Seif al Islam
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 2,156
- 638
nadhani sio dhambi kuulizia kutaka ufafanuzi juu ya tukio la kuvamiwa kwa mama yake zitto kabwe.kwa mwenye taarifa sahihi atupatie tujue.
hakuna kitu. ulikuwa ni muendelezo wa sanaa za zitto.
nadhani sio dhambi kuulizia kutaka ufafanuzi juu ya tukio la kuvamiwa kwa mama yake zitto kabwe.kwa mwenye taarifa sahihi atupatie tujue.
JF sio mahakama mkuu,kajipange upya