Tulia Ackson Mwansasu anaweza kuwa Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini?

Jul 8, 2013
47
65
Ni Wazi Dr Tulia Ackson Mwansasu Analinyatia Kwa Udi Na Uvumba Jimbo La Mbeya Mjini ambalo Sasa linashikiliwa na Joseph Mbilinyi aka Mr Sugu.

Anatoa misaada kuanzia makanisani, misikitini na Kwenye masinagogi.

Anatoa misaada Katika Shule za Msingi na Sekondari.

Anatembelea misiba, anasaidia vikundi Vya Akina Mama na Vijana.

Je Tulia Ackson Anaweza kuwa Mbunge Wa Mbeya Mjini after 2020?
 
Ndiyo akipewa ridhaa na Wananchi,sema kwa Sugu pale ni vyema akatulia mana moto wa kule mmmh!!!!
 
Huyu nasikia naye anataka jimbo ila umri wake wa kuoa bado...Anakula batazz u know!
Screenshot_20190903-155919.png
 
Ni Wazi Dr Tulia Ackson Mwansasu Analinyatia Kwa Udi Na Uvumba Jimbo La Mbeya Mjini ambalo Sasa linashikiliwa na Joseph Mbilinyi aka Mr Sugu.

Anatoa misaada kuanzia makanisani, misikitini na Kwenye masinagogi.

Anatoa misaada Katika Shule za Msingi na Sekondari.

Anatembelea misiba, anasaidia vikundi Vya Akina Mama na Vijana.

Je Tulia Ackson Anaweza kuwa Mbunge Wa Mbeya Mjini after 2020?
hawezi asubiri kiti maalum
 
Namshauri akagombee
Ni Wazi Dr Tulia Ackson Mwansasu Analinyatia Kwa Udi Na Uvumba Jimbo La Mbeya Mjini ambalo Sasa linashikiliwa na Joseph Mbilinyi aka Mr Sugu.

Anatoa misaada kuanzia makanisani, misikitini na Kwenye masinagogi.

Anatoa misaada Katika Shule za Msingi na Sekondari.

Anatembelea misiba, anasaidia vikundi Vya Akina Mama na Vijana.

Je Tulia Ackson Anaweza kuwa Mbunge Wa Mbeya Mjini after 2020?
akagombee rungwe kule green city ataliwa hela zake na kura hawampi mbona wanasema kuwa wanakulia pesa tu ukiiba kura utasababisha mauaji tu!!
 
Kila kona mbeya wanamtaka madam Tulia. Mkombozi wa Mbeya mpya. Dhahabu inayotembea. Msomi, ana pesa, hana kiburi, hana jeuri, ana upendo kwa jamii, haoni hasara kutumia mali yake kwa jamii means sio mbinafsi, God fear lady, mwanajamii, habagui dini, habagui rika, habagui hali ya mtu, mhamasishaji( utamaduni, riadha).

SUGU sasa;
Mbinafsi( kapata hela kajenga hotel, walau angejenga hata shule ili asomeshe bure na watoto wasio na uwezo), mtu wa majivuno( anapenda kupiga picha yupo kwenye jumba lake au hotel kuliko kuwa na jamii iliyompa uongozi, aliwahi kumkwepa stara thomas bungeni na kujifanya hamjui wakati walifanyaga featuring kwenye nyimbo ya mambo ya fedha), hana upendo( sura yake tu inaonyesha), hana shule( anaishiaga kujenga hoja kwa nguvu badala nguvu ya hoja na ndio maana kuna wakati alionyesha dole la kati), si muhamasishaji( kashindwa kabisa kuunganisha mbeya,hata kuandaa soka la vijana kama esta bulaya wa bunda), mbaguzi( akienda kwenye shughuli jua ni mtu mkubwa au kwa mark mwandosya), sio mwanajamii( huwezi kumuona akijichanganya na bodaboda au wanachadema wenzie wa mbeya), ana kiburi sana( anahisi anakubalika sana na wanambeya kwa kura za mihemko alizopata 2015. Amesahau gerezani alienda bila vigelegele
 
Wananchi wa Mbeya siyo vilema wa kuomba misaada, wanataka mtu anae wajibika kwa kutambua kuwa anachokifanya ni wajibu wake na hafanyi hivyo kwa kutaka kitu kwao.

Tulia kama misaada yake ni hongo kwa wanambeya kwa kutaka apewe ubunge, wanambeya siyo vilema wa kusubiri kupewa misaada ya kununuliwa na Tulia,yeye asubiri siku ya ijumaa siku ambayo ni maalumu kwa ombaomba atoe misaada yake kwa vilema.
 
Ni Wazi Dr Tulia Ackson Mwansasu Analinyatia Kwa Udi Na Uvumba Jimbo La Mbeya Mjini ambalo Sasa linashikiliwa na Joseph Mbilinyi aka Mr Sugu.

Anatoa misaada kuanzia makanisani, misikitini na Kwenye masinagogi.

Anatoa misaada Katika Shule za Msingi na Sekondari.

Anatembelea misiba, anasaidia vikundi Vya Akina Mama na Vijana.

Je Tulia Ackson Anaweza kuwa Mbunge Wa Mbeya Mjini after 2020?
Unaweza ukafanya vyote lakini Kama Mungu hajatenda juu yako hautaweza kufanikisha hilo Jambo.

Na unaweza ukashangaaa mheshiwa sugu asitumie hata shiling na akapita kwa kishindo sana.

Kila Jambo Ni kwa neema za Mungu

Na mtoa riziki pekee Ni Mungu mwanadamu atakupandisha Kisha atakushusha
 
Hayo "mabaya" yote anayo mtu mmoja(Sugu)?.Je,wananchi wake hawayaoni?

Back
Top Bottom