Adolph Jr
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 5,545
- 8,612
- Thread starter
- #401
Kweli mkuuBosi nyimbo tunazo ila hatuwezi upload bila mtu kuomba, kama unaweza anzisha group la watsapp kwaajiri ya kuomba nyimbo za kikongo tu uone. Nina jamaa yangu anaitwa Roga Roga naye ni member humu JF ananyimbo nyingi sana za kikongo sidhani kama kuna wimbo unaoutaka hana, ila tatizo yuko bize sana. ukikutana naye ukataka mku judge kutokana na age yake ya under 36 years utaharibu. Yupo vizuri nimewahi pata nafasi ya kukaa naye maeneo ya Ambiance sinza kabla haijavunjwa na watawala jamaa anaujua muziki wa kikongo, sikujua pia hata hapo ambiansi ni kutokana na wimbo wa Ghato...in short jamaa shule inambana ila ana madini ya kutosha kuhusu muziki wa kikongo.