Tukumbushane 'vibao' vilivyovuma Afrika enzi zileee

Wakuu akhsanteni sana but ninajuta kwa kuzaliwa in mid 80s,kuna wimbo huwa nausikia hata mashairi yake siyapati vizuri,unasikika hivi;'donce donce eee,african tp collection'...kwa atakaeutambua huu wimbo naomba jina la muimbaji au bendi husika.
Sory kwa kuchelewa kujibu mkuu...Huu wimbo unaitwa 'African typic collection' na muimbaji ni SAM FAN THOMAS...Huyu ni raia wa Cameroon na ni mmojawapo wa wanamuziki mahiri kutokea barani Africa..
 
Sory kwa kuchelewa kujibu mkuu...Huu wimbo unaitwa 'African typic collection' na muimbaji ni SAM FAN THOMAS...Huyu ni raia wa Cameroon na ni mmojawapo wa wanamuziki mahiri kutokea barani Africa..
Wimbo wenyewe ni huu hapa

 
Last edited by a moderator:
Mkuu hebu tukumbushane vizuri. Huu wimbo ulikuwa unaitwa wagadugu, au wagadugu walikuwa wapigaji? nakumbuka ile ngoma ilikuwa inaitwa "high life" au sio? Harafu kwasababu mmehamia nje ya East Afrika, nawakumbusha hiii..... "Haya madisco dansa, haya madisco dansa".....Mambo ya manyimbo ya simema za kihindi yaliyokuwa yakitamba RTD. Mpya Daladala zilipoanza kuna jamaa mmoja akaziandika daladala zake "Disco Dansa no. 1 na Disco Dansa no.2 )
Please mwenye kujua mpigaji wa huo wimbo " high life " atujuze ninautafuta sana. Kulikuwa na part one mpaka three.
 
Mimi ninazikumbuka sana hizi:
1. Nyako Konya-(Orchestra Mazembe)
2. Kamiki-Orchestra Veve (Sina Hakika)
3. Mikolo Mileki Mingi-Orchestra Veve (Sina hakika)
4. Afrika Mokili Mobimba-Afrisa International
5. Kimpa Kisangameni-Franco
6. Mado-Franco
7. Mario-Franco
8. Nakei Nairobi-Mbillia Bel
9. Bassala Hot-Osibissa
10. Vivi-Fauvette
11. Franciska-Fauvette

Nikikumbuka nyingine nitaziweka hapa!
Weka na nkhulukhuni ya south Africa,simkumbuki kwa sasa nani aliimba
 
Wivu - Vijana Jazz
Penzi Haligawanyiki - Vijana Jazz
Penye Penzi Hapakosi Tezi - Msondo
Kwa Mjomba - Urafiki
Ashura - Magereza
Tofiki - National Panasonic
Ndugu Kassim, Pt. I - Sikinde
Heka Heka - Vijana Jazz
Ombi - Bima Lee
Robin - Bima Lee
Chande - Bima Lee
Ashura - Bima Lee
Kipini Cha Dhahabu - Biashara Kumbakisa
Sani - Mwenge Paselepa
Mama Mussa - Mwenge Paselepa
Alimasi - Matimila
Kasambula - Matimila
Usia - Matimila
Onyo (Bibi Wa Mwenzio) - Matimila
Mariana - Les Mitonga
Fatuma - Msondo
Ete - Msondo
Christopher - Msondo
Jenny - Msondo
Sina Makosa - Les Wanyika
Ndoa Ya Mateso - Dar International
Mayasa - Dar International
 
Back
Top Bottom