Tukutane chumbani kukichwa

Sasa tushike lipi tuache ugali au tuache porn?
Fanya research mwenyewe ya nutrition ujiongeze, sio kila kitu ni black and white. Usipojifunza kutafuta mwenyewe hata ukiambiwa hivi leo kesho utarudi palepale. Internet ipo kiganjani mwako soma
 
Vyakula vyangu mi na nani? umeambiwa kila mtu JF ambaye hali ugali basi anakula chips na pizza? Naona unakuja na personal attacks za kijinga labda imekugusa sana moyo, em nenda kwenye kioo jiangalie lazima utakua na man boobs.

Tatizo wabongo wengi wafanya mazoezi wanakua na man boobs wanadhani wana mwili safi na afya nzuri kumbe wapi. Unaona tu instagram watu wana miili imejishape vizuri nyie mmekaa na man boobs kwa kua tu mnakomalia kupiga sana ugali mnadhani ugali ndo afya. Ugali una carbohydrate kibao ndiyo, na carbohydrate inatumika kwenye kula nguvu ndiyo, ila sio kila kitu ni black and white, unavyopiga excess carbohydrate inabadilishwa kua fat, na insulin level yako inakua high so inaact kama fat storage, fat inatunza kwenye hizo boobs, mgongoni au kwenye kitambi. Ili kuondokana na hali hiyo, carbs mtu unatakiwa kubalance, kula carbs siku ambazo unafanya very heavy workout inayohitaji too much energy kama kunyanyua uzito mkubwa sana, siku unazofanya workout nyingine unaweza acha carbohydrate kabisa ukaingia kwenye ketosis ambapo liver inaproduce ketones unajikuta mwili unaburn fat kupata energy since huna carbohydrate.

Ndiyo nutrition hiyo, sio tu kusoma ila nimeiapply kwenye maisha yangu vizuri tu, sio kwenda kukariri kijinga unakuja na vitu havina backing yoyote ile kisayansi, nakwambia jiangalie kwneye kioo kama huna man boobs ujue kinachokufanya uwe hivyo ni ujinga wako wa kukomalia vitu ambavyo hujui ni nini. Utaishia kuona watu wana miili mizuri online tu endelea kula ugali kila siku ka umetumwa. Na kama ulikua umesoma vizuri nilichopost ungeona sijaandika kua ugali ni sababu ya watu kutokua na nguvu ya kufanya ngono, umerukia tu bila kumaliza nilichoandika. Nenda kale ugali sasa ulale na manboobs
"Ni heri kujifunza kila kitu kuliko kujua kila kitu" Niongeze sauti?
 
Fanya research mwenyewe ya nutrition ujiongeze, sio kila kitu ni black and white. Usipojifunza kutafuta mwenyewe hata ukiambiwa hivi leo kesho utarudi palepale. Internet ipo kiganjani mwako soma
Acha ujuaji mwingi wewe, hiyo research ndiyo ilete maajabu leo hii nakati mimi mwenyewe nina zaidi ya mihongo mitatu na zaidi lakini sijawahi kupatwa na tatizo lolote na bado naendeleza moto ule ule?
 
Fanya research mwenyewe ya nutrition ujiongeze, sio kila kitu ni black and white. Usipojifunza kutafuta mwenyewe hata ukiambiwa hivi leo kesho utarudi palepale. Internet ipo kiganjani mwako soma
Afu nani kakudanganya kuwa kila kitu kilichomo ndani ya inaternet kina ukweli 100%?
Nikiandika upuuzi upuuzi tu nikaweka ktk internet nani anayekuja kuniuliza, kunikamata na kunishtaki?

Je utakuwa na uhakika gani kama ni mimi ndiye niliyeandika upuuzi upuuzi tu na kutuma, kama simu yangu ilidukuliwa?
 
Vumbi...ile inaweka ganzi tu kama chombo ishashika moto ili wazungu wakawie.
Enz za utoto mi nilikua napaka Vicks Kingo “kichwani” na “kwenye shina”.basi hapo utaombwa msamaha na mapumziko hata mara tano kabla wazungu hawajaja
Vicks Kingo inasababisha kauwasho flani ambako kanaongeza ashk ya kuendeleza libeneke. Hiyo haina ubishi.
 
Fanya research mwenyewe ya nutrition ujiongeze, sio kila kitu ni black and white. Usipojifunza kutafuta mwenyewe hata ukiambiwa hivi leo kesho utarudi palepale. Internet ipo kiganjani mwako soma
Ninasoma kuliko unavyosoma wewe nahisi nimekuzidi hata mara 1000 Zaidi. Tunavyoandika humu tunachochea ili wasiosoma wajue wafanyeje. Mie ni researcher na nina PhD Maisha yangu yote ni kusoma na kuandika ndio kazi yangu
 
IMG_20190911_145618.jpeg
 
Unaweza kua na hoja mkuu maana miaka ya nyuma mbona watu walikua wanakula sana ugali na wala hapakua na tishio la kupungukiwa na nguvu za mwili wala kiume?
Zaman baharia unaona papuchi kwa mwezi mara 1 au 2, nguvu lazima awe nazo...
Kwangu naona tatizo linatokana na utandawazi zaidi, kuangalia porn, aina ya maisha yenyewe ni porn tosha.. Mfano mavazi wavaayo wanawake yanachangia pia unaingia na mwanamke ndani umebaki kuona ncha ya chuchu na K baasi vingine ushaviona kabla, punyeto, wanawake sio wagumu km zamani, kula hivyo vitu kunasaidia kwa wale tunaokua na mechi sio chini ya 3 kwa wiki + michepuko
 
Back
Top Bottom