Tukutane at Vodacom Tanzania Facebook Page Ongea Saa 1 Bure Deilee!!

Le Mutuz naomba uni unblock aseeh.Nimekoma sitarudia tena!!

- Poa nipe ID yako ok guys the show was great imeisha salama, sasa kama kawa natayarisha semina ya siku moja hapa mjini nitawakutanisha Vijana Matajiri na Vijana Masikini itakuwa saafi sana Tarehe 26/2/2016

le Mutuz
 
- Yaani so far hii promotion ni Ma Star wawili tu alianza Diamond now ninakuja mimi Mwana JF THE KING OF ALL BONGO SOCIAL MEDIA hahahahahaha U know, halafu unajua mpunga wake hahahahaha U know and I love it!!

le Mutuz
mkuu embu nigawie na mimi huo mpunga
 
- Poa nipe ID yako ok guys the show was great imeisha salama, sasa kama kawa natayarisha semina ya siku moja hapa mjini nitawakutanisha Vijana Matajiri na Vijana Masikini itakuwa saafi sana Tarehe 26/2/2016

le Mutuz
Nackia ulishwahi mtongoza wema sepetu akakutaa ndo maana ulikuwa Una mdiss ulijickiaje le mutuz the super billionea
 
Hivi baada ya Diamond kuchukua mzigo wengine ndio wanavyo jisogeza voda hivi? Kila la heri toto kubwa.
 
Haaahaa le mutuz thou , I like him but kaniblock insta afu sijawahi hata kumdiss, kuna kiswahili tulipishana tu kipindi cha uchaguzi, Duh hadi leo hajatoa block.
 
Back
Top Bottom