Tukutane hapa wapenda music wenye asili ya Congo

Adolph Jr

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
5,513
8,530
Ni muda mwingine tena tukutane hapa wale wapenda Muziki (Music) wenye asili ya Ki-kongo unaojumuisha:-
1:- Bolingo.
2:- Zouk.
3:- Sukuos.
4:- Kiringala.
5:- Kikasai.
6:- n.k
Kwa malengo ya kupeana taarifa na burudani mbalimbali kuhusiana na Music huu kama vile :-
- Taarifa za wasanii mbalimbali wanaoimba aina hii ya Muziki..
- Kubadilishana Videos,Audio na Image za miziki mbalimbali...
- Kutaarifiana kuhusu wana-mziki wapya na wa kale...
- Kupeana tafsiri Congo to Swahili..
- N.k
NOTE
- Lugha yeyote inaruhusiwa ikiwemo Kikongo,Kifaransa na Kiswahili..
- Music wa kizazi chochote tajwa hapo juu ruksa kuzungumzia na kuweka Video, Audio au picture yake. ..

KARIBUNI SANA (WELCOME).
 
download-1.jpg
images-5.jpg
images-9.jpg
images.jpg
images-7.jpg
images-8.jpg
download.jpg
Wanamuziki maalufu wa kikongo:-
Men
-Werrason. -Koffi olomide (Mopao). -Pepe kalle. -Franco Lwambo Makiadi -Fally ipupa.-Kanda Bongoman, -Ferre Gola. -Wazekwa.- Awilo Longomba - Papa Wemba. -Madilu System. -Tabu ley. -Defao, -J.B Mpiana,-Aurlus Mabele,-Joseph kabaselle,-Mbuta likasu, -Ghatto, -Lucian Bokilo,-Bozi boziana,-Victoria elyson ...
Women
- Mbilia bel -Cindy lecour,-Fayatessy -Yondo sister -Tshala muana,-Scola,-Betty .....
Groups (Makundi)..Band
-T.P OK JAZZ ,-Empire Bakuba, -Quartier Latin International,-Wenge Musica ,B.C.B.G -Soukous stars,-Extra Musica,-G7 Ca va ler,-Loketo,-Zaiko langa langa. ...
 
Attachments

  • download-2.jpg
    download-2.jpg
    6.3 KB · Views: 573
  • download-3.jpg
    download-3.jpg
    9.5 KB · Views: 555
  • download-6.jpg
    download-6.jpg
    9.1 KB · Views: 476
  • download-4.jpg
    download-4.jpg
    8.5 KB · Views: 483
  • images-10.jpg
    images-10.jpg
    8.7 KB · Views: 455
  • download-5.jpg
    download-5.jpg
    9.4 KB · Views: 465
3280_71689754910_7887083_n.jpg
Franco Video na Audio latest zinafuatia ngoja nipakue - Bhana congo karibuni mujisikie muzuri....
 
Attachments

  • 15326480_162466384227452_4437268442070958872_n.jpg
    15326480_162466384227452_4437268442070958872_n.jpg
    5.2 KB · Views: 430
  • Koffi Olomide Jeune Pato Clip Officiel de l'album Abracadabra clean.3gp
    13.1 MB · Views: 202
  • 3280_71689864910_3905256_n.jpg
    3280_71689864910_3905256_n.jpg
    9.2 KB · Views: 422
  • 14721493_176341409478932_5995795020076126021_n.jpg
    14721493_176341409478932_5995795020076126021_n.jpg
    8.7 KB · Views: 466
  • 3280_71689869910_1427276_n.jpg
    3280_71689869910_1427276_n.jpg
    8.1 KB · Views: 437
Audio Songs
 
Attachments

  • diblo_dibala_matchatcha_laisser_passer_clip_remix_mp3_39137.mp3
    1.8 MB · Views: 407
  • madilu_system_si_je_savais_ca_mp3_65282.mp3
    2.4 MB · Views: 334
  • papa_wemba_show_me_the_way_mp3_67450.mp3
    1.4 MB · Views: 355
  • posa_ya_bolingo_by_alicios_official_video_mp3_36415.mp3
    2.9 MB · Views: 260
  • tabu_ley_rochereau_mokolo_nakokufa_nako_kufa_english_translation_lyrics_pars_mp3_68520.mp3
    3.3 MB · Views: 342
  • defao_hitachi_mp3_37937.mp3
    2.5 MB · Views: 329
TAFSIRI ZA NYIMBO ZA KIKONGO
:- Grace toi German by Jb Mpiana..... Kituko [HASHTAG] #215[/HASHTAG]
:- Feux del armour by Jb Mpiana.... MPUNGA [HASHTAG] #260[/HASHTAG]
:-Associe by Fally ipupa ... lee empire [HASHTAG] #383[/HASHTAG]
:- Boyaye by Mbilia bel Quinine Mwitu.... [HASHTAG]#396[/HASHTAG]
WANAJUKWAA WAZOEFU
- bagamoyo
:-Historia ya Music wa kikongo......[HASHTAG]#427[/HASHTAG]
:- Best video songs
GENTAMYCINE
:- Ubora wa Dally kimoko na Diblo dibala wapiga gitaa hodari .... #46
:-Maisha ya Allan kunkou ..... #57
Kilaga
:- Maelezo ya vizazi vyote (vitatu) vya music wa Congo..... #73
CHAZA
:- Historia ya Aurlus Mabele .....[HASHTAG]#174[/HASHTAG]
Sikonge
:- Best Songs
:- Historia ya Mere malu.
Masiya
:- Historia ya simalu masiya .... 261
MPUNGA
:-Historia ya Roberto Wumba ekokota.... [HASHTAG]#271[/HASHTAG]
:- Historia ya wapiga guitar wa kikongo.... [HASHTAG]#287[/HASHTAG]
ho chi minh
:- List ya wakali wa Guitar (Guitarists)
bhachu
:- Extra Musica (pictures)
:- Bendi bora ...[HASHTAG]#381[/HASHTAG]
Quinine Mwitu
:- Best video songs.... [HASHTAG]#415[/HASHTAG]
 
Tena hili swala la VIZAZI ni muhimu kufafanuliwa. Je IPI mipaka ya kizazi wa kwanza cha muziki wa Zaire (DRC), halikadhalika vozazi vinavyofuata nasikia hadi sasa ni kizazi cha tano. Ikitajwa bendi/mwanamuziki wa kila kizazi na wimbo/mtindo uliotumika itaeleweka zaidi. Mtangazaji Zuberi Musabaha (Ton Ton) wa RFA aje hapa atusaidie...
 
Kizazi cha kwanza au first generation baada ya kupata uhuru kilikuwa ni kizazi cha akina Niko Kasanda.

Kizazi cha pili ni cha akina Franco na TP OK Jazz akiwa na akina Simaro Lutumba, Jossy Kiambukuta, Tabu Ley, Sam Mangwana, Madilu System etc.

Kizazi cha tatu ni kile maarufu kama cha Soukous ndani humo kilianza muda kidogo kikienda sambamba na kizazi cha rhumba humo unawakuta Zaiko Langa Langa, akina Vangu, huku kwetu unakuta akina Mangelepa, Less Wanyika, Baba Ilunga ~Nakolele, Mazembe, lakini kilishika chati sana enzi za akina Pepe Kale na Empire Bakuba na Bileku ya Mpasi, Bozi Boziana, Bongo Man, Yondo Sister, Soukouss Masters, Soukouss Stars, Aurlus Mabele, Tshmita, Dally Kimoko, Diblo Dibala na Matchacha Yetu, Tchiko Chikaya etc.

Kizazi cha nne ni cha akina Def Defao na Big Stars, Wenge Musica, Wenge Musica 4x4, Quarter Latie na Charles Antoinwe Koffi Olomide Papa Fololo Mourhino Mokonzi Sarkozy Virus vya Ebola , Wenge Ailes Paries, Zaiko Nkolo Mboka,Wenge Musica BCBG ya kwake Papa Cherry Tshtuka JB Mpiana Mukulu, Wenge Musica Maison Mere ya kwake Ngiama Makanda Le Roi de la Forret Igweee, Extra Musica, na zake zingine za akina Rogaroga, Oxygen etc, G7 Ca va ler.

Kizazi cha tano ndicho hichi cha akina Fally Ipupa DiCaprio, Ferre Gora Shwetan, Fabregas, Kabose, Herritier Watta Plus, kwa kibongobongo ndiyo hawa akina Christian Bella the King of the Best Melodies,
 
Wanamuziki maalufu wa kikongo:-
Men
- Werrason.
- Koffi olomide (Mopao).
- Pepe kalle.
- Franco Lwambo Makiadi
- Fally ipupa.
- Ferre Gola.
- Wazekwa.
- Wenge Musica ,B.C.B.G
- Papa Wemba.
- Madilu system.
- ..
Women
- Mbilia bel
- Cindy
- Faya tess
- .....
Kuna jamaa anaitwa Pascal lokua kanza..huyu jamaa ni miongoni mwa wanamuziki toka Congo wanaojua muziki na walionifanya nione hata lugha ya lingala ni soft and smooth...jamaa yuko very soul and emotional.. with an amazing melody and vocal techniques za ajabu.

Nadhani kwa vile anafanya muziki akiwa majuu ndo sababu hapewi kipaumbele na Wacongoman wenzake. Ila napenda maana anaimba kwa lugha tatu kiswahili, Lingala, and France e.t.c

Hizi ni miongoni mwa kazi zake kali hits.

1; Mutoto
2;Nakozonga
3;juste un pe de'amor
4; kuetu mbali
5;Plus vivant
6;Meur amor

Na nyingine Kali kibao! Jamaa anapiga mziki addictive ule wa kusikiliza hata miaka ishirini.

It's a must listen songs.
 
Kizazi cha kwanza au first generation baada ya kupata uhuru kilikuwa ni kizazi cha akina Niko Kasanda.

Kizazi cha pili ni cha akina Franco na TP OK Jazz akiwa na akina Simaro Lutumba, Jossy Kiambukuta, Tabu Ley, Sam Mangwana, Madilu System etc.

Kizazi cha tatu ni kile maarufu kama cha Soukous ndani humo kilianza muda kidogo kikienda sambamba na kizazi cha rhumba humo unawakuta Zaiko Langa Langa, akina Vangu, huku kwetu unakuta akina Mangelepa, Less Wanyika, Baba Ilunga ~Nakolele, Mazembe, lakini kilishika chati sana enzi za akina Pepe Kale na Empire Bakuba na Bileku ya Mpasi, Bozi Boziana, Bongo Man, Yondo Sister, Soukouss Masters, Soukouss Stars, Aurlus Mabele, Tshmita, Dally Kimoko, Diblo Dibala na Matchacha Yetu, Tchiko Chikaya etc.

Kizazi cha nne ni cha akina Def Defao na Big Stars, Wenge Musica, Wenge Musica 4x4, Quarter Latie na Charles Antoinwe Koffi Olomide Papa Fololo Mourhino Mokonzi Sarkozy Virus vya Ebola , Wenge Ailes Paries, Zaiko Nkolo Mboka,Wenge Musica BCBG ya kwake Papa Cherry Tshtuka JB Mpiana Mukulu, Wenge Musica Maison Mere ya kwake Ngiama Makanda Le Roi de la Forret Igweee, Extra Musica, na zake zingine za akina Rogaroga, Oxygen etc, G7 Ca va ler.

Kizazi cha tano ndicho hichi cha akina Fally Ipupa DiCaprio, Ferre Gora Shwetan, Fabregas, Kabose, Herritier Watta Plus, kwa kibongobongo ndiyo hawa akina Christian Bella the King of the Best Melodies,
Samahani mkuu enzi ya edition veve ilikuwa ni kizazi gani maana nakumbuka ochre veve na timu yake.
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom