Uchaguzi 2020 Tulia Ackson: 2020 nitagombea

Kingsmann

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
4,440
16,242
Ameyasema hayo alipokuwa anahojiwa katika kipindi cha East Africa Breakfast Leo kinachorushwa na kituo cha redio cha East Africa.

"Mwenyezi Mungu akitupa Uhai 2020 nitagombea, ila nitagombea wapi? naomba watulie kwa sababu chama chetu kina utaratibu wake ila nashukuru ninavyoonekana nina uwezo wa kugombea maeneo mengi."Naibu Spika @TuliaAckson

IMG_20190819_145749.jpg
 
Asije akawa anamaanisha urais ndani ya CCM. Namtahadharisha asijaribu kukiri hata kwa mumewe au rafiki kuwa anautaka urais kwa kudanganywa na upepo uvumao. Akikiri tu atatambua jinsi Magufuli alivyo na nguvu nyingi, kwanza atamvua ubunge wa kuteuliwa na kwa sababu ni wake Rais. Baada ya hapo atamvua unaibu spika bila hata kuitisha kikao cha dharura cha bunge na wabunge wote wa CCM watabaki kmyaaaaa labda wale wa upinzani watabwatuka ila hawatamsaidia chocchote.
 
View attachment 1185297
Aende Kongwa.
 
Alafu atamteka, atam... Na kuminginiza kwenye miti Kule kisarawe
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom