Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,042
- 10,786
Radi imeua mtu mmoja stendi Tukuyu na wanawake wawili wamekimbizwa hospitali ya Makandana Tukuyu.
Radi ni umeme tena very high voltage at times.kumbe radi ni hatari hivi? mti umemenywa kama toothpick.
Also Don't Use Mobile phones....When there is thunderstorm try not to
1. Never seek shelter underneath a tree.
2. Stay away from windows.
3. Do not bath or shower.
4. Avoid metal pipes
Poleni sana kwa msiba mpendwa. Apumzike kwa amani FreemanAliyefariki ni kaka yangu, anaitwa freeman. Msiba utakuwa masama mbweera kuanzia Kesho. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali Pema peponi, ameni.
AmenPoleni sana kwa msiba mpendwa. Apumzike kwa amani Freeman
Pole kwa msiba mkuu.Aliyefariki ni kaka yangu, anaitwa freeman. Msiba utakuwa masama mbweera kuanzia Kesho. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali Pema peponi, ameni.
Asante mkuu.Pole kwa msiba mkuu.
Kwann usikateeTukuyu aka Tokyo, mmh huko radi inapiga mpaka miti inakauka halafu mnaambiwa mti ukikauka msikate kuni ni shidaah huko kwa wanyakyusa
Ohookumbe radi ni hatari hivi? mti umemenywa kama toothpick.
MmhAliyefariki ni kaka yangu, anaitwa freeman. Msiba utakuwa masama mbweera kuanzia Kesho. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali Pema peponi, ameni.
Sijakuelewa.