Tuliahidi Tumetekeleza Ahadi-Kauli mbiu ya J. M. Kikwete

Nani aliyewatuma kuendelea kuichagua CCM?
Hii nchi porojo, propaganda na usanii kamwe haviwezi kuisha.
Wakati mwingine msifanye kurudia kusa hili.
 
Kikwete, uliahidi na umetekeleza ahadi, ndio maana sasa nchi iko kwenye mgao mkubwa wa umeme.
Zidumu fikra za mwenyekiti

Hakika alihidi na ametimiza, nakumbuka kwenye mgawo ulioleta Richmond madarakani aliwahi kutamka mgawo utabi historia, je historia inajirudia?
 
Wenzetu historia inabaki kwenye vitabu...
Hakukuwa na haja ya kiongozi kutoa ahadi zote zile, wakati jambo moja la muhimu ameshindwa kulipatia uamuzi wa kudumu.
Umeme, unatutoa jasho, atutatulie kwa kwanza hili lililoibuka siku chache tu baada ya kuapishwa.
 
Kikwete, uliahidi na umetekeleza ahadi, ndio maana sasa nchi iko kwenye mgao mkubwa wa umeme.
Zidumu fikra za mwenyekiti
mkuu, acha uchonganishi,
kuongoza sirikali huwa kuna mambo mazuri yanafanyika na mambo ya kijinga panapotelezeka.
tatizo lako wewe unachukua ya kijinga na kulaumu watu! sifia basi pale ambapo alifanya vizuri,
down with you. thanks
 
Ni yepi hayo?Tafadhali usiorodheshe yale ambayo hata mtu wa kawaida kabisa anaweza kuyafanya...tupe that extra mile aliyoenda kama kiongozi na sio mtawala
 
Kikwete, uliahidi na umetekeleza ahadi, ndio maana sasa nchi iko kwenye mgao mkubwa wa umeme.
Zidumu fikra za mwenyekiti
Leo katika Power Breakfast ya Clouds FM walipoteza ustaarabu wote G Hando alikuwa akifoka kama Jibwa kuhsu TANESCO. Sijui kwanini alikuwa anapoteza calories zake kiasi hicho wakati ni wao waliokuwa wakiongoza chapuo za kutofanyika mabadiliko hapa nchini? Tusubiri mengi zaidi.
 
mkuu, acha uchonganishi,
kuongoza sirikali huwa kuna mambo mazuri yanafanyika na mambo ya kijinga panapotelezeka.
Tatizo lako wewe unachukua ya kijinga na kulaumu watu! sifia basi pale ambapo alifanya vizuri,
down with you. Thanks

hebu tueleza hayo mazuri? Mbaona hatuyaoni? Tunachoshuhudia ni wizi mtupu na ufisadi na miaka mitano ya watuhumiw awa ufisadi kujisafisha. Kama kuna mazuri hebu tueleze tuyapime. Kikubwa utupatie na value for money analysisi ili tupime kama isingewezekana kufanyaika vizuri na kwa ghrama nafuu zaidi?
 
Leo katika Power Breakfast ya Clouds FM walipoteza ustaarabu wote G Hando alikuwa akifoka kama Jibwa kuhsu TANESCO. Sijui kwanini alikuwa anapoteza calories zake kiasi hicho wakati ni wao waliokuwa wakiongoza chapuo za kutofanyika mabadiliko hapa nchini? Tusubiri mengi zaidi.

Clouds ni kama umbwa...unajua umbwa ukipaka pafyumu mpya hakujui atakuuma kwa kuwa yeye anaongozwa na harufu....Gerard amechukia leo yeye kulala gizani hajui kuwa 90% ya watanzania hata umeme hawaujui
 
Tafadhalini sana, msije mkasema zile boti za doria tulikabidhiwa jana na jeshi la wanamaji la Marekani zimeletwa na Kikwete.
Tatueni kwanza tatizo la umeme ndipo muende kwenye sekta nyingine kwani umeme ndio sekta mama kwa maendeleo ya taifa letu.
Namshangaa sana kikwete kwa kutaka treni za umeme wakati umeme wenyewe ni wa magumashi
mkuu, acha uchonganishi,
kuongoza sirikali huwa kuna mambo mazuri yanafanyika na mambo ya kijinga panapotelezeka.
tatizo lako wewe unachukua ya kijinga na kulaumu watu! sifia basi pale ambapo alifanya vizuri,
down with you. thanks
 
mkuu, acha uchonganishi,
kuongoza sirikali huwa kuna mambo mazuri yanafanyika na mambo ya kijinga panapotelezeka.
tatizo lako wewe unachukua ya kijinga na kulaumu watu! sifia basi pale ambapo alifanya vizuri,
down with you. thanks
kWELI WATUWAKUOSHWA AKILI TUPO WENGI MIMI SIONI LA KUSIFIA KWA JK. SIONI LADBA USANII WAKE TUU!
 
Hili ndio kazi iliyompeleka JK lkulu

PICHA za uzinduzi wa Airtel JK ndani........
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
paperclip.png
Attached Thumbnails

mkuu, acha uchonganishi,
kuongoza sirikali huwa kuna mambo mazuri yanafanyika na mambo ya kijinga panapotelezeka.
tatizo lako wewe unachukua ya kijinga na kulaumu watu! sifia basi pale ambapo alifanya vizuri,
down with you. thanks
 
Tafadhalini sana, msije mkasema zile boti za doria tulikabidhiwa jana na jeshi la wanamaji la Marekani zimeletwa na Kikwete.
Tatueni kwanza tatizo la umeme ndipo muende kwenye sekta nyingine kwani umeme ndio sekta mama kwa maendeleo ya taifa letu.
Namshangaa sana kikwete kwa kutaka treni za umeme wakati umeme wenyewe ni wa magumashi

Hapo ndipo ninapomshangaaga huyu baba jamani hivi yuko ok kweli? Aliahidi pia laptop kwa kila mtoto ilihali watoto kibao hawana madawati achilia mbali vitabu. Aliahidi pia kuifanya Kigoma kuwa Dubai jamani wakati Dar hatuna maji wala barabara na Dar is far better than Kigoma. Mwanza kuwa New York. Na kuna mikoa kibao alikopita hawana barabara na majority wanatumia punda kama means of transport juzi amewaahidi international airports, what a hell is this jamani? Juzi bungeni kaniacha hoi eti imemchukua 5 years kujuwa kuwa wafungwa wetu magerezani wanalala mzungu wa nne. Wabunge vilaza walimshangilia alipoahidi kuchukuwa hatua niliwashangaa sana kwa kweli. Hivi kama wafungwa na akina mama wanaojifungua hospitali wanalala mzungu wa nne then mwaka mmoja peke yake mnatumia billion 30 Tsh kwa ajili ya chai ofisini huku kama sio kuumwa ni nini?

Imefika mahali mimi ninashindwa kumtofautisha kauli zake na Mzee Yusuf, I mean ili uwe na amani yako unatakiwa kumsikiliza na kumwachia yeye mwenyewe aondoke na hayo aliyoongea as if unasikiliza wimbo wa soda ya kopo wa Mzee Yusuf. Otherwise ukiyachukulia serious kama mr president kaongea utaishia kupata ulcers bure.
 
Du Buji Buji na hio picha ya JK na huyo msaniii sijui nani tena !!! Tehhheeee Teehhhhhh !! Yaani hapo ndipo JK anapafaaa haswa... na ndio a LOVELY AREA OF HIS WORK....
 
Back
Top Bottom