Tukutane jmosi kwa mkandarasi

Hahahahaaaa National Stadium jina la Kipuuuzi sana. Kwani huo Uwanja ungeitwa Serengeti Plain, au Ngorongoro Pitch, the Peak of Kilimanjaro, Selou Stadium nk nk. National Stadium. Which National?? Kila Taifa wanaUwanja bwana. Nadhan Mhe. WAZIRI ameshindwa kutambua kuwa Watumiaji wameona jina lina Matege hivyo wamejiongeza kuita kwa Mchina. Aliyeita hilo jina FUMBO ndiye chanzo cha yote haya. badilisheni jina plsssss
 
Back
Top Bottom