Tukutane hapa tuliowahi kufanya na kufanyiwa matukio ya Kikatili na kutisha maishani

Nakumbuka niliwahi kuiba saa ya dingi wa chaliangu home kwao sasa mda si mda mzee anaitafuta saa haioni kila anaeulizwa anasema hajui hapo saa ninayo mfukoni.

Nikajua kitachofuata ni kusachiwa ikabidi nizuge naenda chooni kufika nikaitupa saa chooni nikarudi ndani basi jamaa yangu na wadogo zake walikula stiki sana ile siku nafsi ilinisuta sana ni miaka mingi imepita ila nikikumbuka huwa inanifedhehesha sana. Mambo ya utoto.
kwanin hukuificha ila ukaitupa....But scenario yako ni kama yangu sema mimi nilmwibia hela ba mdgo nikaenda ifukia shambani....Asee aliitafta ile hela, tukasachiwa watoto wote...Mimi nikawa namchora tuu
 
Nadhani nitajaza server
Mzee wangu alikuwa anaitwa shule kila week hapo ilikuwa primary
Halafu alikuwa ananiambia safi sana waonyeshe.

Si wajua watu wa kanda ya maalumu?
 
Mpaka Leo roho mbaya ya choyo anayo?
Hajabadilika tu?
Na kaka enu anamtendeaje
Kwa kweli sijui kama hajaacha choyo, kaka yeye atajua mwenyewe na maisha yake na mkewe, mimi tangu nilipoondoka kuna ndugu yangu mwengine alifika hapo kwa nia na madhumuni asome chuo alinitafta na kunambia pia pamemshinda na akaondoka
 
Ben acha huu upotoshaji kama unajiita wewe kidume basi endelea ila mimi ni shahidi ndani ya mtandao huu umeshaonywa sana.
Ila mimi nataka kukutabiria jambo. Kama kweli hutobadilika nakuendelea na hii mambo basi kifo chako hutopata nafasi kuja kuandika humu na kwa bahati mbaya watu watakuwa wameshasahau sana sana watajuwa umekufa kama binadam wengine ila kumbuka huna uharakati wowote my dia hata punje ya Dr Ulimboka huna sasa jiangalie usitafute umaarufu wakati kifaru kiponjiani unakizuia kisipite kwa mwili wa nyama utakufa na hao unao walaani wala haiwapati... Take care this is a nation kaa mbali
 
Kuna tatizo?
 
kwa kweli sjui kama hajaacha choyo, kaka yeye atajua mwenyewe na maisha yake na mkewe, mimi tangu nilipoondoka kuna ndugu yangu mwengine alifika hapo kwa nia na madhumuni asome chuo alinitafta na kunambia pia pamemshinda na akaondoka
Ndo wale wasiopenda ndugu wa mume
Hiyo ni roho mbaya
 
Back
Top Bottom