Ha ha ha full vituko!!!!Africa Kusini kuna Rais alinusurika kuambukizwa ukimwi baada ya kufanya mapenzi na mwathirika wa ukimwi. Alipo ulizwa umewezaje kupona? Akasema baada tu ya kufika kileleni alijichomoa kisha akaenda kuosha jogoo wake, aliiosha sana hadi wadudu wote wa ukimwi wakaondoka.
Rais huyo ametahiriwa miezi michache nyuma
mwingine baba ni Rais, mama waziri na mtoto ni mkuu wa majeshiKuna mmoja yeye kamteua mtoto wake kuwa makamu wa rais
ni yule Rais wa Cuba Fidel CastroHivi kuna aliyepigaga mapushapu jukwaani naye vipi?
Ktk nchi moja Africa ,rais aliweza kuishi nje ya nchi kuliko ndani
Mkuu usizunguke mbuyu...
toboa tobo...
Bala=baraAfrika ni bala ambalo kuna watu wenye akiri sana duniani na ni bara tajiri sana duniani,ila tuna ugonjwa moja mkubwa sana ambao alituloga mzungu kuwa tunawaza mambo ya kare,na kila siku tunawaza mambo mabaya waliyo yafanya waafrika wenzetu badala ya kuwaza jinsi ya kuyasahihisha hayo mambo ili tusonge mbele,nadhani tukitoka kwenye huu ugonjwa Afrika tutaweza kusonga mbele,na haya tutafanikiwa iwapo tu katika dialog zetu ziwe ni solution oriented na sio problem oriented.
Sasa kuna raha gani ya kuquote uzi wote huo?Umeandika vizuri sana ila umeharibu kabisa hapo ulipomalizia kwa kusema kwa hisani ya maggid mjengwa wa ccm, habari yako yote imeharibika na kuwa hadithi ya kisanii