Tukumbushane

Ushirombo

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
3,557
2,692
jamani kulikua na salamu ya ccm miaka kadhaa iliyopita ilikua,tulikua tunaitikia JEURI YA CHAMA,CHAMA CHA MAPINDUZI, Nikumbusheni jamani na mnielezee walikua wanamaanisha nini kusema jeuri ya chama,nilikua mtoto so nilikua napelekwa pelekwa tu hovyo.Saiv nimeokoka na naipenda Chadema.
 
Back
Top Bottom