetofautia madaraja.
A350 Xwb ni iko katika daraja la wide body long range airplanes. hii daraja ni akina 787 , 777x, 768 , A330-300neo.
A220- 300 Iko katika Narrow body regional jet.. inaishindana direct na 737 Max.
Kitechnologia yes ni mpya. Fly by wire , geared turbofan engine, ina zile standard advanced devices mbali mbali.