Tukutane hapa wapenda music wenye asili ya Congo | Page 16 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tukutane hapa wapenda music wenye asili ya Congo

Discussion in 'Entertainment' started by Adolph hitler jr, Dec 22, 2016.

 1. Adolph hitler jr

  Adolph hitler jr JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2016
  Joined: Nov 5, 2016
  Messages: 1,794
  Likes Received: 1,543
  Trophy Points: 280
  Ni muda mwingine tena tukutane hapa wale wapenda Muziki (Music) wenye asili ya Ki-kongo unaojumuisha:-
  1:- Bolingo.
  2:- Zouk.
  3:- Sukuos.
  4:- Kiringala.
  5:- Kikasai.
  6:- n.k
  Kwa malengo ya kupeana taarifa na burudani mbalimbali kuhusiana na Music huu kama vile :-
  - Taarifa za wasanii mbalimbali wanaoimba aina hii ya Muziki..
  - Kubadilishana Videos,Audio na Image za miziki mbalimbali...
  - Kutaarifiana kuhusu wana-mziki wapya na wa kale...
  - Kupeana tafsiri Congo to Swahili..
  - N.k
  NOTE
  - Lugha yeyote inaruhusiwa ikiwemo Kikongo,Kifaransa na Kiswahili..
  - Music wa kizazi chochote tajwa hapo juu ruksa kuzungumzia na kuweka Video, Audio au picture yake. ..

  KARIBUNI SANA (WELCOME).
   
 2. L

  Lipyotoo JF-Expert Member

  #301
  Jan 11, 2017
  Joined: Jan 3, 2017
  Messages: 478
  Likes Received: 354
  Trophy Points: 80
  Hivi Aimelia Lyese yuko wapi?
  Jules Kibenga(Kibens aka Le Professour-spelling) wako wapi hawa?
  Alain Mpela yuko wapi?

  Serge Palm na Tour Eiffel aliimba vizuri sana Alain Mpela(Afande)
   
 3. L

  Lipyotoo JF-Expert Member

  #302
  Jan 11, 2017
  Joined: Jan 3, 2017
  Messages: 478
  Likes Received: 354
  Trophy Points: 80
  Huu wimbo uliimbwa kila Star na ubeti wake. Ingawa Noel(Ngiama Makanda) ndiye mtunzi lakini hata JB Mpiana, Werrason,Didier Masela, Adolph Dominguez et waliimba kutegemea na ubeti wa ngapi.
   
 4. m

  mwalwebe JF-Expert Member

  #303
  Jan 11, 2017
  Joined: Dec 20, 2015
  Messages: 298
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 80
  Mkuu nilikuwa sijajua mtunzi ni Ngiama lakini bado hainiondolei kumpenda JB,Anglia VITA IMANA mtunzi ni Ferre lakini hauwezi ukamtoa Ngiama kutokana na mchango wake kwenye Huo Wimbo
   
 5. Bakulutu

  Bakulutu JF-Expert Member

  #304
  Jan 11, 2017
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 1,920
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 180
  We zako taraarabu huku unafanya nini bibie?
   
 6. johnsonmgaya

  johnsonmgaya JF-Expert Member

  #305
  Jan 11, 2017
  Joined: Oct 16, 2015
  Messages: 2,797
  Likes Received: 3,601
  Trophy Points: 280
  Me nahitaji best 3 za ferre gorra nisaidieni
   
 7. G

  Guasa Amboni JF-Expert Member

  #306
  Jan 11, 2017
  Joined: Aug 13, 2015
  Messages: 6,996
  Likes Received: 7,523
  Trophy Points: 280
  Duh !bila kupepesa (macho )ah vidole !
   
 8. sambasha

  sambasha JF-Expert Member

  #307
  Jan 11, 2017
  Joined: Dec 14, 2015
  Messages: 258
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 60
  Samahani wakuu.. Nimeskia koffi amefariki. Mwenye kujua zaid atujuze
   
 9. L

  Lipyotoo JF-Expert Member

  #308
  Jan 11, 2017
  Joined: Jan 3, 2017
  Messages: 478
  Likes Received: 354
  Trophy Points: 80
  Lini hiyo?
   
 10. sambasha

  sambasha JF-Expert Member

  #309
  Jan 11, 2017
  Joined: Dec 14, 2015
  Messages: 258
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 60
  Nmeskia leo mtaani. Nikashangaa na [​IMG]
   
 11. Adolph hitler jr

  Adolph hitler jr JF-Expert Member

  #310
  Jan 11, 2017
  Joined: Nov 5, 2016
  Messages: 1,794
  Likes Received: 1,543
  Trophy Points: 280
  Hakuna kitu kama hicho. ..
   
 12. Quinine Mwitu

  Quinine Mwitu JF-Expert Member

  #311
  Jan 12, 2017
  Joined: Oct 19, 2014
  Messages: 3,648
  Likes Received: 3,201
  Trophy Points: 280
  hata mimi
   
 13. bhachu

  bhachu JF-Expert Member

  #312
  Jan 12, 2017
  Joined: Jul 29, 2015
  Messages: 4,085
  Likes Received: 3,029
  Trophy Points: 280
  Daaaah Nene Tchakou - La paix ingia You tube katafute hilo songi, jamaa ndo nilimvulia kofia hapa
   
 14. bhachu

  bhachu JF-Expert Member

  #313
  Jan 12, 2017
  Joined: Jul 29, 2015
  Messages: 4,085
  Likes Received: 3,029
  Trophy Points: 280
  [​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG]
  HAWA WADUDU NDO FUNGA KAZI WA NYIMBO ZA KIKONGO.....Tangu nianze kuwasikia Rasmi mwaka 1995 hawajawahi niangusha hadi mwaka 2006 ambapo naona ndo walisambaratika rasmi kwa upande wangu
   
 15. bhachu

  bhachu JF-Expert Member

  #314
  Jan 12, 2017
  Joined: Jul 29, 2015
  Messages: 4,085
  Likes Received: 3,029
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Herman Ngasaki aka Don Mfumu
   
 16. bhachu

  bhachu JF-Expert Member

  #315
  Jan 12, 2017
  Joined: Jul 29, 2015
  Messages: 4,085
  Likes Received: 3,029
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Kila Mbongo Mimi namwita Rapper Tall King of the king rapper
   
 17. bhachu

  bhachu JF-Expert Member

  #316
  Jan 12, 2017
  Joined: Jul 29, 2015
  Messages: 4,085
  Likes Received: 3,029
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  ROGA ROGA himself the presidente
   
 18. bhachu

  bhachu JF-Expert Member

  #317
  Jan 12, 2017
  Joined: Jul 29, 2015
  Messages: 4,085
  Likes Received: 3,029
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  OxY Oxygene le proffesional
   
 19. bhachu

  bhachu JF-Expert Member

  #318
  Jan 12, 2017
  Joined: Jul 29, 2015
  Messages: 4,085
  Likes Received: 3,029
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Abilissi the sounder himself
   
 20. bhachu

  bhachu JF-Expert Member

  #319
  Jan 12, 2017
  Joined: Jul 29, 2015
  Messages: 4,085
  Likes Received: 3,029
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Dodou Copa
   
 21. Roga Roga

  Roga Roga JF-Expert Member

  #320
  Jan 12, 2017
  Joined: Dec 20, 2013
  Messages: 388
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Duuuu hii sasa kali..didier masela naye aliimba huu wimbo????!!!!!!!!
   
Loading...