stevoh
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 2,921
- 1,104
Za wiki end wana jamvi, najua mu wazima wa afya.
Leo Mwl. Christopher Mwakasege anaanza semina ya neno la Mungu hapa kwenye viwanja vya Jangwani. Itakuwa ni ya siku 8 mfululizo kuanzia leo.
Inaanza saa 8.00mchana mpaka saa 12.00jioni.
Tukutane hapo.
Mie nipo ndani ya viwanja tayari.