Tukumbushane tuu: Kikulacho ki nguoni mwako

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,792
Tungekuwa na tafakuri ndogo kabisa tukaishi maandiko ya misahafu, tungekuwa na dunia nyingine kabisa, Afrika nyingine na Tanzania ya aina yake.... Tungejua tafsiri sahihi na asili ya neno USALITI, tungebatilisha maamuzi mengi sana

Daima wanaotusaliti si watu baki, si watu wa mbali la hasha! Bali ni watu tuliowapenda na kuwaamini sana! Sometimes tuliowasaidia wakaweza kusimama wenyewe... Mchawi wako hatoki mbali, msaliti wako yu sehemu ya maisha yako

Msaliti wako ni mtu unayecheka naye na kufanya naye mengi pamoja, ya sirini na ya wazi, yanayojulikana na yasiyojulikana... Matukio mengi ukiyaangalia vema unajua tu kwamba hii ni INSIDE JOB! yani ni mchongo toka ndani mtu wa nje ni ngumu kujua ramani ya ndani

Laiti tungeyaishi maandiko!!! Usaliti haukuanza Leo! Ulikuwepo upo na utaendelea kuwepo! Shetani alimsaliti Mungu pale Eden kwa kutoa siri za mbinguni (huyu ndie baba wa usaliti) Yuda alimsaliti Bwana Yesu, Samson mwenye nguvu nyingi alisalitiwa na binti mrembo Delilah... Tawala na falme nyingi zilianguka na kuangamia kabisa kutokana na usaliti toka ndani... Saddam husseein alisalitiwa na mjomba wake wa damu...

Wale tuliowaamini sana, ndio watu ambao daima wametupa maumivu yasiyomithilika! Wazazi na walezi waliowabeba baadhi ya watoto ama ndugu kwa mbeleko kubwa ya upendeleo (uziwanda) ndio wamekuja kuwaletea majuto mengi katika maisha yao baadae!
Unapojaaliwa tunu ya kuongoza kaya! Jitahidi mno kutumia hekima ya kimungu katika mizania ya haki, jitahidi sana mizani yako isiegemee wala kuzidi upande wowote
Wachukulie watoto wote kwa USAWA, wa kambo, wa kufikia wa jirani na wa kwako pia! Angalia baraka za wanao zisije zikapokwa kwa kuwanyanyapaa wale wasio wako! Maisha bado yapo! Angalia hao wanao unaowabeba kwa mbeleko kubwa ya upendeleo wasije kuwa fimbo ya kuja kukuchapa wewe mwenyewe... Kadiri utakavyo wabeba mgongoni watataka uwabebe mpaka mabegani kishapo kichwani... Wakifika huko tegemea anguko kuu...

Unaposimama mbele ya kaya.. Usiangalie mkono wako wa kulia tu na kudhani hawa wa kulia kwako ndio bora wakutumainia na kuamini kabisa, watakulemea mwishoni na kukuangusha
Tengeneza mtandao sawa toka chini mpaka juu, kushoto mpaka kulia juu mpaka chino mbele mpaka nyuma... Mbali mpaka karibu
Wa kule mpe ukiranja, wa huku mpe jiko wa chini mpe ukokoroni wa pembeni mpe kibubu... Alimradi kila mmoja katika kusanyiko lile apate kidogo na watu wake wafurahi
Usiruhusu malalamiko yawe mengi. Upepo kwenye tairi moja ukizidi sana gari linakosa balance... Jitahidi motokari yako upepo ufanane kwenye gurudumu zote

Nitamatishe kwa kukumbusha kwamba KONDA ni KONDA tuu! Kumbuka alikuwa mpiga debe! Makinika naye anatamani kuwa dereva.... LAKINI kama haitoshi ana ndoto za kutaka kuwa MMILIKI....!
Chonga kinyago chako lakini angalia kisije kukutisha mwenyewe UKAKIKIMBIA.....

KIKULACHO KI NGUONI MWAKO!

Jr
 
Nimekuelewa. Lissu ametwangwa na wabaya wake huko chamani, wafuaai wa wale wanaomuona kama tishio kwenye nafasi za uongozi
 
IMG-20170911-WA0078.jpg

Jr
 
Tungekuwa na tafakuri ndogo kabisa tukaishi maandiko ya misahafu, tungekuwa na dunia nyingine kabisa, Afrika nyingine na Tanzania ya aina yake.... Tungejua tafsiri sahihi na asili ya neno USALITI, tungebatilisha maamuzi mengi sana

Daima wanaotusaliti si watu baki, si watu wa mbali la hasha! Bali ni watu tuliowapenda na kuwaamini sana! Sometimes tuliowasaidia wakaweza kusimama wenyewe... Mchawi wako hatoki mbali, msaliti wako yu sehemu ya maisha yako

Msaliti wako ni mtu unayecheka naye na kufanya naye mengi pamoja, ya sirini na ya wazi, yanayojulikana na yasiyojulikana... Matukio mengi ukiyaangalia vema unajua tu kwamba hii ni INSIDE JOB! yani ni mchongo toka ndani mtu wa nje ni ngumu kujua ramani ya ndani

Laiti tungeyaishi maandiko!!! Usaliti haukuanza Leo! Ulikuwepo upo na utaendelea kuwepo! Shetani alimsaliti Mungu pale Eden kwa kutoa siri za mbinguni (huyu ndie baba wa usaliti) Yuda alimsaliti Bwana Yesu, Samson mwenye nguvu nyingi alisalitiwa na binti mrembo Delilah... Tawala na falme nyingi zilianguka na kuangamia kabisa kutokana na usaliti toka ndani... Saddam husseein alisatiwa na mjomba wake wa damu...

Wale tuliowaamini sana, ndio watu ambao daima wametupa maumivu yasiyomithilika! Wazazi na walezi waliowabeba baadhi ya watoto ama ndugu kwa mbeleko kubwa ya upendeleo (uziwanda) ndio wamekuja kuwaletea majuto mengi katika maisha yao baadae!
Unapojaaliwa tunu ya kuongoza kaya! Jitahidi mno kutumia hekima ya kimungu katika mizania ya haki, jitahidi sana mizani yako isiegemee wala kuzidi upande wowote
Wachukulie watoto wote kwa USAWA, wa kambo, wa kufikia wa jirani na wa kwako pia! Angalia baraka za wanao zisije zikapokwa kwa kuwanyanyapaa wale wasio wako! Maisha bado yapo! Angalia hao wanao unaowabeba kwa mbeleko kubwa ya upendeleo wasije kuwa fimbo ya kuja kukuchapa wewe mwenyewe... Kadiri utakavyo wabeba mgongoni watataka uwabebe mpaka mabegani kishapo kichwani... Wakifika huko tegemea anguko kuu...

Unaposimama mbele ya kaya.. Usiangalie mkono wako wa kulia tu na kudhani hawa wa kulia kwako ndio bora wakutumainia na kuamini kabisa, watakulemea mwishoni na kukuangusha
Tengeneza mtandao sawa toka chini mpaka juu, kushoto mpaka kulia juu mpaka chino mbele mpaka nyuma... Mbali mpaka karibu
Wa kule mpe ukiranja, wa huku mpe jiko wa chini mpe ukokoroni wa pembeni mpe kibubu... Alimradi kila mmoja katika kusanyiko lile apate kidogo na watu wake wafurahi
Usiruhusu malalamiko yawe mengi. Upepo kwenye tairi moja ukizidi sana gari linakosa balance... Jitahidi motokari yako upepo ufanane kwenye gurudumu zote

Nitamatishe kwa kukumbusha kwamba KONDA ni KONDA tuu! Kumbuka alikuwa mpiga debe! Makinika naye anatamani kuwa dereva.... LAKINI kama haitoshi ana ndoto za kutaka kuwa MMILIKI....!
Chonga kinyago chako lakini angalia kisije kukutisha mwenyewe UKAKIKIMBIA.....

KIKULACHO KI NGUONI MWAKO!

Jr
Mkuu hili ni andiko lenye hekima na busara za kiwango cha Suleiman, Suleiman alikuwa akiomba kwa Mungu na kamwe hakuwaomba watu wake wamuombee na alikuwa myenyekevu kwa Mungu na watu wake, watawala wetu wanataka kuombewa tena kwa jeuri kubwa na lugha za maudhi, wanapenda sifa na kuonekana wanaosali sana kwenye nyumba mbalimbali za maombi ya dini mbalimbali, huu ni usaliti kwa Mungu na wananchi, tunamwachia Mungu atoe maamuzi
 
Tungekuwa na tafakuri ndogo kabisa tukaishi maandiko ya misahafu, tungekuwa na dunia nyingine kabisa, Afrika nyingine na Tanzania ya aina yake.... Tungejua tafsiri sahihi na asili ya neno USALITI, tungebatilisha maamuzi mengi sana

Daima wanaotusaliti si watu baki, si watu wa mbali la hasha! Bali ni watu tuliowapenda na kuwaamini sana! Sometimes tuliowasaidia wakaweza kusimama wenyewe... Mchawi wako hatoki mbali, msaliti wako yu sehemu ya maisha yako

Msaliti wako ni mtu unayecheka naye na kufanya naye mengi pamoja, ya sirini na ya wazi, yanayojulikana na yasiyojulikana... Matukio mengi ukiyaangalia vema unajua tu kwamba hii ni INSIDE JOB! yani ni mchongo toka ndani mtu wa nje ni ngumu kujua ramani ya ndani

Laiti tungeyaishi maandiko!!! Usaliti haukuanza Leo! Ulikuwepo upo na utaendelea kuwepo! Shetani alimsaliti Mungu pale Eden kwa kutoa siri za mbinguni (huyu ndie baba wa usaliti) Yuda alimsaliti Bwana Yesu, Samson mwenye nguvu nyingi alisalitiwa na binti mrembo Delilah... Tawala na falme nyingi zilianguka na kuangamia kabisa kutokana na usaliti toka ndani... Saddam husseein alisalitiwa na mjomba wake wa damu...

Wale tuliowaamini sana, ndio watu ambao daima wametupa maumivu yasiyomithilika! Wazazi na walezi waliowabeba baadhi ya watoto ama ndugu kwa mbeleko kubwa ya upendeleo (uziwanda) ndio wamekuja kuwaletea majuto mengi katika maisha yao baadae!
Unapojaaliwa tunu ya kuongoza kaya! Jitahidi mno kutumia hekima ya kimungu katika mizania ya haki, jitahidi sana mizani yako isiegemee wala kuzidi upande wowote
Wachukulie watoto wote kwa USAWA, wa kambo, wa kufikia wa jirani na wa kwako pia! Angalia baraka za wanao zisije zikapokwa kwa kuwanyanyapaa wale wasio wako! Maisha bado yapo! Angalia hao wanao unaowabeba kwa mbeleko kubwa ya upendeleo wasije kuwa fimbo ya kuja kukuchapa wewe mwenyewe... Kadiri utakavyo wabeba mgongoni watataka uwabebe mpaka mabegani kishapo kichwani... Wakifika huko tegemea anguko kuu...

Unaposimama mbele ya kaya.. Usiangalie mkono wako wa kulia tu na kudhani hawa wa kulia kwako ndio bora wakutumainia na kuamini kabisa, watakulemea mwishoni na kukuangusha
Tengeneza mtandao sawa toka chini mpaka juu, kushoto mpaka kulia juu mpaka chino mbele mpaka nyuma... Mbali mpaka karibu
Wa kule mpe ukiranja, wa huku mpe jiko wa chini mpe ukokoroni wa pembeni mpe kibubu... Alimradi kila mmoja katika kusanyiko lile apate kidogo na watu wake wafurahi
Usiruhusu malalamiko yawe mengi. Upepo kwenye tairi moja ukizidi sana gari linakosa balance... Jitahidi motokari yako upepo ufanane kwenye gurudumu zote

Nitamatishe kwa kukumbusha kwamba KONDA ni KONDA tuu! Kumbuka alikuwa mpiga debe! Makinika naye anatamani kuwa dereva.... LAKINI kama haitoshi ana ndoto za kutaka kuwa MMILIKI....!
Chonga kinyago chako lakini angalia kisije kukutisha mwenyewe UKAKIKIMBIA.....

KIKULACHO KI NGUONI MWAKO!

Jr

Mtani hakika umenena.Kuna siku Mbeleko uliyombebea mwana yaweza kuwa leso ya kufutia machozi na Kamasi au ikawa sands yako au.ikawa kamba ya kujinyongea.Muda huongea tabia hutenda,hulka haibadiliki.

Mtani tupo pamoja
 
mkuu watu wametofautiana uelewa

weka fair ground ya watu kuwaza au ku analyse walivyoelewa

sasa ukitaka watu waelewe ulichomaanisha wakati umeweka fumbo, usingekuwa mfumbaji ungeandika uwazi

nguo huwa anavaa mtu, na kinachokukula kiko ndani ya vazi lako kama chawa, kunguni n.k

kila mtu ana vazi, kila mtu anaweza kuwaza anavyoweza

kwa nini utukane? kinyago hiki si umechonga mwenyewe?
 
Hatimaye konda naye anataka kuwa dereva hatua za awali kwanza anajitahidi kujaribu kufanya ushawishi na abiria kwanza waanze kumkubali iwe kwa hiyari au kwa lazima.ila historia inaonesha ni mara chache sana kumpata konda mwenye elimu kubwa sijuagi kwa nini.
 
mkuu watu wametofautiana uelewa

weka fair ground ya watu kuwaza au ku analyse walivyoelewa

sasa ukitaka watu waelewe ulichomaanisha wakati umeweka fumbo, usingekuwa mfumbaji ungeandika uwazi

nguo huwa anavaa mtu, na kinachokukula kiko ndani ya vazi lako kama chawa, kunguni n.k

kila mtu ana vazi, kila mtu anaweza kuwaza anavyoweza

kwa nini utukane? kinyago hiki si umechonga mwenyewe?
Nalitambua hilo vema kabisa na sitarajii kila mmoja akubaliane nami.. Lakini nilichomjibu huyo mwanajamvi kina sababu na asili yake.... Kumbuka mtwana ni mtwana tuu

Jr
 
Back
Top Bottom