Revola
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 1,408
- 1,156
- Thread starter
- #1,241
Mkuu hivi hukuikuta DTV?Nakumbuka vipindi kama Mambo hayo na Maisha pale ITV na kwa upande wa Channel Ten kulikuwa kuna vipindi kama Nani ni nani na Muziki motomoto.
Pia dada yetu Maria Sarungi alikuwa na kipindi kinaitwa "Facets" na bila kumsahau Jenerali Ulimwengu na kipindi chake cha 'Jenerali on Monday'
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app