Wale wenzangu wa zamani mika ya 1980-90, naona vijana wanaburudisha na mziki wa zamani. Shindano hili linajumuisha muziki wa RUMBA, TWIST, POP nk.