We mzee hebu haya mambo tuachie vijana we lea wajukuu bhana
Hapana hapo dawa ndio inakolea. Wanawake wanataka shughuli haswaaaa. Hasa hawa wa dsm.Daah! Mwisho wa siku unakuta si dawa tena kwani changanya changanya imezidi.
HahaWe mzee hebu haya mambo tuachie vijana we lea wajukuu bhana
nadhani hivi ni vifaa vyako vya uganga wa kienyeji ee?